PS: Sio Copywriting, Sales, Content Marketing, Freelancing, Affiliate Marketing, Forex, Crypto, Graphic Design wala Coding!
1). Ningejifunza Kuhusu…MINDSET!
Kwanini?
Hakuna kitu kina SHAPE Tabia ya mtu kama vile…“BELIEVE SYSTEM”.
Imani ndio Inafanya watu Waabudu SANAMU na MIBUYU na Imani...
Naandika haya nikiwa jikoni kabisa.Nimelia sana kwa maneno ya wabunge wanaokula posho za bure kwa kugonga meza na kudharau wanazuoni.
Jamani kuna kundi kubwa sana la wanafunzi wa vyuo ndoto zao zinaisha njiani na kufa kabisa kwa sababu za ada,watu wanakosa malazi,watu wanapitia msoto mkali...
Anzisha mgahawa weka wafanyakazi wawili tafuta eneo zuri deal na breakfast ya vyakula vya asili tu. Nunua sahani 20 za udongo na Uma 20 na vijiko 20 na sufuria 5. Mazingira yawe masafi yenye maji ya kutosha na yanayovutia bila kusahau jiko kubwa la gas na friji liwepo.
Asubuhi nenda sokoni...
Isa wikendi, yeesi iliiiiziiii.
Hii saikolojia iliyothibitishwa.
Kitu chochote ukishakijua sana huendelei kukidadisi, unakuwa unajua ukianza hivi kitatokea hivi ama vile.
Hata kwa wapenzi ni hivyo hivyo, hakuna tofauti ya kweli kivile.
Wengine huenda mbali zaidi kiasi cha kuwachukia wenzi wao...
Punyeto/kujichua ni nini?
Kufanya au kupiga punyeto, ni tendo la kutomasa sehemu zako mwenyewe za siri ili kujisisimua kimapenzi.
Kwa hivyo katika kupiga punyeto hamna hofu ya kuambukizwa magonjwa yanayosambazwa kupitia ngono, kwani haimshirikishi mtu mwengine.
Punyeto ni toshelezo kamili la...
Msemaji wa Hamas,Osama bin Hamdan alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari mjini Beirut jana Jumanne, amesema iwapo Israel itaendelea kutoyazingatia mambo hayo na kuendelea na kuivamia Rafah basi hakuna namna nyengine ila ni kuendeleza vita.
Walichokubali Hamas ni :
1 .Kuwepo usitishwaji...
Tumemsikia Kinana akisema uchaguzi sio tume, na kwamba hoja ya wapinzani kulilia tume huru haina mashiko.
Kama Kinana na CCM wanaamini hivyo, embu wajaribu kuwapa fursa wapinzani kipindi hiki waunde tume ya uchaguzi.
Kama watakuwa tayari kwa hili tutaamini kauli ya Kinana kuwa uchaguzi sio...
Waamuzi kama Amina na Tatu Malogo ambao wanaonesha dhahiri ushabiki wao na kununuliwa kwao na Simba basi Tz na Africa hatuwezi kufika kokote kwenye Dunia ya michezo.
Jambo hili lilionekana pia kule South Africa baada ya Vyura kukataliwa bao lao la wazi kabisa.
Mechi ya Leo ni wazi kuwa Tabora...
Utangulizi
Tanzania kama nchi nyingine yingi zinazo endelea inakabiliwa na ukopaji wa fedha kutoka Kwa wafadhili mbalimbali wa ndani na nje ya nchi kufadhili bajeti ya Taifa. Utatuzi wa changamoto hii unahitaji maoni si ya wataalamu na viongozi wa kisiasa pekee, bali kuwapa nafasi wananchi...
Kama kichwa cha mada hapo juu kinavyojieleza, kuna familia ambazo zimeaminishwa ili waweze kuendesha maisha nipale wanapokuwa katika ajira ,ama shirika au serikalini.
Na familia hizi nyingi zitafanya juu chini kuhakikisha mwanafamila wao unaingia katika ajira ama serikalini au katika taasisi...
Muungano OYEEE!!
Wakuu!
Kumekuwa na wimbi la wanaoitwa wataalamu wa afya na lishe kukosoa karibia kila aina za vyakula tunavyotumia kila siku.
Utasikia ugali ni chakula hatari sana kwa afya zetu. Wengine wanaenda mbali zaidi na kusema ugali ni chakula cha mifugo!
Profesa Janabi naye hayupo...
"Ewe Baba Mwenyezi Mungu naomba fanya kila uwezalo Klabu yangu ya Simba SC isiishie kabisa katika Nafasi ya Tatu bali ishie nafasi ya ama ya Tano au ya Saba ili sasa Sisi Mashabiki na Wanachama Kwanza tuanze Kupigana wenyewe kwa wenyewe kisha Hasira zetu tuzihamishie kwa Viongozi wetu na baadae...
Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa Makame Mbarawa amesema majaribio treni ya SGR yamekuwa yakizingatia usalama unaofanya treni kutembea kwa mwendokasi wa chini tofauti na itakavyokuwa baada ya safari rasmi kuanza.
Mbarawa amesema treni hiyo kwa kawaida itakuwa na mwendo kasi wa Kilometa...
Habari wanajukwaa.Juzi nimeenda hospitali ya serikali kupata tiba ya mteguko wa miguu baada ya mazungumzo ya awali Kati ya dokta na mgonjwa (diognosis)dokta akaniambia hawana vifaa pale ila nichukuwe namba yake atakuja kunitibu nyumbani na hakika alikuja.
Na kunasiku tena nikamchek dokta fulani...
Makonda tangu ajulikane 2010's kazi zake ni za kisiasa, matukio yake yote yako wazi kuanzia lile tukio la kumpiga Mjikofi Mzee Warioba mpaka leo yako wazi. Mengi yako mtandaoni, YouTube, Facebook, Instagram, x n.k
Pamoja na hayo yote kuna mtu alimteua pamoja na kuwekwa kando na Rais Magufuli...
Baada ya kuponea maisha kwa kuzama ndani ya ziwa la barafu, kipindi akiwa msichana mdogo, Cecilia alikata shauri la kumtumikia Mungu kwa kipindi chake chote alichobakiza duniani.
Kwahiyo anapofikia umri, anajiunga na 'convent' ya hapa Italia ili apate kuwa sister kwa kiapo na matendo.
Hivyo...
Lengo halisi la Israel inaonekana ni Rafah na ile kurusha droni tatu Iran ambazo zimedunguliwa ilikuwa ni kuzubaisha ulimwengu lengo halisi likiwa ni kuingia Rafah ikijua Iran haitaiuliza kitu.
Huku watu wamecharuka kujadili shambulio la Israel lililotangazwa na US kwa upande wake Israel ndio...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema ikifika Aprili 15, 2024 atawataja kwa majina Watu wakiwemo Mawaziri wanaotoa fedha za kuwalipa Watu ili wamtukane Rais Samia mitandaoni kama hawataacha.
Akizungumza wakati wa Kumbukumbu ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Hayati Edward Sokoine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.