rais

  1. Kiboko ya Jiwe

    Nilipata mshtuko jana nilipokuwa naangalia habari TBC1 na kuona Makamu wa Rais anaongea jambo kana kwamba hakijui cheo chake

    Habari! Kila mtu anaweza kufanya backup ya habari ya saa 20:00 tarehe 31, Mei 2024. Ni habari nambari 2 kama sijakosea. Nilisikia Makamu wa Rais anawaomba wafanyabishara wapunguze bei ya gesi ili wananchi wengi waweze kumudu. Kipi kilinipa shock? Bidhaa ya gesi ni miongoni mwa bidhaa ziko...
  2. chiembe

    Rais Samia CCM watoe amri mfumo wa PEPMIS usimame kwanza mpaka pale mtandao wao utakapokuwa na nguvu

    CCM ni chama chama wakulima na wafanyakazi, lazima kiwasemee watu hawa. Ni wapiga kura wake. Katika pitapita zangu mitaani, ni hofu imetanda miongoni mwa watumishi wa umma. Watumishi wa umma wamewekewa mfumo wa kutathmini kazi zao, na wanatakiwa wajaze taarifa zao humo. Kwa mujibu wa...
  3. Mystery

    Tunapata fundisho gani Kwa Trump, Rais wa zamani wa America, kukutwa na hatia Kwa makosa ya jinai?

    Hukumu ya kihistoria imetolewa katika mahakama za huko America, Kwa Rais mstaafu wa nchi hiyo, Donald Trump, kukutwa na hatia Kwa makosa 34 ya jinai, aliyoshitakiwa nayo. Hiyo inamfanya Donald Trump, kuwa Rais wa kwanza mstaafu wa America, kukutwa na hatia, Kwa makosa ya jinai tokea Taifa Hilo...
  4. Mystery

    Kilio Cha wabunge kuwa ahadi za maendeleo Kwenye majimbo yao hazitekekezwi, je kinatokana na Kila kitu kudaiwa kimefanywa na Rais!

    Nimekuwa nikifuatilia hoja zinazotolewa Kwenye kikao Cha Bunge kinachoendelea, nilichogundua ni kuwa karibu wabunge wote wanalalamika, kuwa ahadi zinazotolewa na serikali za maendeleo Kwenye majimbo yao hazitekekezwi, au Kwa maneno mengine, wanapigwa changa la macho! Lakini hebu tutafakari ni...
  5. L

    Uteuzi: Rais Samia amteua Dkt. Ally Milanzi kuwa Naibu Katibu Mkuu Tume ya Mipango masuala ya Mipango ya Kitaifa

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan,mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali katika...
  6. MSAGA SUMU

    Msaada: Naomba njia sahihi ya kukataa uteuzi wa rais bila kumkasirisha Rais

    Sio utani. Wakuu heshima kwenu. Vyanzo vyangu vya uhakika kabisa ambavyo vingine viko kwenye jungu la ushauri la uteuzi wa rais vimeniambia ndani ya wiki moja mpaka mbili jina langu litakuwa moja katika mabadiliko fulani fulani katika uRC na uDC. Nimeambiwa kwa uhakika kabisa kuwa kuna nafasi...
  7. N

    Rais Samia Suluhu Hassan anatazamia kutafuta mikopo zaidi toka China wakati wa Kongamano la Ushirikiano kati ya China na Afrika mwezi wa 9

    Rais Samia Suluhu Hassan atatembelea China mwezi Septemba kwa ajili ya Kongamano la Ushirikiano kati ya China na Afrika (Focac) ambapo anatarajiwa kusaini mikataba mipya ya mkopo huku Tanzania ikianza kutekeleza sera mpya ya mambo ya nje iliyofanyiwa marekebisho. Kwa mujibu wa Wizara ya Mambo...
  8. Uzalendo wa Kitanzania

    UTEUZI Rais Samia Amteua na kumuapisha Mwigulu Nchemba kuwa mjumbe tume ya mipango

    Wadau hamjamboni nyote? Mwigulu Nchemba ateuliwa na Rais Samia kuwa mjumbe tume ya mipango Taarifa kamili hapo chini Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango katika hafla fupi...
  9. Pfizer

    Aliyempa Hayati Rais Magufuli zawadi ya jogoo atua na jogoo wa Waziri Bashungwa bungeni

    Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amekabidhiwa jogoo ikiwa ni ishara ya kumpongeza kwa juhudi kubwa za urejeshaji wa mawasiliano ya Barabara katika eneo la Tingi – Kipatimo na Barabara Kuu inayounganisha mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Lindi na Mtwara. Zawadi hiyo imetolewa leo Mei 29, 2024 na...
  10. Nifah

    Zengwe lagubika ziara ya Rais na wasanii; waratibu wadaiwa kufanya mchezo mchafu

    Mkono mtupu haulambwi! Naam, ndivyo ninavyoweza kulielezea hili. Wikiendi iliyopita Rais alijumuika kwenye uzinduzi wa albam ya msanii wa kizazi kipya Harmonize akiwa kama mgeni rasmi pamoja na wageni waalikwa wengine ambao ni viongozi na wadau wa tasnia ya burudani. Katika uzinduzi huo Rais...
  11. Suley2019

    RC Chalamila: Kama una miaka 40 na hauna pesa usimlaumu Rais Samia

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewashangaa wenye umri zaidi ya miaka 40 wanaolalamika kukosa pesa na kutoa lawama kwa Rais Samia. Chalamila amesema: “Kama una umri kama wa kwangu na bado hujawa na hela huna haja ya kutenda dhambi ya kumlaumu Rais aliyeingia miaka mitatu...
  12. BARD AI

    Rais Bola Tinubu afunguliwa Kesi ya kumtaka aweke wazi Mali anazomiliki

    Rais Bola Tinubu ambaye anakaribia kutimiza mwaka tangu aingie Madarakani, ametakiwa kuweka wazi tamko Mali zake zote anazomiliki ikiwa ni njia ya kuonesha Uwajibikaji kwa Viongozi wa Umma Taasisi ya Haki za Kiuchumi na Uwajibikaji (SERAP) imemshtaki Rais Tinubu na kumtaka aweke wazi Fomu ya...
  13. Meneja Wa Makampuni

    Kwanini Rais wa Tanzania hajawahi kutoka royal family

    Haya ni maswali tunapaswa kujiuliza na kuyaweka kichwani. Ni kwanini Rais wa taifa letu hajawahi kutoka Royal family. Yaani ngoja niweke picha ya Ruto:
  14. Sauti Moja Festival

    Faida za Wasanii na Nchi katika Ziara za Rais Nje ya Nchi

    Habari wana-JF, Ziara za Rais nje ya nchi zinapowajumuisha wasanii, hata bila maonesho ya sanaa, zinaweza kuleta manufaa makubwa kwa wasanii binafsi na taifa kwa ujumla. Hizi ni baadhi ya faida hizo: Faida kwa Wasanii Mtandao wa Kijamii na Kitaaluma:Wasanii wanapata fursa ya kukutana na wadau...
  15. Pascal Mayalla

    Wajua Muungano wa Kweli, Ni Muungano wa Serikali Moja?. Wajua Karume, Alitaka Serikali Moja, Nyerere Ndiye Akazuia?. Jee Wazanzibari Watakubali S.1?.

    Wanabodi, Kama kawa, kila nipatapo fursa, huwapiga tuu watu darsa humu, leo naliendesha darasa nikitokea Tanga kwa waja leo, warudi leo. na ni darsa kuhusu muungano wa kweli. Swali ni Je Wajua Muungano wa Kweli, Ni Muungano wa Serikali Moja?. Wajua Karume, Alitaka Serikali Moja, Nyerere Ndiye...
  16. L

    “Kukabiliana na China” kwaibuka tena wakati wa ziara ya Rais wa Kenya nchini Marekani

    "Miezi saba iliyopita, Rais William Ruto wa Kenya alipowasili Beijing, China ilimkaribisha kwa zulia jekundu. Safari hii anapoelekea Washington, anapokelewa tena kwa zulia jekundu." Katika wakati ambao sera za serikali ya rais wa Marekani Joe Biden kuhusu Afrika zimekuwa zikilalmikiwa, tovuti ya...
  17. Tiger B

    Nisamehe Rais wangu Magufuli

    Mimi ni kati ya Watanzania ambao tulikuwa hatukuelewi kipindi ukiwa hai. Ni kweli, kama mwanadamu ulikuwa na mapungufu yako. Lakini jambo moja ni hakika, uliipenda Tanzania na Watanzania kwa moyo wako wote. Kila nikisikiliza ule wimbo wa Msechu huwa ninatokwa na machozi. Pumzika kwa amani Rais...
  18. R

    Wasanii wakisafiri na Rais nje wanakwenda kutumbuiza? Nani atagharamia safari zao?

    Jana lililotoka tamko kwamba kuanzia sasa Mhe. Rais akisafiri nje ataambatana na wasanii mbalimbali. Je hao wasanii lengo lao ni kwenda kufanya matamasha au watakuwa na kazi gani? Je, nani atagahrimia safari zao kuambatana na Rais? Nchi ina utajiri mkubwa kiasi hicho wakati nchi nyingi Duniani...
  19. BARD AI

    Rais Ruto adai kama angetumia Ndege za KQ kwenda Marekani, gharama zingekuwa kubwa zaidi

    President William Ruto has stated that his US travel expenses were significantly lower than those incurred if he had used a Kenya Airways (KQ) plane. "As a responsible steward of public resources and in keeping with my determination for us to live within our means and that I should lead from...
  20. Meneja Wa Makampuni

    Nimeota Makonda kawa Rais wa Tanzania 2030

    Katika ndoto hiyo, nilijikuta nikiwa katikati ya jiji la Dodoma, hali ikiwa shwari na watu wakiwa na furaha. Mji ulionekana kupambwa kwa bendera nyingi zenye rangi ya taifa, na kila kona ya mji ilionyesha hali ya sherehe. Nilitembea hadi eneo la Ikulu, ambapo niliona umati mkubwa wa watu wakiwa...
Back
Top Bottom