Tofauti na awamu nyingine za maraisi waliopita , serikali ya sasa chini ya awamu ya sita ikiongozwa na Raisi wa jamuhuri wa muungano wa Tanzania Mhe. Samia Hassan inaonesha kujenga shule nyingi Kwa ajili ya kutataua changamoto ya ukosefu wa madarasa. Zaidi kuwepo wa Elimu ya bure mashuleni bila...
DR-CONGO: Serikali imesema jaribio la Mapinduzi lililozimwa mwishoni mwa Wiki iliyopita liliongozwa na Christian Malanga, Mwanasiasa mwenye uraia wa Congo lakini makazi yake yapo Nchini Marekani akiwa na kundi la Wanajeshi walioasi.
Msemaji wa Jeshi la DRC amesema takriban Watu 50 akiwemo Mtoto...
Jaribu ambalo lilishindwa. Apparently this African American brother and his 50 friends wanted to overthrow the government.
Yule kiongozi wa mapinduzi ameshauawa na watu wengi (50) wamekamatwa.
Hata hivyo,watu wanauliza Tshisekedi yuko wapi?
======
The Democratic Republic of Congo army says...
UWEPO WA KIMBUNGA “IALY” KATIKA BAHARI YA HINDI KASKAZINI MWA MADAGASCAR
Dar es Salaam, 17 Mei 2024:
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inatoa taarifa ya uwepo wa kimbunga “IALY” katika Bahari ya Hindi kaskazini mwa kisiwa cha Madagascar.
Mifumo ya hali ya hewa inaonesha kuwa kimbunga...
Msimamo wa kula kwa urefu wa kamba imepata maana mpya na mbaya.
Serikali ikiwa na vyombo vyote vya ulinzi na usalama katika kila mkoa, itaibiwaje kibwege hivi?
Yes, serikali inaibiwa kibwege na wateule walewale wa Rais.
Tumesikia kuwa kule Mbeya mtandao kama huo ulikuwepo.
Hapo tusimung'unye...
tukufu isilifumbie suala la ziwa nyasa
Ukiingia kwenye ramani Malawi wanaeneza kuwa ziwa nyasa mpaka wao na tanzania ni nchi kavu ukigusa tu ziwa ni Mali ya 🇲🇼 hili suala lilianza kwa mzee wetu kikwete likazimwa naona hadi asaivi wanaeneza ya kuwa ziwa nyasa ni Mali ya Malawi hata ujenzi wa...
Chanzo: Adobe Stock
UTANGULIZI:
Maono yangu ni kuiona Tanzania katika nyanja ya elimu inapiga hatua kwa kutumia njia mbalimbali ikiwemo ufugaji. Napendekeza serikali ifatilie na kuchambua mawazo haya kwa mustakabali bora wa elimu yetu hapa nchini.
DHIMA KUU YA MRADI HUU:
Ufugaji wa samaki...
Tatizo la bei ya mafuta kupanda kila siku ukiliangalia kwa undani lina michezo mingi sana ambayo inachochewa na siasa na ukiritimba wa mifumo biashara iliyoko ndani ya koti la mgongano wa kimasilahi kati ya wafanya biashara na wanasiasa
Picha (chanzo ) google
Hapo nyuma wafanya...
SERIKALI YAONGEZA AJIRA KWA WATUMISHI WA USTAWI WA JAMII
WANANCHI KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KULINDA MAADILI
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Ridhiwani Kikwete ameliambia Bunge kuwa ndani ya kipindi cha miaka miwili serikali imeshawaajiri...
Habarini ndugu members?
Mimi ni mwananchi wa kawaida ninayeishi bagamoyo. Nina kero nataka kuileta kwenu.
Ni kuhusu vyoo vya shule za sekondari na msingi. Hali ni mbaya sana vyoo vimejaa, vinanukaaa hata ukipita nje, hakuna maji, wanafunzi ni wengi vyoo vidogo.
Sijajua kwanini uwa hamfanyi...
Baada ya Serikali kupitia pesa za walipa kodi kuweza kujenga stand kubwa ya mabus ya magufuli mbezi mwisho, na pia Serikali tumehamua kwa makusudi shughuli zote za mabus na abiria kuruhusu zifanyike Urafiki/shekilango, ifike hatua sasa tubadilishe matumizi ya Stand ya Bus na iwe Soko, eneo la...
Serikali ya Peru imetangaza kupitisha Sheria kuwa Watu waliobadili jinsia kuwa wana changamoto ya Ugonjwa wa Akili na kuwa wanastahiki Huduma za Afya ya Akili.
Shirika la Kutetea Haki za Binaadamu la Human Rights Watch (HRW) limekosoa uamuzi huo wa Serikali na kueleza kuwa haioni kama watu...
Nakupongeza sana Samia kuifanya nchi kuwa kivutio cha uwekeza nje ya Africa n Africa kwa ujumla.
Nasikiliza hapa dw kuna majadala wa wa mazingir ya biashara Kenya. Wachangiaji wamewaka hapa wanasema samia ameua uchumi wa kenya kwa kuweka mazingira ya biashara kuw mazuri na kuwavuta wawekezaji...
Bwana Yesu ASIFIWE ....
Assalamualaikum......
Serikali ianzishe wizara maalumu ya saikolojia na utatuzi wa migogoro ili kuzipunguzia wizara zingine mzigo wa kushughulikia migogoro
Kwanza nianze kwa kuwashukuru Jforum kwa kuendelea kuwa wabunifu kwa kuweka majukwaa mbalimbali yanayoibua mawazo...
UMUHIMU WA KUENEA KWA ELIMU MAALUM YA LUGHA ZA ISHARA NA ALAMA
1) Itasaidia ongezeko la wataalam ; hii ni pale tunaelimisha zaidi kuwa kila mtu ana haki ya kupata elimu. Elimu maalum kwa ajili ya wasio ona,wasio sikia, Autism, na watu wengine wenye mahitaji maalumu hawa huwa na uwezo mkubwa...
JK amejilimbikizia majumba ambayo hakuna kiumbe anayeyatumia ipasavyo. Yapo utilized kwa less than 20%.
Katika kuwasaidia wananchi wa kijijini kwao kwanini asiuze nyumba yake aliyopewa na serikali then ajenge chuo au hospitali pale Chalinze watoto wapate elimu?
Naona hali hiyo pia ipo kwa...
Vipaji imekuwa ni ajira inayolipa katika inchi zilizoendelea,inchi nyingi zilizoendelea duniani zimewekeza kwenye kutambua na kuibua vipaji vya watoto.
Andiko hili linaelezea umuhimu wa Serikali kuibua vipaji mbalimbali vya watoto kupitia vipengele vifuatavyo
1.UTANGULIZI.
2.TATIZO LIKO WAPi...
Serikali imesema kuwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) haitozi kodi kwa wasafiri kati ya Zanzibar na Tanzania bara wanaobeba vitu kwa matumizi binafsi.
Hayo yameelezwa bungeni, jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Danie Silo (Mb), kwa niaba ya Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt...
Kabla ya kusoma maoni yangu tazama hizi takwimu na maelezo ya Bajeti ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari:
BAJETI YA MWAKA WA FEDHA 2023/24
Katika Mwaka wa Fedha 2023/24 Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari iliidhinishiwa kutumia kiasi cha Shilingi bilioni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.