Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

  • Sticky
Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje... ============== July 2014...
115 Reactions
2K Replies
1M Views
  • Sticky
Salaam! Ni muda sasa humu Jukwaani kumekuwa na mabandiko ya watu mbalimbali wakiomba kazi, zile za ujuzi mahususi na zile za jumla. Baadhi ya wanaoandika wamekuwa wakitaja sifa zao, wengine...
87 Reactions
210 Replies
148K Views
  • Sticky
Wewe ni mfanyakazi wa Serikali, Kada ya Kilimo (Afisa Mifugo, Afisa Kilimo, Bwana Nyuki n.k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi? Kutokana na wengi kuweka maombi ya watu wa...
3 Reactions
145 Replies
95K Views
  • Sticky
Habari zenu wana-JF? Naomba msaada wa jinsi ya kuandaa CV yangu.. Mie ni mwanafunzi wa mwaka wa mwisho Computer science, nataka kuandaa CV yangu vizuri. Shukrani! Namna ya kuandika CV...
41 Reactions
296 Replies
254K Views
Ndugu wanajukwaa, natumaini mnaendelea vizuri katika harakati za hapa na pale za kujikwamua kiuchumi. Bila kuwachosha niende moja kwa moja kwenye hoja husika: Siku za nyuma hivi karibuni Tume...
10 Reactions
50 Replies
4K Views
Habarini wakuu, Naomba kwa anaefahamu sehemu wanatoa vibarua kwa siku Mbeya, iwe ni kiwandani ama kwenye miradi ya ujenzi, barabara n.k naomba anisaidie conection au utaratibu wa namna ya kupata...
4 Reactions
17 Replies
261 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
42 Reactions
51K Replies
3M Views
Habiri wanaJF, Mimi ni kijana wa kiume umri22, nilihitimu form 6 mwaka jana lakini sikufanikiwa kwenda chuo kwa sababu za kiuchumi. LENGO: Tafadhali naombeni mnisaidie kazi yoyote halali kama...
1 Reactions
9 Replies
129 Views
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania anatangaza nafasi za ajira kwa vijana wenye elimu ya Shahada, Stashahada, Astashahada, Kidato cha sita na Kidato cha nne. 1. Sifa za Muombaji a) Awe raia wa...
3 Reactions
57 Replies
7K Views
Wakubwa habari za majukumu samahani kwa walio fanya interview Za utumishi hivi karibuni setting yao inakuaje kwa intervier za online au maswali yao yanakua katika mfumo gani?
1 Reactions
15 Replies
672 Views
Wadau ni kipindi gani ajira za jeshi la polisi zinategemea kutangazwa?
0 Reactions
35 Replies
1K Views
habari za muda huu ndugu zangu, mimi kijana wenu mkazi wa Ubungo, Dar es salaam na muhitimu wa shahada ya habari mawasiliano na biashara (IT with Business) mwaka 2020. Nimejikita zaidi kwenye web...
1 Reactions
0 Replies
25 Views
Habar za jioni wana jukwaa, Ninaomba msaada mimi ni muhitimu wa master ya elimu Usimamizi na Utawala. Sasa tokea nimalize nimekua natafuta kuhama idara japo nisogee katika idara zingine mfani...
3 Reactions
16 Replies
527 Views
Nimehitimu Degree ya Uchumi wa maendeleo ya jamii(Community Economic Development) mwaka 2022. Experience: Nina uzoefu wa mwaka [1] kama Afisa maendeleo ya jamii katika shirika la WORLD VISION...
3 Reactions
0 Replies
51 Views
Eneo : Dar/kimara Muda Wa kazi : 1 asbuh - 4 usku Mahitaji Wadhamin wawili (2) waliojenga wanao ishi kwao. Mshahara : 200,000 Mawasiliano : PM
2 Reactions
3 Replies
110 Views
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetangaza nafasi za kujiunga na Jeshi kwa Vijana ambao wametumikia au wamefanya mafunzo ya kujitolea katika Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa miaka...
14 Reactions
678 Replies
75K Views
Haya maisha bwana. Mwaka 2019, nilifanya interview na shirika Moja la waingereza, aisee interview ilikuwa Kali hatari, nilikuwa natoa jibu linalonijia kichwani. Cha kushangaza baada ya wiki Moja...
5 Reactions
42 Replies
1K Views
Hello mambers, Naomba sana msaada wenu, niliomba kazi kwenye shirika moja la wa Norway, juzi nikatumiwa email kuwa nimekuwa shortlisted hivyo nitafanya interview via zoom. Naomba kuuliza maana...
3 Reactions
23 Replies
519 Views
Natafuta binti wa kufanya kazi ya kuuza nguo pamoja na delivery Duka lipo kigamboni ungindoni sokoni Awe na sifa/vigezo vifuatavyo Umri: 18 to 25 Awe na simu janja/smartphone Awe mkazi wa...
0 Reactions
0 Replies
50 Views
Habari wadau, nilikuwa nahitaji kufahamu.. Ikiwa umeitwa kwenye interview ya written Utumishi, na cheti cha kuzaliwa kimepotea ila una copy yake iliyokua certified na mwanasheria. Je, napaswa...
0 Reactions
3 Replies
193 Views
Position: Investigation Officers II (250 Posts) Required Qualifications: Academic Qualifications: Applicants should possess three years Advanced Diploma or Undergraduate degree from...
5 Reactions
62 Replies
6K Views
  • Redirect
Wadau tumeona jeshi la polisi limetangaza nafasi za ajira sasa wadau kma mm nimeomba sana huwa sipati naombeeni msaada kma mtu anaweza nisaidia nimeomba kma mara mbili nimekosa saada wadau
2 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Tumeona jeshi la polisi limetangaza nafasi za ajira jamani naomba kma kuna mdau yoyote anayeweza kunisaidia nipate maana nimeshaomba sana uko nyuma nikakosa msaada nawaomba sada
1 Reactions
Replies
Views
Habarini wana JF, Mimi ni kijana Nina miaka 25, natafuta kazi nimesoma clinical medicine, nipo registered na leseni ninayo, naomba kazi dispensary au health centre, Kwa Sasa nipo mwanza...
2 Reactions
27 Replies
360 Views
Back
Top Bottom