tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tuo Tuo

    Je, najuaje kama nina tatizo la Homa ya Uti wa mgongo (Meningitis)

    Ninaonesha dalili zifutazo 1. Homa kali kichwa kama kinawaka moto 2. Maumivu ya mgongo 3. Maumivu ya kichwa 4. Kuhisi kama unachanganyikiwa Kama kuna mtu ashawai pata hilo tatizo anikosoe.
  2. F

    Dar es Salaam bila tatizo la foleni 2030 inawezekana

    Foleni!! Foleni! Huu ni wimbo miaka nenda Rudi kwa miaka sas kwa jiji la Dar es salaam, japo jitihada mbali mbali zimefanywa na vingozi mbali mbali kujenga miundombinu kwajili ya ktatua ama kuondoa tatizo hili lakini imeshindikana. Lakini viko Vitu tunaweza kufanya nikasaidia kwa miaka ya...
  3. F

    Tanzania yangu na tatizo la Ajira kwa vijana

    Kumekuwa na wimbi kubwa sas ama kilio kikubwa juu ya kanga la ukosefu WA ajiraa miongoni mwa vijana wanao hitimu ngazi mbali mbali za elimi, na hata walioko mtaanii pia. Huku upande mwingine tukisikia wimbo wa Tanzania ni tajiri na fursa nyingi. Nini kifanyike? Kwa maoni yangu kwa miaka kadha...
  4. Wadiz

    Nawakutanisha wazee wa kuchukua namba za simu fasta na kwa wingi ila hawamalizi mchezo. Tatizo lenu ni nini?

    Shalom, Naomba wadau wa kuchukua namba za viumbe pendwa mnaanzisha project ila finishing mnashindwa tatizo lenu nini hasa? Wazee wa incomplete projects Maneno mengi vitendo na finishing zero. Karibu mseme changamoto zenu tuwasaidie. Nawasubiria kwenye comments Wadiz
  5. R

    SoC04 Uwekezaji kwenye sanaa na michezo kupunguza wimbi la tatizo la ajira

    Sanaa kwa kiasi kikubwa katika ukanda wetu wa bala la Africa kwa kiasi kikubwa imeanza kuwa sekta rasmi ambayo kama itawekewa mkazo kwa kiasi kikubwa sana inaweza kutoa ajira kwa watu wengi sana kwani cheni ya ajira kwenye sanaa ni kubwa sana kuanzia kwenye chimbuko ambalo ni kipaji cha mtu...
  6. Bila bila

    Hatimaye leo nimejiridhisha tatizo la Simba ni Viongozi

    Leo Simba Wana tukio (event) pale Dodoma mgeni rasmi akiwa Naibu Spika Zungu. Kinachonifanya niseme chanzo cha matatizo ya Simba ni Viongozi ni pale Mjumbe mmoja wa Bodi aliyepewa nafasi WA kuongea Kwa niaba ya Bodi na kumkaribisha mgeni rasmi, anapomwambia mgeni rasmi kwamba matokeo mabaya ya...
  7. G

    Hii ndiyo sababu kuu mama au dada zako wanamchukia mke wako japo kwa jicho la kiume ni ngumu kujua

    Sisi wanaume ni ngumu kujua hatujapewa huo uwezo machoni, labda iwe ni wazi wanaonesha hawampendi. Sababu ni hizi 𝗪𝗶𝘃𝘂 Ukute wewe ni mtu unaewajibika kwa mkeo, unampenda na kumjali na unamtunza vyema mkeo, dada yako mama yako pengine aidha hana ndoa kabisa ama aliolewa akaachika ama yupo...
  8. H

    Ulipataje taarifa kuwa Kuna tatizo la kimtandao kwa baadhi ya nchi.Mimi nilipata humu Jamii forum.Hongera sana Jf.

    Salam humu. Naona tatizo lililotokea limeonesha jinsi gani mawasiliano yalivyo muhimu kwa Taifa. Mitandao ya mawasilianao ya simu na wadau wengine ilipaswa kuwa ya kwanza kutujuza sisi wateja kuwa kuna tatizo la katizo la mawasilianao ya kimtandao ,,but they come later..labda sijui kuhofia...
  9. H

    Nani anawajibika kwa hasara iliyotokea kwa kukosekana kwa Internet?

    Salam wadau. Tunaambiwa ni tatizo lilikuwa ni mkongo kukatika baharini, watu wengi hawajui mkongo ni nini unakaa wapi unatoka wapi na nani anaumiliki na nani anautengeneza huo mkongo. Mtu anachojua ni kampuni ya simu tu voda, tigo, airtel nk. Hayo mambo ya mkongo unapita baharini hajui hilo...
  10. Trainee

    Tatizo la kuchunika ngozi husababishwa na nini?

    Mtoto anachunika ngozi mikononi na miguuni. Inaanza kama kidoti fulani kisha ukivuta ile sehemu ndo inatoka kipande kikubwa cha ngozi . Hahisi maumivu yoyote na hospital nimeenda wakasema ni kawaida tu wakanipa dawa za minyoo
  11. Melki the Storyteller

    Tukiachana na Fibre Cables, hiki ni kisababishi kingine cha ukosefu wa intaneti

    Picha: Internet Fibre Cable ndani ya bahari ya Hindi ambayo ilipelekea tatizo la internet ================= Umekuwa ukipata shida ya mtandao kwenye hizi siku mbili-tatu ndani ya hii weekend? Umejiuliza kwa nini na kulaumu sana mtandao wako? Usilaumu sana hili tatizo limesababishwa na...
  12. covid 19

    Serikali kupoteza mabilioni sababu ya tatizo la Internet

    Usipoziba ufa utajenga ukuta huu ni msemo wa wahenga ukiwa na maana kuwa mapuuza juu ya mambo madogomadogo upata taabu na hasara kubwa baadae. Mimi naamini dalili za hili tatizo zilikuwepo ila pengine wahusika walijisahau au kupotezea kwa makusudi haya tunayoyaona ni matokea ya mapuuza ya...
  13. Mtemi mpambalioto

    AJALI za Barabarani: Tatizo sio Polisi, Serikali oneni AIBU rekebisheni miundombinu! barabara ni mbovu sana

    Kuna Barabara ni tokea alivyojenga MWALIMU NYERERE, je mnategemea zitakuwa ni bora kwa maisha ya sasa? Mfano barabara ya kutoka Morogoro mpaka dodoma yaan kila mita 100 kuna shimo! njia nzima ni mashimo tuuu je hizi ajali mnalaumu Askari wa usalama.barabarani? nimeona barabara ya bagamoyo hasa...
  14. K

    Nashindwa kabisa kurudia tendo kwa mwanamke mmoja; lakini wakiwa tofauti naweza kwenda hadi mara nne. Nina tatizo?!!!

    Habarini wakuu! Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Nina changamoto hiyo; siwezi kamwe kurudia tendo nikiwa na mwanamke mmoja......yaani nakuwa mtu wa bao moja tu chali hata nifanye au anifanyie nini mwanamke. Yupo aliyenipenda na kutumia usiku mzima kunijaribu kwa kila hali ikiwemo kuloweka...
  15. BARD AI

    Ubalozi wa Marekani - Tanzania wasitisha Miadi ya Wageni kutokana na tatizo la Intaneti

    Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania umesema kutokana na changamoto ya intaneti inayoendelea Nchini Tanzania, umesitisha miadi yote ya Watu wanaotaka kutembelea Ubalozi kesho. Taarifa fupi ya Ubalozi huo imesema Ubalozi utapanga ratiba ya kupokea Watu watakaofika Ubalozini hapo kwenye tarehe za...
  16. M

    Tatizo la lishe duni bado ni kubwa nchini Tanzania.. wananchi wahimizwe kula chakula cha kutosha na sio kutishwa kuhusu vyakula.

    Kwa mujibu wa taasisi ya kimarekani ya National Health and Nutrition Examination Survey (NHANES) hadi kufikia mwaka 2016 nchi ya Tanzania ilikuwa ina kiwango cha unene uliopitiliza (Obesity Rate) kwa 8.4% ya idadi ya watu wake. Huku USA ikiwa na 42.1% ya idadi ya watu wake. Hii ni kumaanisha...
  17. ACT Wazalendo

    Yasinsta Cornel: Ubadhirifu na Ucheleweshaji wa Miradi ya maji; Tatizo kwa upatikanaji wa maji nchini,

    Waziri Kivuli wa Maji wa ACT Wazalendo Ndg. Yasinta Cornel Awiti amesema kuendelea kwa vitendo vya uzembe na ubadhirifu katika miradi ya maji ni chanzo cha tatizo la upatikanaji duni wa huduma ya maji nchini. Hivyo, ametaka uwajibishwaji wa watu wote wanaohusika na vitendo vya uzembe na...
  18. Mabula marko

    SoC04 Tuuvune na kuuhifadhi umeme kwa matumizi ya baadae ili kupunguza tatizo la mgao na kukatika kwa umeme katika nchi yetu

    TUUVUNE NA KUUHIFADHI UMEME KWA MATUMIZI YA BAADAE ILI KUPUNGUZA TATIZO LA MGAO NA KUKATIKA KWA UMEME KATIKA NCHI YETU Utangulizi Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazojitegemea...
  19. P

    Kuna tatizo lolote kuezekea na mbao zenye ubichi?

    Habari zenu wakuu. Nataka kupiga kenchi na mbao ninazotaka kuezekea Bado mbichi Je Kuna changamoto yoyote kupiga kenchi na mbao za aina hii?
  20. D

    Utoro wa wabunge bungeni tena bunge la bajeti, tatizo ni nini?

    Habari! Hivi hii tabia ya wabunge kutohudhuria vikao bungeni iliyokithiri, inasababishwa na nini? Huo utoro nadhani madam speaker, bunge limemshinda kabisa au wabunge wengi hawaoni umuhimu wa wao kuhudhuria bungeni yaani kifupi wamechoka au wamekifiwa na kazi ya ubunge. Vikao vya halimashauri...
Back
Top Bottom