polisi

  1. Roving Journalist

    TPF NET Arusha wanolewa, waonywa kujiepusha na vitendo viovu

    Katibu wa Mtandao wa Polisi Wanawake Tanzania TPF net Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Pili Mande amewataka Askari wa kike Mkoa wa Arusha kujiepusha na vitendo ambavyo ni kinyume na maadili ya Jeshi hilo. Kauli hiyo ameitoa leo wakati akitoa mafunzo yaliyoandaliwa na mtandao huo...
  2. GENTAMYCINE

    Kamanda Muliro jana alipewa Nishani ile ya Heshima Jeshi la Polisi kwakuwa anastahili au kwakuwa Tukio lilianyika tu Mkoa wake wa Dar es Salaam?

    Kamanda ambaye hakuna Mechi ya NBC Premier League iwe Kwa Mkapa au Chamazi anakosa sasa huo Utendaji wake hadi kufikia nae kupewa hiyo Nishani jana na IGP Wambura ni upi? Kama kuna Makamanda ambao nawakubali hasa Kiutendaji wao basi wale wa Tabora, Kigoma, Arusha, Rukwa, Morogoro, Lindi na Kwetu...
  3. Stephano Mgendanyi

    Uwekaji wa jiwe la Msingi katika Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara.

    Uwekaji wa jiwe la Msingi katika Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara. Ujenzi wa ofisi hii hadi kukamilika kwake kutagharimu kiasi cha zaidi ya Shilingi Bilioni moja , ikiwa hadi sasa immeshagharimu kiasi cha Shilingi milioni 800,000,000 zimekwisha kutolewa kwa ajili ya ujenzi.Haya ni...
  4. More Chances

    Mfumo wa ajira za Polisi haufunguki

    Habari wakuu, Tangu kutangazwa kwa hizi ajira za polisi 09/05/2024 mpaka leo bado sijafanikiwa Ku Signin kwenye huo mfumo. Kila nikijaribu haufunguki, je kuna mtu amefanikiwa kukamilisha maombi? Ushauri tafadhali maana hio ajira kwangu ni muhimu sana kulingana na Situation yangu ya maisha kwa sasa
  5. A

    Ajira za jeshi la polisi

    Wana bodi habari za asubuhi kutoka upande wa malampaka hizi ajira za jeshi letu la polisi kwa nini website yao iko down muda wote ukianza utaratibu wa kuomba baadae unagoma kufunguka ata izo siku walizo ongeza wamefanya kitendo sawa na bure. Mtandao haufunguki ningeshauri jeshi letu la polisi...
  6. Duc in altum

    Waziri Nape saidia mfumo wa polisi upo chini kwa wiki nzima sasa

    Zaidi ya wiki inaisha mfumo wa polisi uko down sijui umezidiwa na Watumiaji au Server ndio tatizo. Waziri atoe msaada wake.
  7. D

    Niliyoona leo kwenye mfumo wa ajira wa Polisi ni Kituko

    Katika harakati za kuwatumia madogo application za polisi leo nimegundua kuwa kuna tatizo upande wa database za hawa jamaa(www.polisi.go.tz) kwani ukiupload document za user huyu zinaenda kwa user mwingine pia hauwezi ku preview muda wote SERVER ERROR, kwa nchi kama hii na ukubwa wake ninasikitika.
  8. ACT Wazalendo

    Dahlia Majid: Kufanyike Uchunguzi huru kuongezeka mauaji yanayohusisha Polisi.

    Chama cha ACT-Wazalendo kimetaka uchunguzi wa Kamati ya Kibunge juu ya vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu vinavyofanywa na Jeshi la Polisi na magereza. Kimetaja vitendo vya utekaji, uteswaji wa watuhumiwa na ushirika wa Jeshi la Polisi kwenye matukio ya mauaji ya rai vimerudi kwa kasi...
  9. Roving Journalist

    Arusha: Benki yatoa pikipiki 20 kwa Jeshi la Polisi, RC Makonda awakabidhi

    Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha leo Mei 16, 2024 limepokea msaada wa pikipiki 20 toka benki ya CRDB kwa ajili ya kuimarisha usalama wa raia na mali zao katika Mkoa huo. Akikabidhi pikipiki hizo Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe; Paul Makonda amesema pikipiki hizo zimetolewa kwa Jeshi la Polisi ikiwa...
  10. contask

    Jinsi smartphone used ilivyonipeleka polisi

    Habari wanajukwaa, Leo nimeona niwaelezee smartphone ilivyonipeleka polisi katika kituo ca msimbazi then njkahamishwa hadi kituo cha Mbweni kilichopo Bagamoyo Road, nisiwachoshe ngoja niende moja kwa moja kwenye kichwa cha uzi wetu. Mimi ni kijana nipo chuo fulani nikiwa najihusisha kuuza...
  11. M

    Maoni: Jeshi la Polisi liongeze muda wa kuomba ajira kutokana na changamoto ya mtandao

    Nawasalimu kwa Jina la Muungano wa Tanzania!! Samahani, naomba kuwasilisha MAONI kutokana na kuwepo kwa changamoto ya kimtandao kuanzia tarehe 11.05.2024 hadi hivi sasa. Hali ambayo inazua taharuki kwa vijana waliyokidhi vigezo vya kufanya maombi ya nafasi za ajira zilizotangazwa kwenye mfumo wa...
  12. Mtemi mpambalioto

    AJALI za Barabarani: Tatizo sio Polisi, Serikali oneni AIBU rekebisheni miundombinu! barabara ni mbovu sana

    Kuna Barabara ni tokea alivyojenga MWALIMU NYERERE, je mnategemea zitakuwa ni bora kwa maisha ya sasa? Mfano barabara ya kutoka Morogoro mpaka dodoma yaan kila mita 100 kuna shimo! njia nzima ni mashimo tuuu je hizi ajali mnalaumu Askari wa usalama.barabarani? nimeona barabara ya bagamoyo hasa...
  13. Roving Journalist

    Mkazi wa Arusha amwambia Makonda: Mtoto wangu amelawitiwa, Askari Polisi hawanisaidii na wananipa vitisho

    Mkazi wa Muriet Jijini Arusha akielezea changamoto aliyokutana nayo akidai Mtoto wake amelawitiwa na baadhi ya Watu huku Askari kadhaa wa Murieti wakimzungusha kupata haki yake licha ya vipimo vilivyofanyika katika Hospitali ya Murieti na Mount Meru kuthibitisha ukatili aliofanyiwa mwanaye...
  14. S

    AJIRA POLISI

    Tumeona jeshi la polisi limetangaza nafasi za ajira jamani naomba kma kuna mdau yoyote anayeweza kunisaidia nipate maana nimeshaomba sana uko nyuma nikakosa msaada nawaomba sada
  15. S

    AJIRA POLISI

    Tumeona jeshi la polisi limetangaza nafasi za ajira jamani naomba kma kuna mdau yoyote anayeweza kunisaidia nipate maana nimeshaomba sana uko nyuma nikakosa msaada nawaomba sada
  16. Jamii Opportunities

    Tangazo la ajira kutoka Jeshi la Polisi Tanzania Aprili, 2024

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania anatangaza nafasi za ajira kwa vijana wenye elimu ya Shahada, Stashahada, Astashahada, Kidato cha sita na Kidato cha nne. 1. Sifa za Muombaji a) Awe raia wa Tanzania kwa kuzaliwa. b) Awe amehitimu kidato cha nne au sita kuanzia mwaka 2018 hadi 2023. c) Kwa...
  17. S

    Mtoto wa miaka 8 aliepotea Kibaha na kukutwa ametupwa shimoni na amekufa: Ni sahihi Polisi kusema usubiri masaa 24 kabla ya kuripoti kupotea mtoto?

    Kuna tukio la hivi karibuni la Kibaha, ambapo wazazi wa mtoto wa kike wa miaka 8, Angel, mwanafunzi wa darasa la 2, walienda Polisi kuripoti kupotelewa mtoto, wakaambiwa Polisi hawawezi kupokea taarifa yao ya kupotelewa mtoto na inabidi wasubiri kwanza masaa 24 ndio wakaripoti kupotelewa mtoto...
  18. Baba Kisarii

    Ulishawahi kulazwa kituo cha polisi na mkeo?

    Niliwekwa ndani na mke wangu baada ya mimi kugoma kutoa mchango wa kumdhamini kaka yake aliyekamatwa na pembe za ndovu. Zilitakiwa milioni 5 kumdhamini kaka wa mke wangu, ndugu zake walijikusanya wakachanga milioni 3. Zile mbili zilizopungua mke wangu alikuja kuniomba nitoe hizo hela ili...
  19. A

    Sio sawa polisi kufanya doria bila kuwa na gari rasmi ya polisi

    Hii Tabia Inabidi Polisi waiache. Polisi wetu wanatabia ya Kutembea Gari lisilokuwa na Plate namba yaani (PT......) HII Tabia ni ya Kihalifu. Kuwa Polisi haikufanyi kuvunja Sheria. Kwa Kutembea Bila Plate namba inaashiria wanaweza kufanya Tukio la uhalifu na wasijulikane. Kwa maana plate...
  20. Single Digit

    SoC04 Kuna umuhimu wa Serikali kuboresha mishahara ya Walimu na Polisi

    Imekuwa kilio kisichokua na majibu miaka nenda rudi suala la mishahara ya walimu, pamoja na polisi katika kuboresha mishara yao. Japo Kuna watu wanasema inatosha ni sawa ila bado haitoshelezi ukilinganisha na kazi wanayo fanya kila siku. Hii husababisha Mambo mbali mbali mbali Kama...
Back
Top Bottom