The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.
Wakuu,
Hivi huyu member wakuitwa Tatiana yuko wapi?
Niwahi kua napenda michango yake na alikua decent kupita maelezo.
Hapatikani na najaribu kuangalia ni kama hayuko active.
Wanaomfahamu wampelekee taarifa zangu kua namtafuta sana.
Nahitaji kuongea naye na kumtakia heri kwenye harakati zake.
Nimekua napenda kufanya hii mambo!
Mtandaoni naona maduka mengi yapo Dar.
Na napata shaka kuagiza kupitia mtandao kwani matapeli na uongo uongo ni mwingi.
Je, napata wap kwa mwanza ambako wanauza hii bidhaa kwa bei ya jumla?
Mbunge wa Viti Maalum Santiel Eric Kirumba ameishauri Serikali kuweka makato ya Tsh. 50 kwa kila laini ya simu kwa ajili ya Mfuko wa Barabara (Road Fund) ili kuuwezesha kuwa na makusanyo yatakayowezesha ujenzi na ukarabati wa barabara Nchini.
Kirumba ameshauri hilo leo May 30,2024 wakati...
Wakuu Heshima mbele.
Kwa kweli miaka ya nyuma kidogo kabla ya kupoteza akaunti yangu ya Jamii forums. Nilikuwa napenda sana kumsoma jamaa mmoja anaitwa barafu.
Kwa waliokuwepo jamii forums miaka ya nyuma nadhani wengi mtamfahamu mwana jamii forums barafu akianza kuchambua kuhusu mambo ya...
Mchungaji Msigwa ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa anayemaliza muda wake amepinga Mjumbe wa sekretari Mrema kusimamia Uchaguzi jimboni kwao
Source Jambo TV
Yajayo yanafurahisha😀
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kanda ya Nyasa, ambaye pia anagombea kutetea...
Wakuu Asalaam,
Leo nimeamka na majanga, kiwanda changu kidogo kimeungua Electric motor yake
Naomba kujua Motor ya HP 20,25 na 30 zinauzwaje na eneo zinapopatikana kwa mtaalam.
Nashukuru kwa muda wenu.
Hizi e-cigarette wanazipatia wapi zinauzwa wapi mpaka zimeenea namna hii kama tu huku Mtwara nimeona watoto kundi kwenye michezo ya umitashumta wanavuta wanazo mbili je huko dar es salaam si ndo itakuwa Balaa.
Sigara hizi lengo Ilikuwa kuwapunguzia wavutaji wa tumbaku ile addiction ila...
Ni hivi penzi bado jipya kabisa.
Na kitoto cha elfu 2.
Kimeomba godoro.
Siwezi kutoa laki 2 au 3 kununua godoro jipya ila nyumbani kwangu Nina godoro ambalo sili tumii.
Ni yale magodoro ya elfu themanini yale ambayo yana ma kava laini ya kuingiza na kutoa.
Kava tayari lilisha toka...
Hivi iko wapi ile Kamati ya maadili ya ccm iliyowahi kuwachukulia hatua kali akina Sophia Simba (akiwa mwenyekiti wa UWT taifa), Msambatavangu (akiwa mwenyekiti UWT mkoa wa Iringa), na iliyowapa kalipio kali mkatibu wakuu wastaafu wa ccm taifa, Abdulrahman Kinana na mzee Yusufu Makamba...
Habari za jpili!
Miaka ya nyuma TACAIDS walikuwa mstari wa mbele kufanya harakati za mapambano ya maambukizo mapya ya hiv. Kwa namna moja au nyingine ilisaidia mabinti kuogopa Mafataki.
Leo hii hamna harakati zozote tena Mafataki ndiyo wamekuwa maarufu maana ndiyo Madanga ya ukweli. Mabinti...
Hakuna Mahali alipomdhalilisha Mtu kwenye ule mkutano wa Wanakamati wa Halmashauri na Wananchi Mkoani Manyara Longido.
Akichoongea RC Makonda ndio maneno ya kawaida tunayotumia watu wengi na yamezoeleka sana wakati unapotaka kusisitiza Jambo na halijawahi kuwa Udhaliliashaji kwenye lugha na...
Nimesoma hapa JF kuhusu NHC kununua eneo la urafiki kwa njia ya Mnada kwa Shilingi Bilioni 3, nikahisi labda wamekosea au walimanisha Dola Bilioni 3, nilipoenda kwenye kurasa rasmi za NHC nikakutana na taarifa ileile.
Taarifa ya Ununuzi - NHC yanunua eneo la Urafiki lenye ekari 50 na majengo...
Huyu dada muimbaji wa nyimbo za injili na kisauti chake kizuri kama cha mtoto yuko wapi wadau sijamsikia kitambo sana kwenye game.
Kuna kibao chake kimoja kinaitwa ninalia halafu kinaitikiwa pole sana....kitambo sana asee
Yuko wapi dada Jenipher Mgendi mwenye kujua tafadhali.
Uzi tayari.
Serikali iingilie manyanyaso haya Wilaya ya Uyui.
1. Wilaya ambayo watumishi wake hawajalipwa pesa zao za likizo. Ikumbukwe likizo hiyo watumishi hizo hiyo walioomba tangu mwezi wa 12. Imekuwa ni mizunguko mwanzo mwisho na mpaka sasa pesa hawajalipwa, imefikia hatua ya matisho kutoka kwa...
Tanzania tuko njia panda kwa kweli. Tuna vijana ambao wamekulia kwenye uchawa na wanajali uongozi tu na wazee ambao hata kama wanajua na wana busara wanaogopa mawe ya CCM. Upinzani tuna vijana machachari ambao wapo tayari kwa lolote, kuna wanaopenda uboss na madaraka na wengine wamenunuliwa. Je...
Mwanzo kulikua na huo mpango wa kujaza maji kwenye mahandaki wanayoishi Hamas ( kwa mujibu wa IDF) je ule mpango uli fail?
Hii nchi kwa sasa jamani inahitaji maombi kila mtu lwa imani yake maana Viongozi wanagombana kila kukicha Serikali imeparaganyika Waziri Mkuu Netanyahu kajifungia ndani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.