Hivi ule Mpango wa Israel kujaza maji kwenye mahandaki kule Gaza uliishia wapi?

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
10,043
16,929
Mwanzo kulikua na huo mpango wa kujaza maji kwenye mahandaki wanayoishi Hamas ( kwa mujibu wa IDF) je ule mpango uli fail?

Hii nchi kwa sasa jamani inahitaji maombi kila mtu lwa imani yake maana Viongozi wanagombana kila kukicha Serikali imeparaganyika Waziri Mkuu Netanyahu kajifungia ndani wiki sasa haongei.

Hamas nao wamechachamaa huko Gaza IDF wanadondoshwa kama kuku wenye kideri. Hezbollah nao hawapoi wanawasha moto hujo North balaa .
 
U

Una uhakika na usemalo
 
😄 Hao kwa story utawaweza walidhani hio tisha nyau wanawatisha Hamasi, yani Israel na US wakiongea we cheka tu wanadhani dunia ya leo ile ya zamani wakisema kitu watu watawamini.

Mara hi wamekuja na mpya eti wamewaokoa maiti walio tekwa na Hamasi kwanza wamewajua vipi yani miezi saba maiti umtambue bila ya uchunguzi hi kali aisay.

Hamasi wenyewe wanawauliza hao maiti mmewakuta wapi mbona sisi hatuwatambui au ni wanajeshi wao walio kufa.

Hi ni jana aisay Israel wanamalizwa

View: https://youtu.be/t-ORbfHtoQE?si=UMpN0-ebJeh6131x
 
Wazungu wengi wakiwemo hao wa Israel wamezoea kuishi kwa njia ya uongo uongo. Ndomaana kila wanalopanga sasa hivi halifanikiwi maana watu wengi wenye akili wameshawashtukia.

Uongo mkubwa ambao kwa kiasi fulani ulifanikiwa ni ule wa kutuletea sisi mijitu mieusi dini za mababu zao tu, ili kuhalalisha mipango yao ya kutuibia na kututawala.
 
Attachments

  • FB_IMG_17118944407352949.jpg
    FB_IMG_17118944407352949.jpg
    55.7 KB · Views: 1
  • 13820411_474e176b5f9b4f73a0efd5c863b1537b_jpeg9007ab240faecd3b84b2d425535ccbd1.jpeg
    13820411_474e176b5f9b4f73a0efd5c863b1537b_jpeg9007ab240faecd3b84b2d425535ccbd1.jpeg
    107.9 KB · Views: 1
Wazungu wengi wakiwemo hao wa Israel wamezoea kuishi kwa njia ya uongo uongo. Ndomaana kila wanalopanga sasa hivi halifanikiwi maana watu wengi wenye akili wameshawashtukia.

Uongo mkubwa ambao kwa kiasi fulani ulifanikiwa ni ule wa kutuletea sisi mijitu mieusi dini za mababu zao tu, ili kuhalalisha mipango yao ya kutuibia na kututawala.
hapo ni wazungu na waarabu mkuu wameleta hizo imani zinazosababisha watu wanaamini hamasi kuua wayahudi ni thawabu au wayahudi kuua waarabu ni baraka it goes both ways brethren
 
Wahindi walishi nchi za kiarabu wamestarehe na bado wakawa wanawaona warabu wabaya, wengine wakawa mpaa wanawasapoti wa Israel kuwauwa warabu.

Mungu anamlipia binadamu sa zingine hapa hapa, walipo ona wa Palestine wanafukuzwa kufanya kazi kule Israel wao wakashangilia na wakapewa ofa kwenda kufanya kazi Israel.

Leo wahindi wanalia hakuna mishahara, hawapati sehemu nzuri za kulala, maji yakuoga tabu kila kitu tabu wanajuta kwenda Israel.

Mimi nasema dawa yao wacha wawashangilie Israel sasa vizuri 😄

View: https://youtu.be/-yH3CUlsuIU?si=HN3RcfL5ripkirMv
 
hapo ni wazungu na waarabu mkuu wameleta hizo imani
Kwa upande wa walioleta imani hapa Afrika, nakubaliana na wewe mkuu kuwa waarab na wazungu walituletea imani zao ili waweze kutimiza malengo yao. Na kweli wali/wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kutimiza kile walichokitaka.
zinazosababisha watu wanaamini hamasi kuua wayahudi ni thawabu au wayahudi kuua waarabu ni baraka it goes both ways brethren
Hapa kwa Hamas kuua wayahudi ili kupata thawabu au wayahudi kuua waarab ili wapate baraka sio kweli.

Huenda umeandika kwa kutokujua au kutofuata uhalisia wa kile kinachoendelea pale Mashariki ya kati.

Ukweli ni kwamba kile kinachoendelea pale ni vita ya mkandamizaji (Israel) na mkandamizwaji (Palestina)

WAKANDAMIZWAJI ni wapalestina ambao ni mchanganyiko wa waarab, hayahudi na race zingine kidogo (sina uhakika kama unafahamu kuwa katika palestina kuna wayahudi ambao ni wapalestina) ila wapo wengi tu mpaka leo.

WAKANDAMIZAJI ni waisrael ambao ni mchanganyiko wa wazungu, wayahudi na waarab (sina uhakika pia kama unafahamu kuwa israel kuna waarab ambao ni waisrael, wazungu, waethiopia nk)

Waisrael ambao asilimia kubwa ya waliopo katika uongozi ni wazungu, wamekuwa wakianzisha operation za mara kwa mara kama vile kuvamia maeneo ambayo kimataifa tayari yanajulikana kuwa ni ya wapalestina, kuwatoa watu katika nyumba zao, kuwaua, kuwatesa, kuwafungulia kesi zisizoisha na kuwafunga bila sababu za msingi, kuwakatia umeme, maji na kuhakikisha hakuna huduma zozote za msingi ambazo wanapata hao wapalestina wanaovamiwa.

Wapalestina ambao wengi wao ni waarab, baada ya kuona wananyang'anywa nyumba zao, maeneo yao, wanafungwa, wanateswa na kuuwawa bila hatia huku wakiendelea kunyimwa uhuru wa kujitawala. Sasa wakaamua kutengeneza makundi ya kupambana na wale wanaotumia nguvu (Israel) kuua babu zao, bibi zao, baba zao, mama zao, wajomba zao, shangazi zao, ndugu zao nk. Hiki kinachofanywa na Hamas kimeshafanywa na watu wengi hapa duniani.

Ukichunguza watu ambao wameingia katika makundi ya waasi kupambana na serikali utakuta kuwa ni wale ambao walinyimwa haki zao za msingi na serikali yao, na wengine unakuta ndugu zao na wazazi wao waliuwawa katika operation zilizofanywa na serikali hali iliyopelekea watoto wao kuamua kujiunga na waasi ili kutetea haki zao za kuuwawa kwa wazazi wao au kunyimwa kabisa haki zao. Hivyo kusema kuwa Hamas wanapigana kwa sababu ya dini yao ni uongo. Kama ingekuwa ni hivyo basi nchi za kikristo kama vile SA, Hispania, Malta na nyinginezo zisingepambana kuwasaidia. Hata huko Marekani kuna wakristo wengi tena wazungu wameshasimama sana kupinga utawala wa kimabavu wa kiisrael pale Mashariki ya kati.

Hizo nchi zinapambana kuwasaidia maana wanajua fika kuwa wapalestina wanapigania ardhi yao na uhuru wao. Ingekuwa ni swala la dini basi wangeziachia Saudi Arabia, Jordan, na nchi zingine za kiarab ziwapiganie.

Pia ingekuwa wayahudi wanaua waarab ili wapate baraka sio kweli, ingekua hivyo basi wasingekuwa wanaua mpaka waandishi wa habari wa kizungu na wafanyakazi wa misaada wazungu kutoka nchi za Ulaya na Marekani kwenyewe.
 
Basi Al Jazeera wanaonesha habari za uongo maana naona Gaza na Palestine hali mbaya kumbe Tel Aviv ndio hali mbaya
Israel aendelee kupambana la hasha hamas na Hezbollah wataimaliza kabisa Tel Aviv
 
😄 Hao kwa story utawaweza walidhani hio tisha nyau wanawatisha Hamasi, yani Israel na US wakiongea we cheka tu wanadhani dunia ya leo ile ya zamani wakisema kitu watu watawamini.

Mara hi wamekuja na mpya eti wamewaokoa maiti walio tekwa na Hamasi kwanza wamewajua vipi yani miezi saba maiti umtambue bila ya uchunguzi hi kali aisay.

Hamasi wenyewe wanawauliza hao maiti mmewakuta wapi mbona sisi hatuwatambui au ni wanajeshi wao walio kufa.

Hi ni jana aisay Israel wanamalizwa

View: https://youtu.be/t-ORbfHtoQE?si=UMpN0-ebJeh6131x

vijana na track zao, mwenyezi mungu waongezee nguvu waja wako
 
Mwanzo kulikua na huo mpango wa kujaza maji kwenye mahandaki wanayoishi Hamas ( kwa mujibu wa IDF) je ule mpango uli fail?

Hii nchi kwa sasa jamani inahitaji maombi kila mtu lwa imani yake maana Viongozi wanagombana kila kukicha Serikali imeparaganyika Waziri Mkuu Netanyahu kajifungia ndani wiki sasa haongei.

Hamas nao wamechachamaa huko Gaza IDF wanadondoshwa kama kuku wenye kideri. Hezbollah nao hawapoi wanawasha moto hujo North balaa .
hayo maji watu tumeyanywa na mengine tumefulia kanzu ziwe safi,mengine tumechukulia udhu tuswal,mengine tumepikia biriani...sisi Hamas hatuwezi tetemeshwa na mashoga a.k.a mchicha mwiba
 
Karibia ukweli utajulikana si wanadai hao ndio watu wamungu wenzao watu wa shetani
 
Mwanzo kulikua na huo mpango wa kujaza maji kwenye mahandaki wanayoishi Hamas ( kwa mujibu wa IDF) je ule mpango uli fail?

Hii nchi kwa sasa jamani inahitaji maombi kila mtu lwa imani yake maana Viongozi wanagombana kila kukicha Serikali imeparaganyika Waziri Mkuu Netanyahu kajifungia ndani wiki sasa haongei.

Hamas nao wamechachamaa huko Gaza IDF wanadondoshwa kama kuku wenye kideri. Hezbollah nao hawapoi wanawasha moto hujo North balaa .
Waulize hamas huko wanakunyakunya muda huu kwenye mashimo kama panya
 
Mwanzo kulikua na huo mpango wa kujaza maji kwenye mahandaki wanayoishi Hamas ( kwa mujibu wa IDF) je ule mpango uli fail?

Hii nchi kwa sasa jamani inahitaji maombi kila mtu lwa imani yake maana Viongozi wanagombana kila kukicha Serikali imeparaganyika Waziri Mkuu Netanyahu kajifungia ndani wiki sasa haongei.

Hamas nao wamechachamaa huko Gaza IDF wanadondoshwa kama kuku wenye kideri. Hezbollah nao hawapoi wanawasha moto hujo North balaa .
Walijaza kwenye helcopter ya rais wa iran
 
Mayahudi wamejikuta wapo njia panda! Hawajui waendelee mbele, au warudi nyuma. Mpaka muda huu wamefanikiwa zaidi kwenye kubomoa tu majengo, kuua na kukamata raia hovyo.
 
Back
Top Bottom