mbowe

  1. B

    Mbowe ampinga Profesa Kabudi mbele ya halaiki; 'hatuwezi jadili mambo yale yale kwa miaka 30'

    08 May 2024 MBOWE YAMSHINDA AMPINGA PROF. PALAMAGAMBA KABUDI MBELE YA HALAIKI ''HATUWEZI JADILI MAMBO YALE YALE KWA MIAKA 30''.... Freeman Mbowe amejikita katika chaguzi 6 zilizopita na mafunzo yake halisi ya juu kilichotokea katika miaka 30 ya vyama vingi vya siasa kulikopelekea kuiba...
  2. T

    Mbowe na Lissu ni mchanganyiko mzuri wa kukijenga chama

    Ukiangalia tabia ya Mbowe kwenye uongozi ni mtu mvumilivu, ana subra, hekima, busara, na hupenda kutumia diplomasia. Ni mjenga hoja zenye mashiko. Wakati Lissu ni mkali, mharakati, havumilii sana, na anayo subra ndogo. Hapendi kutumia diplomasia, yeye ni koleo kwa koleo, lakini ni mjenga hoja...
  3. J

    Lema: Nikiwa na Wenje, Heche na Msigwa makamu Tundu Lisu alituhakikishia Nafasi atakayogombea Mbowe basi Yeye hatachukua fomu!

    Godbless Lema ameandika ukurasani X Halafu wakitoka hapo wanasema CCM inatoa Fomu Moja Siasa za Tanzania pasua kichwa sana aiseee ==== Nimeona andiko la BOB Wangwe na maandiko mengine ya watu wengi pamoja na ushauri wake. Jibu langu kwenu ni hili ,tukiwa Arusha mahali fulani kwenye...
  4. chiembe

    Lissu atakuwa mtu wa aina ganii? Mbowe alimpambania akiwa hoi, Samia akaenda kumuona Nairobi, leo kawaandalia hotuba za kuwatukana

    Lissu mi kama kachanganyikiwa au kuna mtu anamfanyia vitendo vya ushirikina akosane na watu waliombeba akiwa hoi kwa risasi. Mbowe hakulala akipinga Lissu asipelekwe Muhimbili, akatoa hela mfukoni akakodi ndege akampeleka Nairobi, akamuombea na ulinzi kutoka serikali ya kenya ili zimwi mla watu...
  5. Erythrocyte

    Kilimanjaro: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yanayoongozwa na Freeman Mbowe

    Kama ilivyotangazwa awali , leo ndio hitimisho la awamu ya kwanza ya Wiki ya Maandamano, Ambapo Mwamba Kabisa Freeman Mbowe ataisimamisha Kilimanjaro pale atakapoongoza Maandamano Moshi Mjini Usiondoke JF kwa Taarifa kamili =========== Ukombozi unaendelea
  6. pantheraleo

    Mbowe na wenzako acheni kumzushia uongo Rais Mstaafu Jakaya Kikwete

    JK ni International figure, ana heshimika kimataifa, tumwache aendelee na majukumu yake ya kimataifa yanagharamiwa na wahusika wanaomwalika. Nimefuatilia mitandao ya kijamii kuna baadhi ya watu wanajaribu kupotosha kuhusu safari za Rais Mstaafu Jakaya Kikwete. Nawakumbusha kuwa nchi yetu ina...
  7. U

    Tundu Lissu: Ukiwa na Rais mwizi mnawezaje kuwa salama? Katiba bora ni kuzuia Marais wezi

    Ama kweli: KNOWLEDGE IS POWER. Kama haya ndiyo matusi tunayoambiwa na kina Makonda, basi iko shida mahali bila shaka. Yaani ukweli kwa hawa ndugu zetu, kwao ni matusi. ============= Tukirudi kwenye mada kumhusu huyu mwamba. Kwamba, haina shaka kuwa anaijua historia ya Tanganyika na...
  8. Erythrocyte

    Bariadi: Wanafunzi wavunja masomo na kuzuia Msafara wa Mbowe, wampigia Saluti

    Tulishasema tangu awali kwamba kwenye harakati za kisiasa, yapo mambo madogo madogo ama tuvitu vitu fulani twa kusisimua sana lakini hatupewi Airtime. Sasa kwenye maandamano yanayoendelea watoto wa shule baada ya kusikia Mbowe anavurumisha maandamano kwenye eneo lao wakaamua kuvunja masomo na...
  9. Erythrocyte

    Kumekucha: CHADEMA yatoa ratiba ya wiki ya Maandamano, Tundu Lissu kuongoza Mikoa Mitano

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba yale Maandamano yatakayofanyika Dunia nzima, ya kupinga Ugumu wa Maisha Nchini Tanzania na ambayo pia yanapinga Sheria mbovu za Uchaguzi nchini humo, Ratiba yake imetolewa Rasmi. Ratiba hiyo Kabambe imetangazwa na Mkurugenzi wa Itifaki wa Chama hicho, John...
  10. Erythrocyte

    Freeman Mbowe awatakia Waislam wote Heri ya Sikukuu ya Eid el Fitri

    Mwenyekiti wa Chadema Mwamba kabisa , Freeman Mbowe , ambaye huko Zanzibar anafahamika kama Ustaadh Aboubakar Mbowe , ametuma salamu za heri ya Eid El Fitri kwa Waislam wote Nchini na kote Duniani . Hii hapa ndio Taarifa yake
  11. Ndata

    Mbowe kijana wa CCM kwa kivuli cha upinzani

    CCM kama chama dola nchini Tanzania kimefanikiwa sana kujitengenezea upinzani wake na wapinzani wake ambao kwa uhalisia nao ni Ccm nje ya Ccm. Mmoja wao ni Mbowe na chama chake cha Chadema. Historia inatuambia, waanzilishi wote wa Chadema walikuwa Benki kuu. Yaani Mtei, Bob Makani na Mbowe na...
  12. K

    Rais Samia katuwezeshea Watanzania ujasiri wa kuhoji na kukosoa bila kuogopa kiasi kwamba ni rahisi kumkosoa Rais kuliko Mbowe

    Leo Watanzania ni wajasiri sana wa kuhoji na kukosoa kijasiri Kila kinachofanyika bila hofu wala uoga ,sio mitandaoni wala mitaani nguvu ya kuhoji na kukosoa inaongezeka. Nitakuwa mchoyo wa shukrani kama nisipompongeza kiongozi wetu shupavu Rais Samia kwa kutufikisha kwenye ujasiri huu. Rais...
  13. Erythrocyte

    Chalamila: Hatuwezi kumtaja Mbowe kwa Maendeleo, tutamtaja Rais

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Chalamila katika kujibu maneno ya wadau yanayopinga kitendo cha viongozi wengi kumtaja Rais kwenye kila jambo, hata kwenye mambo ambayo hahusiki nayo, ameeleza kwamba wao wanamtaja Rais kwa vile ameleta maendeleo, Hawawezi kumtaja Mbowe. Kwa mawazo ya Chalamila...
  14. Erythrocyte

    Hotuba ya Freeman Mbowe kwenye Msiba wa Sabodo imefichua mengi ambayo tulifichwa

    Wema wa Sabodo si huu kiduchu wa kusaidia vyama vya siasa nchini Tanzania , Huyu mtu kifo chake ni pigo kuliko hata mapigo mnayoyajua , Kuna haja ya Hotuba ile ya Mbowe kuletwa hapa JF kwa njia ya Video (Naitafuta) , Ifike wakati sasa Bendera ziwe zinapepea nusu mlingoti kwa baadhi ya...
  15. Stephano Mgendanyi

    Freeman Mbowe adhalilika, Wananchi wamkimbia uwanjani

    MBOWE ADHARIRIKA HAI, WANANCHI WAMKIMBIA UWANJANI Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe aliyekaa kwenye Ubunge kwa miaka 20 tangu mwaka 2000 akiwakilisha Jimbo la Hai amekimbiwa na wananchi kutohudhuria Mkutano wake wa hadhara na kupelekea Mkutano huo...
  16. Erythrocyte

    Freeman Mbowe arejea Jimboni Hai, Umati wajitokeza Bomang'ombe kumsikiliza

    Leo 25/03/2024 Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ameonekana kwao Hai, Mkoani Kilimanjaro, ambako amehutubia mkutano kabambe wa Hadhara kwenye eneo la SHOW VIEW kata ya Bomang'ombe . Hali ndio kama mnavyoiona
  17. 1

    Alichobakiza Mbowe sasa hivi ni kupotosha na kugombanisha serikali na wananchi, hana lingine

    Kwanza agenda ya Mbowe na Chama chake anachokimiliki ilikuwa ni Katiba Mpya, wamepambana weeeee hoja yao imekufa kifo cha mende baada ya miswada kupitishwa bungeni na kuwa sheria. Akawapotezea muda wanachama wenzake kwa kuona njia pekee ni maandamano, ameandamana weeeee wananchi...
  18. S

    Kauli ya Mbowe kuhusu wabunge kujiongezea mishahara ni ya kweli. Mbona hajaitwa na Kamati?

    Waliwahi kuitwa na Kamati ya haki, kinga na madaraka ya bunge kwa kutoa kauli zilizodhaniwa kuwa zinalibagaza bunge ni pamoja na:- 1. Makonda alipokuwa RC wa DSM. Huyu alisema wabunge wanalala tu bungeni, hakuna wanachofanya. 2. Alexander Mnyeti alipokuwa DC. Huyu sikumbuki alisema nn. 3. Pascal...
Back
Top Bottom