kenya

  1. Newbies

    Tanzania: Mtandao wa Intaneti wapotea hewani

    Mtandao kupotea ghafla hewani, umepata changamoto gani mdau? ======= Leo Jumapili, Mei 12, 2024 limetokea tatizo la internet kwenye mitandao ya simu Tanzania kuanzia saa nne asubuhi. Taarifa za awali zinasema mkongo wa kimataifa uliopita chini ya maji uko chini ukizikumba pia Mombasa mpaka...
  2. uhurumoja

    Ligi ya Kenya naona kama imeshuka sana

    Ukiangalia wachezaji wengi ni WA kawaida huenda coastal ukienda Kenya inakuwa bingwa tena bila kufungwa hasa golini akiwepo Matampi Hapa naangalia game ya Gor na Shabana dah ni kama ndondo flani Ila kitu nawapongeza naona Wana viwanja vizuri kuzidi NBC Tff na bodi ya ligi wazuie kabisa baadhi...
  3. Kaka yake shetani

    Kenya inatumika sana kwa tanzania sema ujasusi umelala kwa ufupi

    Kipindi cha ukoloni kenya ndio ilifanya ujerumani ikaondoka sababu mwingereza alitaka kwa nguvu nchi hii na akafanikiwa. kipindi cha kutafuta uhuru nchi nyengine mfano south afrika ,kenya iliusika sana na makaburu ili tuweze kushindwa kuwasaidia wapiga uhuru huko. Umoja wa afrika mashariki...
  4. Kaka yake shetani

    Watanzania tumeshindwa kuelewa kuwa sisi Afrika mashariki ndio wanatuona kama kioo cha jamii hususani Kenya

    Watanzania bado tujashtuka kuhusu ili li nchi letu kutokutambua kuwa sisi hapa afrika mashariki ndio role modo wa nchi zote afrika mashariki. Ukinagalia swala la sanaa kabisa unaona sanaa ya tz inapendwa niliona yule kicheche alivopokelewa congo au reyvan. Tuje kwenye maendeleo hapa tanzania...
  5. Uzalendo wa Kitanzania

    UTEUZI Meja Jenerali Fatima Ahemed ateuliwa kuwa Mkuu wa Jeshi la Anga Kenya

    Wadau hamjamboni nyote? Meja Jenerali Fatima Ahemed Amekuwa mwanamke wa kwanza kuteuliwa kuwa Mkuu wa vikosi vya Jeshi la Anga Kenya Taarifa kamili hapo chini === Kenya's President William Ruto has appointed the first female commander of the air force. Maj Gen Fatuma Gaiti Ahmed becomes the...
  6. JanguKamaJangu

    Mfumo wa Gridi ya Taifa Kenya wapata hitilafu, umeme wakatika maeneo mengi ya Nchi leo Mei 2, 2024

    Mamlaka inayosimamia Huduma ya Umeme Nchini Kenya (The Kenya Power and Lighting Company PLC-Kenya Power) imetangaza tatizo la kukosekana kwa umeme katika maeneo mengi ya Nchi hiyo ambalo limesababishwa na hitilafu za Kiufundi. Kenya Power imeeleza kuwa hitilafu hiyo imetokea katika Mfumo wa...
  7. GoldDhahabu

    Katiba ya Tanzania ni nzuri, lakini ya Kenya ni bora zaidi kuliko ya Tanzania

    Inasemekana, Naibu Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Kenya, Jenerali Ogolla, alitumwa kuzuia Ruto asitangazwe kuwa mshindi wa kiti cha Urais Kenya, lakini azma hiyo haikufanikiwa. Viongozi wa Tume ya uchaguzi hawakuuogoopa Ujenerali wake. Waliiheshimu na kuisimamia Katiba yao kikamilifu...
  8. R

    Kenya mishahara kupanda kwa asilimia sita kwa wafanyakazi wa kima cha chini

    Ukimsikiliza Rais wa Kenya anavyochambua uchumi na mipango ya kupanua ajira unabaini hotuba yake imeandikwa na wataalam kwa kuzingatia presha kubwa iliyopo kwenye vyama vya wafanyakazi. Pamoja na kwamba hakuna ahadi kubwa wanayopata wafanyakazi Kenya kulinganisha na Tanzania ila vyama vya...
  9. P

    Raia wasimama kidete kwa polisi walioingia kwenye gari yao kwa mabavu wakitaka kufanya ukaguzi

    Tazama hapo kwenye video raia wanauliza kwanini umevamia gari yetu polisi hawana majibu, wanaulizwa tumefanya kosa gani hawana majibu, wanaambiwa watoe vitambulisho kuthibitisha kuwa wao ni polisi kweli wanasuasua tu, mwishowe wanaishia kuwaambia unajua mimi na nani. Ni dhahiri jamaa walikuwa...
  10. GENTAMYCINE

    ADC wa Rais Samia asijisahau Kiitifaki hawaruhusiwi Kucheka wala Kutabasamu awapo kazini

    Najua kuna watu watakuja hapa kunishanga na kunishambulia ila kwakuwa huwa najiamini kwa kile ambacho nakisema na nakimaanisha wala sitojali. Narudia tena Mpambe yoyote yule wa Rais (ADC) tena akiwa na Sare zake za Kijeshi huwa haruhusiwi Kucheka au Kutabasamu katika Mazingira yoyote yale awapo...
  11. S

    Uwindaji wa Tembo Endulen Umedhoofisha Diplomasia na Kenya

    Habari wadau! Kuna jambo hili linalalamikiwa sana na Serikali ya Kenya kila kukicha serikali imeweka pamba masikioni. Kuna uwindaji wa Tembo wakutisha unafanyika Endulen (kwa wasiojua Endulen ni pori la wanyama lililoko mpakani kati ya Amboseli National park na Tanzania upande wa huko West...
  12. Wadiz

    Nairobi Kenya: Mzungu apigwa kipigo Cha mbwa Koko na Security wa Petrol Station baada ya kumwita Nyani mhudumu wa kuuza mafuta

    Shalom, Tafadhari mwenye video popote alipo aiweke hapa, kuna kichapo Cha mbwa Koko mzungu mwenye matusi ya kutia watu Nyani amekipata, Nairobi ilijaa kizaa zaa baada ya mzungu kupata kichapo huku ikionekana huyu mzungu ni Baharia wa kugaurd ila bahati mbaya alizidiwa na ukubwa na uzito wa...
  13. I

    Kenya yaorodheshwa kama nchi ya nne kwa utajiri barani Afrika

    Kenya iliorodheshwa katika nafasi ya nne katika nchi tajiri zaidi barani Afrika na siku 2 zilizopita Kenya imeorodheshwa miongoni mwa masoko makubwa matano tajiri barani Afrika yenye mamilionea na mabilionea. Kulingana na Ripoti ya Utajiri ya Afrika ya 2024 iliyochapishwa na Kampuni ya...
  14. Aramun

    Kaka na Dada wawa Wapenzi bila kujua huko Kenya, mama yao awaunga mkono

    Ndugu hawa damu, Kyle na Brianna wana-trend mitandaoni kwa kuchumbiana. Wanapanga kuoana na kupata watoto pamoja huku Mama yao anaunga mkono uamuzi wao. Hata hivyo, hawakujua kama wana undugu wa damu mwanzoni wakati wanaanzisha mahusiano. Jambo hili limezua hasira mtandaoni huku watu wengi...
  15. D

    KCB na Equity Bank wanafanya biashara na BoT?

    Kwa nini mikopo chechefu? mikopo chechefu inaanzaje anzaje, inaanzia kwa nani hadi iitwe chechefu. Tutafakari tusaidie taifa? Mabenki yamekuwa yanatangaza faida kubwa kuwa wamevuka lengo kumbe ni sanaa, haki za wafanyabishara zipatikane wapi? Debt collector ndo maelekezo yako hayo.(faida...
  16. The Sheriff

    Rais Ruto: Asilimia 80 ya huduma za serikali zinapatikana kidijitali. Tunakusudia teknolojia kuwa msingi wa mageuzi ya Kenya

    Rais wa Kenya William Ruto amesema kwamba utawala wake umekamilisha asilimia 80 ya kuweka huduma za serikali kidijitali. Akizungumza leo Jumatatu, Ruto amesema kuwa ana furaha sana na maendeleo ambayo utawala wake umefanya hadi sasa. Amesema hayo wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Connected...
  17. P

    Mkuu wa Majeshi wa Kenya alitaka azikwe bila Jeneza na asicheleweshwe kuzikwa

    Mkuu wa majeshi Kenya,alitaka azikwe bila jeneza na asicheleweshwe kuzikwa ili kupunguza gharama za mazishi,japo yeye ni mkristo.
  18. Stuxnet

    Zoezi la Vyeti Feki Kenya: Rutto Asiingie Mtego wa Magufuli

    Magufuli alifanya hili zoezi la vyeti feki kwa Tanzania lakini alikuwa selective. Magufuli hakugusa TPDF, Bunge na Wakuu wa mikoa. Hata Polisi na TISS nao hawakuguswa. Halafu alidhulumu mafao ambayo ni jasho lao. Nashauri tu kuwa kama William Rutto anataka lifanikiwe alifanye across-the-board...
  19. Heparin

    TANZIA Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (KDF) Jenerali Francis Ogolla afariki katika ajali ya Helikopta ya Jeshi

    Ndege iliyombeba Mkuu wa Majeshi ya Kenya (KDF) Jenerali Francis Ogolla imepata ajali muda mchache baada ya kuruka angani. Bado Taarifa rasmi haijatolewa juu ya Usalama wao, lakini taarifa za awali zinadai ndege hiyo ya Kijeshi ilikuwa imebeba watu 9, na imewaka moto baada ya kudondoka hivyo...
Back
Top Bottom