Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena L. Tax amesema Migogoro ya ardhi inayohusisha maeneo ya Jeshi inapaswa kutatuliwa kwa mashauriano kwa kufuata Sheria zilizopo na si Kisiasa
Akiwasilisha Bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka 2024/25 amesema, maeneo ya Jeshi ni maalum kwa...
Salam Dkt. Kusiluka,
Tafadhali naomba uwepo MWONGOZO wa kuwatumia wastaafu kama watu binafsi kwenye mambo ya serikali, la kama wana jambo au maoni yoyote mazuri kwa nchi washauriwe kuanzisha TAASISI zao kama alivyofanya Mzee Ludovick Utto kwa kuanzisha Taasisi ya WAJIBU.
Ili serikali au nchi...
Rais Samia akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Makatibu Mahsusi Jijini Dodoma.
ENG. ZENA AHMED SAID, KATIBU MKUU KIONGOZI – ZANZIBAR
Tunatambua umuhimu wa Makatibu Mahsusi, kwakweli wanafanya kazi za viongozi wao kuwa rahisi kwa jinsi wanavyowasaidia kazi. Sasa, ili waweze kufanya...
Hamjamboni nyote
Huu Ni uzi maalumu kwa ajili yetu sote
Naomba moderator muuache uzi huu Kama ulivyo
Naomba mwenye picha mbalimbali za Ndugu yetu Fiston Mayelle atuwekee tupate kumfahamu vema
Karibuni
Kwa miaka kadhaa nimekuwa nikisafiri njia ya Arusha-Dar na huku nimeshuhudia mabasi maarufu kutoka Mkoa wa Tanga kwenda maeneo mbalimbali nchini hususani Dar.
Basi maarufu la "SIMBA MTOTO" limeweza kusurvive regimens kadhaa za uongozi wa kisiasa ikimaanisha hawa ni moja ya legends katika...
Chawa ni wafuasi ng'ombe wa watu wazito wazito wenye kutanguliza maslahi ya matumbo mbele.
Mpanda ngazi hushuka.
Baadhi ya watu hao hukumbuka shuka wakati kunakuwa kumekwisha kucha:
"Ama kwa hakika misimamo yenu katika neema inakwaza mno jitihada zenu kujaribu kujivua magamba kwenye kipindi...
Awaye yote atake au asitake Mola anayo namna yake ya kusema na waja wake:
Ikumbukwe kuwa imeandikwa, (Mathayo 7:15-16) "manabii wa uongo mtawajua kwa matunda yao."
Izingatiwe kuwa utabiri wa Lema unafungamanishwa moja kwa moja na umuhimu wa matendo ya haki kwa wengine, kuweza kuivuna...
Wadau wenzangu wa JF & Watanzania wote
Naandika haya nikiongozwa kwa dhamira nzuri ya kueleza ukweli bila kuwa na nia ya kuwakera baadhi yenu
Sikusudii kupotosha, kukashfu, kudharau historia yetu, au makuzi yetu, au aina fulani ya chakula, kikundi fulani
kwenye jamii yetu n.k
Nazungumza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.