mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Mwendesha Mashkata wa ICC aomba Hati ya Kukamatwa kwa Netanyahu na Waziri wake wa ulinzi kwa uhalifu wa kivita huko Palestine

    Mwendesha mashtaka mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita, ICC, ametoa maombi ya kukamatwa kwa Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na kiongozi wa Hamas katika Ukanda wa Gaza kwa uhalifu wa kivita. Mwendesha mashtaka, Karim Khan KC alisema kuna sababu za msingi za kuamini kwamba...
  2. Uzalendo wa Kitanzania

    Suzan Peter Kunambi ateuliwa Katibu Mkuu UWT Taifa

    Wadau hamjambo nyote? ======= Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imemteua Suzan Peter Kunambi kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT). Kamati hiyo imeketi chini ya Makamu Mwenyekiti wake ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la...
  3. Ojuolegbha

    Taarifa ya Msemaji Mkuu wa serikali kuhusu kimbunga Ialy na hali yake kwasasa

    TAARIFA YA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI MOBHARE MATINYI KUHUSU UWEPO WA KIMBUNGA IALY NA HALI YAKE KWA SASA.
  4. Tlaatlaah

    Kura za Maoni na mchujo ndani ya CCM zitakua na ushindani mkali zaidi ya Uchaguzi Mkuu ujao

    Naweza kusema huo ndio utakua uchaguzi mkuu wenyewe. Mwingine baada ya huo, itakua ni wa kukamilisha ratiba tu kwa mujibu wa taratibu, kanuni, sheria na katiba ya nchi. Mathalani, kwenye nafasi ya mgombea wa CCM, atakae teuliwa kupeperusha bendera ya CCM, kwenye nafasi ya urais, ni dhahiri na...
  5. Uzalendo wa Kitanzania

    Breaking Kiongozi Mkuu wa kigaidi auawa huko Rafah na Jeshi la Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Israel imemuua Kiongozi Mkuu wa kundi la kigaidi la Islamic Jihad Katika operesheni ya kijeshi huko Rafah Kiongozi huyo mkubwa wa magaidi anaenda kwa jina la Islam Khamayseh alikuwa anasakwa na IDF Kwa muda mrefu kwa mauaji aliyofanya Mungu ibariki Israel IDF kills...
  6. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Martha Mariki akimuuliza swali Bungeni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa

    "Serikali inafanya kazi nzuri na kubwa kujenga miundombinu ya Elimu na kuhakikisha Elimu inafika nchini kote lakini kumekuwa na changamoto ya wanafunzi kutembea umbali mrefu hali inayopelekea Wanafunzi kupanga vyumba mtaani na Kuhatarisha Usalama wao. Je, Serikali haioni umuhimu wa kuleta Sera...
  7. M

    Mkuu wa wilaya Kigamboni asema wanajeshi wanapiga na kuua wananchi

    Ameyasema hayo mbele ya Mkuu wa Mkoa Mh Chalamila alipofanya ziara wilayani hapo. Mheshimiwa Chalamila ameahidi kukutana na Mkuu wa Majeshi. Hii imekaaje wadau maana naona kiongozi wa Serikali anaituhumu Serikali yake mbele ya wananchi . Nadhani angefanya vile Mbunge au Diwani ndio ingekuwa...
  8. B

    MKUU WA WILAYA YA HANDENI, ALBART MSANDO AGAWA MITUNGI 300 YA TAIFA GAS KWA WANANCHI WAKE HANDENI

    Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Wakili Albart Msando(kulia) akimkabidhi mtungi wa Taifa Gas Shekh wa Wilaya ya Handeni, Shaban Kizulwa wakati wa hafla ya kukabidhi mitungi 300 ya Taifa Gas Bure kwa wakazi wa wilaya ya Handeni mjini.Ikiwa ni Kampeni maalumu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  9. B

    Benki ya CRDB yawakaribisha Wanahisa kwenye Mkutano Mkuu wa 29

    Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Benki ya CRDB, Dkt. Ally Laay (katikati), Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Benki ya CRDB, Prof. Neema Mori (wapili kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (watatu kushoto), Katibu wa Kampuni Benki ya CRDB, John Rugambo (watatu...
  10. K

    Hongera sana Mhashamu baba Askofu Mkuu Ruwa'ichi kwa jubilee yako ya miaka 25 ya Uaskofu

    Tumsifu Yesu Kristo. Mungu ni mwema kila wakati. Hongera sana Mhashamu Baba Askofu Mkuu wa Jimbo la Dar es Salaam kwa kutimiza miaka 25 ya Uaskofu. Binafsi nakufahamu kuanzia Jimbo la Mbulu na hata ulipoteuliwa na Baba Mtakatifu kuja kuwa Askofu Mkuu wa Jimbo la Mwanza. Ulipokuwa hapa Mwanza...
  11. peno hasegawa

    Ni kituko gani umekiona kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025?

    Tumeanza kuona vituko, kuelekea uchaguzi mkuu 2025. Huko Jimbonibkwako hali ikoje?
  12. Tlaatlaah

    Uchaguzi mkuu ujao upinzani Tanzania uunganishe nguvu au wagombee hivi hivi kiholela kama kawaida?

    Chama Cha Mapinduzi kipo imara zaidi kwa sasa kuliko nyakati nyingine zozote zilizopita... Kinaungwa mkono na makundi maalumu karibu yote, wanawake, vijana na wazee, lakini pia kinaaminika na kuungwa mkono na taasisi za kidini, taasisi za kiraia, mashirika ya kitaifa na kimataifa. Na kwahivyo...
  13. K

    Kero ya wananchi mbele ya Mkuu wa Mkoa Arusha ndugu Makonda

    Nimekuwa nikifuatilia wananchi wa Mkoa wa Arusha wakitoa kero zao mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Ndugu Makonda. Kwa asilimia kubwa lazima sheria zifuatwe na Mkuu wa Mkoa hayuko juu ya sheria. Inawezekana kero nyingi zilizotolewa tayari aidha ziko Mahakamani au uamuzi wa kisheria...
  14. L

    Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa ashiriki Tulia Marathon Mkoani Mbeya, watu wamiminika na kufurika kwa wingi

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kassimu Majaliwa leo hii ameshiriki Tulia Marathon Mkoani mbeya. Mbio ambazo zimekuwa zikifanyika kila mwaka chini ya udhamini wa Tulia Trust iliyo chini ya Mheshimiwa Speaker wa bunge la jamuhuri ya muungano wa...
  15. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Kwagilwa Nhamanilo: Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 Mkoa wa Tanga Kura Zote Tutamchagua SAMIA SULUHU HASSAN

    MHE. KWAGILWA NHAMANILO: UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025 MKOA WA TANGA KURA ZOTE TUTAMCHAGUA SAMIA SULUHU HASSAN "Nitoe shukurani za pekee sana kwa Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan. Handeni Mjini tumekuwa na mradi mkubwa mara ya mwisho mwaka 1974, miaka 50 imepita Handeni Mjini hatujuwahi kuwa na...
  16. Dr Matola PhD

    Kambi ya Jeshi Gongo la Mboto ihamishwe kijengwe kituo cha basi

    Nadhani ifike wakati serikali yetu hata kama ina wajinga wengi basi tutumie nafasi yetu kushauri badala ya kukosowa tu. Mimi si mtaalam wa mambo ya ulinzi lakini naelewa fika nimezaliwa Dar gongo la mboto ilikuwa iko wilaya ya kisarawe ni shamba. Sasa kuwepo kambi ya JWTZ kwa kipindi kile...
  17. M

    RC Makonda tunaomba msaada Tanfom Arusha wamejaza udongo kwenye barabara Moshono-Losirway

    Tunaomba msaada mkuu wetu wa Mkoa, nafahamu jinsi ulivyo na moyo wa kuwasaidia wananchi. Tanfom wamejenga ukuta kwenye eneo Lao jipya la moshono losirway, wamejaza udongo barabarani zaidi ya miezi miwili sasa hawajatoa. Kwa kweli tunapata shida tunapokuja usiku tunaachwa mbali na toyo inabidi...
  18. Ojuolegbha

    Katibu mkuu kiongozi wa Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar azindua mtandao wa Tshrmnet

    KATIBU MKUU KIONGOZI WA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR AZINDUA MTANDAO WA TPSHRMNET. Na Prisca Libaga, Arusha. Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Zena Said amezindua rasmi mtandao wa mameneja rasilimali watu katika utumishi wa umma barani Afrika ,Tawi la Tanzania...
  19. GENTAMYCINE

    Kwanini Uchaguzi Mkuu nchini Tanzania hufanyika sana Mwezi Oktoba na siyo Miezi mingine?

    Wakati mkijiandaa Kunijibu GENTAMYCINE naendelea Kusisitiza kuwa tuacheni sana Imani za Uchawi / Ushirikina Okay?
Back
Top Bottom