dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. B

    Dar es salaam Mecca ya vyama vya ukombozi, pia jiji la mapigano baina ya vyama hasimu vya ukombozi Afrika ya Kusini

    MAKALA SEHEMU YA KWANZA: TANZANIA ILIPOKUWA MAKAO MAKUU YA VYAMA VYA UKOMBOZI NA CHANGAMOTO ZAKE MWAKA 1959 CHAMA CHA MRENGO MKALI PAC PAN AFRICANIST CONGRESS https://m.youtube.com/watch?v=k9CSA0eN00s Mnamo 1959 Walioamini kuwa Afrika ya Kusini ni Kwa Waafrika siyo nchi mchanganyiko...
  2. Mr Confidential

    Je, UDSM wana Online masters degree program kwa course ya MBA?

    Wakuu, Je, UDSM wana Online masters degree program kwa course ya MBA? Kama hawana, what is the option kwa mtu anayeishi kanda ya ziwa kusoma hii course (MBA -Finance) NAkaribisha ushauri wowote kuhusu hii kozi na chuo.
  3. Huihui2

    Bandari ya Dar es salaam Kuipiku Mombasa katika biashara ya kubeba shehena

    Citizenhttps://www.ke.co Kioko Nyamasyo on Monday, 6 May 2024 Wakati Kenya ikiendelea kuongoza kwenye ushindani wa biashara ya bandari katika Afrika Mashariki, kuna tishio kubwa kutoka Tanzania kutokana na Bandari ya Dar es Salaam kuongeza mizigo mara dufu katika muongo mmoja uliopita. Hili...
  4. Kiboko ya Jiwe

    Bunge la JMT halina manufaa yoyote kwa Watanzania. Lifutwe, ofisi ya DED ichukue majukumu ya wabunge

    Katika vitu ambavyo vinameza fedha za JMT ni bunge. Kuhudumia wabunge zaidi ya 300 pamoja na ofisi za majimbo yao ni mzigo mkubwa kwa wananchi wenye uchumi wa kusadikika. Hawa wamachinga na bodaboda wanaoahindia mihogo na wali wa buku ndio wahanga. Majukumu ya wabunge wapewe wakurugenzi wa...
  5. uran

    Huu Mwenge usiwe unakimbizwa Dar es Salaam, unatuchosha na kutupotezea muda

    Imagine kwa muda wa karibia 2 hours sasa tuko kwenye foleni kupisha Mwenge. In this Millennium tunapotezeana muda kiasi hichi kisa Mwenge! Disappointment ya hali ya juu. Wakazi wa Kigamboni tunaotumia daraja kwenda mjini, Muda huu usijaribu. Bora ukapange foleni kwenye kivuko. Its worse
  6. Mzee Mwanakijiji

    Mwenge wa Uhuru upo kwa faida ya nani?

    Leo kwa mara nyingine mbio za mwenge zimeanza tena Tanzania, na safari hii mwenge umewashwa huko Dole Zanzibar kuendeleza ile adhma ya taifa letu changa kuwa "sisi tumekwisha kuwasha mwenge na kuuweka Kilimanjaro". Mwenge huu ulipowashwa mara ya kwanza na kuwekwa kwenye kilele cha Kilimanjaro na...
  7. liyangafx

    Natafuta kazi yoyote ya halali Dar es Salaam

    Mimi Ni kijana Nina miaka 28 nime graduate elimu ya diploma ya ualimu wa secondary na bachelor in human resources. Mambo magumu mtaani Kama kuna boss una ajira please call me 0753993094🙏🙏🙏
  8. JanguKamaJangu

    TMA: Kimbunga “HIDAYA” kipo umbali wa Kilomita 120+ kutoka Pwani ya Dar es Salaam

    Dar es Salaam, 04 Mei 2024 saa 12:00 Asubuhi: Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inaendelea kutoa taarifa ya mwenendo wa kimbunga “HIDAYA” kilichopo karibu na maeneo ya pwani ya nchi yetu. Hadi kufikia saa 9 usiku wa kuamkia leo, Kimbunga “HIDAYA” kilikuwa katika eneo la bahari takriban...
  9. Warda-Sears

    Zena is looking for a job as a housekeeper at your home, office, 5 star ⭐️ hotel or lodge: available immediately in Dar es Salaam.

    Looking for a meticulous and reliable housekeeper to maintain the cleanliness and organization of your home or office? Meet Zena! With expertise in dusting, cleaning, ironing, and caring for various furnishings including wooden, leather, and velvet pieces, Zena ensures your space remains...
  10. Roving Journalist

    Speech of Kalisha Holmes, Spokesperson from U.S. Embassy Dar es Salaam on the Role of the Media in Ensuring Credible Elections

    Speech at MCT Stakeholders Conference on the Role of the Media in Ensuring Credible Elections Ladies and gentlemen, distinguished guests, I bring you greetings on behalf of Ambassador Michael Battle, the U.S. Ambassador to Tanzania on this special occasion. He sends his deep regrets that he...
  11. greater than

    Dar es Salaam: Uzuri uliojificha vol.2

    Dar es Salaam Dar es Salaam Dar es Salaam, Jiji la pili kwa ukubwa Afrika Mashariki. Limetajwa katika tungo za nyimbo kibao na wasanii wa kila kizazi.Jiji lenye mjumuiko wa makabila yote 126 napa nchini na watu wa mataifa mbalimbali. Lakini limekuwa likijulikana kama Jiji la kibiashara zaidi...
  12. Z

    RC Chalamila: Haiwezekani sote tukawa wapole, tutaonewa sana

    Nimeipenda sana hii statement ya Mkuu wa Mkoa wa DSM Chalamila. Nakubaliana naye kuwa ni kweli kabisa haiwezekani kwa watendaji wote mkawa wapole lazima wengine wapo ni wakali kwa asili yao, na huo ukali wao ni faida kubwa kwenye kuharakisha maendeleo. ukali ni muhimu sana, bila ukali wabongo...
  13. Tlaatlaah

    Poleni sana ndugu zangu wa Dar es salaam kwa mvua zinazoendelea kunyesha

    Athari za mvua kubwa zinazoendelea kunyesha huko na kusababisha mafuriko makubwa kutatiza masomo ya vijana, makazi mengi ya watu kujaa maji, miundombinu hususani ya barabara kuharibika, nishati ya umeme kutatizika, shughuli za uzalishaji, biashara na huduma za usafirishaji kuzorota pakubwa ni...
  14. Heparin

    Anthony Mavunde: Watu 34 wamehodhi eneo lenye ukubwa mara 12 ya Dar es Salaam

    "Kuna watu 34 wameweka maombi ambayo hayajalipiwa na hayana sifa ambapo kwa jumla wanashikilia eneo la ukubwa wa ekari 4,316,955 sawa na kuwa na mikoa ya Dar es Salaam 12, eneo lote hili limekaa bila kufanyiwa chochote.” Anthony Mavunde
  15. Y

    Biashara ndogo ndogo Chanika Dar es salaam

    Wakuu wa JF ....nauliza kwa maeneo ya Chanika Dar kwa sasa ni biashara gani ndogo inaweza kuwa nzuri kwa kufanya maeneo yale ya Chanika kwa Mtaji takribani wa 2M
  16. R

    Msaada: Anayejua zilipo ofisi za EWURA Kanda ya Mashariki (Dar es Salaam) anitajie zilipo

    Ndugu zangu naomba kujua zilipo ofisi za EWURA hapa Dar es Salaam. Nime-Google sehemu nyingine wanasema ziko Kijitonyama PSPF Tower, sehemu nyingine wanasema ziko Mawasiliano Tower, Sam Nujoma Road na simu zilizopo kwenye tovuti yao hazi patikani. Tafadhali kama unajua zilipo pamoja na namba...
  17. Stephano Mgendanyi

    Serikali Kutumia Bilioni 33 Kusambaza Maji Jijini Dar es Salaam, Kibamba Yapata Bilioni 13.9 Mwaka Mpya wa Fedha 2024-2025

    "Ipi kauli ya Serikali ya kutokamilika kwa miradi ya Maji katika Jimbo la Kibamba?" - Mhe. Issa Jumanne Mtemvu, Mbunge wa Jimbo la Kibamba "Serikali imekamilisha ujenzi wa miradi mitatu ya usambazaji wa maji kutokea Chuo Kikuu cha Dar es Salaam hadi Bagamoyo (2B2F), Mshikamano na Kitopeni...
  18. DodomaTZ

    Leaders of the Ahmadiyya from Sub-Saharan Africa participated in the Seminar to discuss the challenges of ethics

    Leaders of the Ahmadiyya Community from Sub-Saharan Africa have gathered in Tanzania for a two-day seminar (20th April and 21st 2024). The seminar, held in Dar es Salaam, focuses on discussing ethical issues in the participating countries. The participants include leaders aged 40 and above...
  19. BabaMorgan

    Kwa Bajeti ya Tsh. 50,000 napata wapi chumba standard Dar es Salaam?

    Kwa Bajeti ya Tanzania shilling elfu hamsini naweza kupata wapi chumba standard ambapo nitapanda gari moja mpaka mjini na kuweza kurudi night kali bila hofu ya vibaka. Natanguliza shukurani.
  20. Bemendazole

    Battle: Dar Es Salaam VS Kampala

    Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Kampala kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Kampala. Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Kampala wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema...
Back
Top Bottom