siasa

  1. BARD AI

    Waziri wa Ulinzi: JWTZ si sehemu ya Siasa, ni taasisi mahsusi kwa kazi mahsusi

    Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena L. Tax amesema Migogoro ya ardhi inayohusisha maeneo ya Jeshi inapaswa kutatuliwa kwa mashauriano kwa kufuata Sheria zilizopo na si Kisiasa Akiwasilisha Bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka 2024/25 amesema, maeneo ya Jeshi ni maalum kwa...
  2. J

    SoC04 Mabadiliko kwenye nyanja ya Siasa Elimu kwa wananchi

    Tanzaniani tuitakayo ya miaka 5 hadi 25 ni ile ambayo kwanza tukubali kuanda kizazi Bora kutoka chini ambacho kitakuwa kimeandaliwa katika Mfumo mzuri wa elimu, Siasa , uzalendo, na teknoljia ambayo itaendana mahitaji ya Dunia ya sasa kivipi? Katika Mfumo wa elimu tunahitaji kuona mabadiliko...
  3. J

    Jerry Silaa ni Deo Filikunjombe mtupu, atatufaa CCM 2030 Kwenye Urais!

    Huyu Jerry Silaa ni Deo Filikunjombe mtupu, Mungu wa Mbinguni azidi kumpa Ujasiri atatufaa CCM 2030 Kwenye Urais! Huyu jamaa ukimtazama haraka haraka unaweza kumchukulia poa Ila spiritual na kiuzalendo yuko vizuri kuliko Mawaziri wote nadhani. Mungu wa Mbinguni azidi kumpa Ujasiri. 😂 Sabato...
  4. chiembe

    Gari ya Lissu iliyopigwa risasi, isibadilishwe muonekano, ikae ilivyo, ipelekwe katika kila mikutano ya siasa kukumbusha madhila ya Hayati Magufuli

    Watanzania wengi ni matomaso, ukiwasimulia tu hivi hivi, hawaamini. Nashauri gari ya Tundu Lissu isibadilishwe muonekano wake baada ya kupigwa risasi, matundu ya risasi yabaki, gari itengenezwe injini tu na sehemu muhimu, ila sehemu zenye matundu ya risasi zibaki. Hii itafanya watu wakifika...
  5. Tlaatlaah

    Unadhani vyama vya siasa vibebe kauli mbiu gani tunapoelekea chaguzi chaguzi mbalimbali?

    Vyama vya kisiasa na wanasia, hasa katika nyakati za uchaguzi huibua na kuibuka na catchphrases, slogan au kauli mbiu za kusisimua wanainchi, kuwatambulisha au kuelezea hisia, uelekeo au shauku za uongozi wao na vyama vyao, endapo watapewa ridhaa kuongoza na wanainchi. vyama na wanasiasa...
  6. Mganguzi

    Nipo kwenye hatua za mwisho za kusajili chama kipya Cha siasa kabla 2025! Kitakacho iondoa ccm madarakani! Nahitaji vijana 10 tu kutoka Kila mkoa

    Sina utani kabisa kwenye hili jambo nimedhamilia , kama vijana wa nchi hii ,tuliweka Imani kubwa sana kwa vyama vya siasa vilivyopo ,tangu mwaka 1995 mpaka sasa ,hakuna chama hata kimoja ambacho kimethubutu kuiondoa ccm na kushika Dola! Zaidi tu tunaona ni vyama vyenye malengo ya kujikimu...
  7. Tlaatlaah

    Tetesi: Mbatia kuanzisha chama kipya cha siasa

    Taarifa za chini ya capet ni kwamba, taratibu za awali zimeshakamilika ikiwa ni pamoja na jina la chama, rangi za chama, nembo pamoja na logo ya chama. Majibu ya msajili yatatoa uelekeo. Nyuma ya mpango huu, viongozi waandamizi kutoka vyama mbalimbali vya siasa, wanatajwa kuhusuka ikiwa ni...
  8. vanus

    Sifa wanazopewa viongozi hawastahili ni wajibu wao kutekeleza wanayoyafanya, siasa ni mchezo mchafu umejaa laana, unyanyasaji na dhulma

    Afrika ni bara lenye laana, limejaa watu wa ovyo sana haswa hawa wanaojiita chawa. Imagine unapambana usiku na mchana unatengeneza pesa alafu una-mteua mtu asimamie mali na pesa zako na unamlipa mwisho wa mwezi. mtu huyo anaenda dukani anakununulia kiatu kwa pesa zako, kwa upumbavu ulionao...
  9. Jack Daniel

    Waziri Doto Biteko na utulivu kwenye siasa zake

    Siasa za dijitali, siasa za mitandaoni, siasa za Instagram, siasa za uchawa. Ukiwa na akili timamu huwezi kushabikia siasa za Makonda na umapepe wake wa kulazimisha kukubalika Kila pembe ya nchi. Makonda ni moja ya viongozi wachapakazi sana ila tatizo lake ni moja Kila anachokifanya anataka...
  10. Jaji Mfawidhi

    CCM rukhsa siasa chuoni, upinzani marufuku

    Wanafunzi wanaolipwa Tshs 10,000 za wavuja jasho na damu wanaosoma chuo cha TIA[Uhasibu]- Temeke, Dar es Salaam wamemtembelea Jokate Mwangelo ambaye ni mama mwenye mtoto mmoja ofisi za UVCCM Makao Makuu Dodoma. Inasemekana hawa waasibu ndio wanakuja kuwa chawa baada ya UE mwezi wa sita. Hawa...
  11. Last_Born

    At the end of the days we will ask you

    In the fabric of every nation lies a profound covenant between its citizens and its leaders. Entrusted with the helm of governance, leaders embark on a journey guided by promises of progress, prosperity, and the collective welfare of the people. Yet, as the voyage unfolds and the destination...
  12. C

    Mbunge Getere aomba radhi kwa kauli yake kuhusu Boom

    "Mimi nakubali nimeomba radhi inawezekana ile kauli imewaudhi wengi, lakini mimi bado ni mtetezi wao wa kwenye matumizi na kuwasaidia kusoma vizuri kwa kuhakikisha wanafunzi wote wanalipiwa ada halafu tukawalipia matumizi (Boom) kwa hizo asilimia zilizopo," - Mwita Getere, Mbunge wa Bunda...
  13. B

    Israel ilisharidhia kama HAMAS, haya mengine ni siasa Natenyahu apate pa kufichia uso!

    1. Wengine husema siasa ni mchezo mchafu na hasa maelfu ya maisha ya watu yanapopotea kwa ubinafsi yaani ego ya mtu, labda hata ni mmoja tu! 2. Kutokea meza ya mazumgumzo Cairo, yasemekana Natenyahu kumbe alishafika bei kwa kutaka au kushurutishwa. 3. Kwamba tulipo, tuko kwenye tutoke...
  14. M

    Mchango wa Mbunge Getere wa "Wanachuo wasipewe boom" umemvua nguo

    Eti mbunge huyo wa Bunda vijijini Boniface Mwita Getere anasema wanachuo wasipewe boom kwani wanafunzi wanaopewa boom hawana nidhamu, niwalevi, na hawasomi. Anadai eti walipiwe karo tu kuhusu matumizi watalipiwa na wazazi wao. Sasa hajajua kama hakuna wazazi ambao hawana uhakika wa kula...
  15. T

    SoC04 Ushiriki wa wanawake katika siasa na uongozi

    Utangulizi Siasa ni mchakato wa kufanya maamuzi na kuunda sera ambazo zinahusisha utawala na usimamizi wa jamii. Hujumuisha shughuli kama vile uchaguzi, utoaji wa sera, na ushiriki wa wananchi katika mchakato wa maamuzi. Uongozi ni uwezo wa kuongoza na kusimamia watu au jamii kuelekea kufikia...
  16. Tlaatlaah

    Ulianza lini kupenda na kufuatilia SIASA?

    katika mazingira tofauti tofauti, mathalani mitandaoni, vyuoni na majukwaani kuna aina tofauti tofauti za wanasiasa na siasa. wapo vijana katika siasa, wazee, wanawake kwa wanaume. wapo wanataaluma wa siasa za kitaifa na kimataifa. Lakini pia wapo wasio na taaluma bali vipaji na utashi wao tu...
  17. ChoiceVariable

    Mbunge Getere: Boom lifutwe, wanafunzi wanatumia kulewea

    Mbunge wa Bunda Vijijini, Peter Getere amesema mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu maarufu kama Boom, liondolewe kwa sababu wanafunzi wanaopata Boom hawasomi, wana nidhamu mbovu na wanalewa. Amesema badala yake, wanavyuo walipiwe karo kwa sababu wenye uhitaji. My Take Naunga mkono hoja...
  18. M

    Usajili ujao sitaziamini siasa za Simba kusifia mchezaji kabla

    1. Nakumbuka walivyotuaminisha kuhusu NGOMA na tulivyoambiwa wamemuiba Air port tukajua jamaa ni viwango vya Ronaldo. Tulichoshuhudia MUNGU anajua. 2. Kwa sisi tuliosoma historia ya Ukuta wa Babeli tulijua tumepata Mwamba kwelikweli, lakini tulichokishuhudia kwa huyu CHE MALON hakika Mungu...
  19. Buzi Nene

    SoC04 Mchango wa Imani, elimu na siasa katika maendeleo ya nchi yetu. Je, inawezekana Tanzania kuwa na sura mpya?

    Utangulizi. Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Mjadala huu si kwaajili ya kuisema vibaya serikali au chama chochote cha siasa, wala kudhalilisha jamii yoyote ya kitanzania bali ni kwa ajili ya kujenga, kama mwanchi wa kawaida nimeona baadhi ya vitu ambavyo ni vikwazo...
  20. Mkalukungone mwamba

    Uchawa umezidi sana kwenye siasa hadi kero hawa wanaojita machawa wa mama mh kazi ipo

    Uchawa umezidi sana kwenye siasa hadi kero hawa wanaojita machawa wa mama mh kazi ipo Miongoni mwa kipindi cha Urais chenye machawa na vikundi vya uchawa ni kama hivi sasa ni balaa sana je hili ni jambo sahihi katika siasa zetu
Back
Top Bottom