Ushawahi sikia watu wanaitwa "resentful" ? Hawa ni watu ambao kuna vitu hawana, wengine wanavyo, wao wanaamini wangepaswa kua navyo, sasa matokeo yake wanakua na chuki na husda.
Ni lazima ukubali kua kuna mambo huna na huwezi kuanayo au kuyapata asilani.
Kwa mfano
1. Muonekano wako, kama we ni...
Jina la John Pombe Magufuli limejikita katika historia ya Tanzania kama kiongozi mwenye maono na utendaji wa kasi. Moja ya alama kubwa za uongozi wake ni Ubungo Flyover, daraja ambalo limebadilisha mandhari na mtiririko wa usafiri katika jiji la Dar es Salaam.
Kabla ya ujenzi wa daraja hili...
Ni ukweli mchungu kuwa ipo siku tutakufa na kila kitu kilichopo katika ulimwengu hakitodumu bali kinapita.
Ni muhimu sana katika shida zote ukatambua na wewe unahitaji kupata muda wa kuyafurahia maisha yako kwa hali yoyote ile iwe kwa kingi ama kidogo ulichonacho.
Katika mahusiano, wapo watu...
Nimeona madudu yanayoibuliwa na Makonda na kushangiliwa sana na watu wa CCM wakiona kama Makonda ndiye CCM na taasisi na wengine wote ni Chauma au UDP.
Labda niwakumbushe watu wa Arusha, haya anayo yaibua Makonda ndiyo madhaifu ya serikali ya CCM. Rushwa, ubadhilifu, kunyima haki raia, matumizi...
Katika sekta ya elimu naipongeza serikali kwa uamuzi wa kutoa elimu bure kwa wanafunzi wote waliofikisha umri wa kuanza shule.
Nawapongeza pia walimu katika utendaji kazi wao wa kutoa elimu kwa watoto wetu wote.
Katika hili kuna changamoto kidogo ya matokeo katika mitihani ya shule mpaka...
Dira ya taifa kuelekea mwaka 2050 ni hatua muhimu sana itakayotoa taswira na muelekeo wa taifa kwa miaka takriban 25 ijayo. Umuhimu wa kuwa na malengo ya muda mrefu ya kitaifa ni nafasi nzuri ya kuiandaa kesho ya taifa kwenye nyanja tofauti ikiwemo kiuchumi, kielimu na hata kimaadili na...
Hawa ni watu ambao uchekeshaji sio kazi yao rasmi ila kila wanapoongea mbele za watu au kwenye mahojiano hawaachi kuwavunja watu mbavu.
1. Mheshimiwa Makongoro Nyerere
2. T.I.D
3. RC Chalamila
4. RC mstaafu Aggrey Mwanri
5. Ommy Dimpoz
6. Mheshimiwa Kishimba
7. Babalevo
8. Mheshimiwa Kibajaji...
Kumekuwa na ongezeko kubwa la vijana wengi kupoteza matumaini na wengine kuangukia kwenye matumizi mabaya ya mihadhalati na wengine kujitoa uhai na baadhi yao kuamua kuwa vibaka na majambazi hii yote kwa kutaa tamaa ya maisha (ukosefu wa ajira)
Hii inatokana na mifomo yetu ya elimu hatukuweza...
Manispaa ya Moshi chini ya Sheria ndogo za (ada na ushuruj ya Mwaka 2019, Tangazo in Serikali Na. 148 la Tarehe 15/02/2019, imeainisha ada na tozo mbalimbali katika kuendesha sherehe kwenye kumbi na maeneo ya starehe.
Mchanganuo wa ada na tozo hizo ni kama ifuatavyo;
Tshs. 60,000.00, Kibali...
INTRODUCTION.
NB: picture courtesy of the internet. (Christian and Muslim religious leaders greeting each other is a great solidar
ity)
👉In envisioning the Tanzania we want, fostering a society where every citizen has a deep respect for moral and ethical values, often inspired by a fear or...
Utangulizi.
Kutokana na taratibu na kanuni zilizopo kwa sasa, umri wa kustaafu kwa lazima katika sekta mbalimbali za ajira hapa nchini ni miaka 60.
Kupunguza umri wa kustaafu kwa lazima kutoka miaka 60 hadi 55 ni suala lenye faida kubwa kwa pande mbalimbali.
Mabadiliko haya yatajikita katika...
Hakuna shaka kwamba Mama Maria Nyerere, atadumu katika historia kama mke wa mwasisi wa Taifa letu. Kama ukili wetu ukiona mafanikio ya mwanamme basi nyuma yake kuna mwanamke mwenye busara.
Tusingoje Maria afe ndo tumpe mtaa.
Hii tabia ya kuwaita wazee ni wachawi au wanga haijaanza juzi ila imekuzwa na vijana kuona wazee ndio washiriki wa mambo hayo.
Je ukifika umri wa uzee na wewe utakubaliana kuitwa mwanga au mchawi.
Tukomeshe:
Godbless Lema ameandika ukurasani X
Halafu wakitoka hapo wanasema CCM inatoa Fomu Moja
Siasa za Tanzania pasua kichwa sana aiseee
====
Nimeona andiko la BOB Wangwe na maandiko mengine ya watu wengi pamoja na ushauri wake.
Jibu langu kwenu ni hili ,tukiwa Arusha mahali fulani kwenye...
Mimi nataka fungua nafaka jumla ila nashangaa wenzangu kila kona wana mzanii ile mikubwa kama hii.
Sas nilikuwa nauliza ya digital haifai kwani kama hii kupimia magunia ya kilo mia.
Watu ni mtaji mkubwa sana katika kuleta mabadiliko yo yote yale ya kijamii.
Haijalishi watu wako na utayari kiasi gani, pasipo kiongozi wa "kulianzisha", matamanio yao yatasalia ndotoni.
Wakati mwingine, si lazima watu wajue kuwa wanao uhitaji, lakini itamlamzimu kiongozi kujua uhitaji wa watu...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Tanzania, Nape Nnauye amelaani vikali kauli iliyotolewa na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kuhusu madai ya Rais Samia kuwaondoa Wamasai wa Ngorongoro kisa yeye ni Mzanzibari.
Waziri Nape amesema kauli hii inapaswa kupingwa na...
Napenda kuisihi Wizara ya Habari kusimamia suala la wakalimani wa lugha ya alama iwe suala la lazima katika vituo vya Televisheni ili kuwapa haki ya kutopitwa na taarifa ndugu zetu wenye changamoto ya usikivu.
Vituo vingi hapa nchini havitoi hiyo huduma na hii ni kutowatendea haki ya msingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.