dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkalukungone mwamba

    Serikali kupunguza foleni Dar

    waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mhe. Daniel Sillo, amesema Serikali imepanga kushirikisha halmashauri ya jiji na manispaa zake pamoja na TANROADS Ili kubaini na kutenga maeneo kwa ajili ya ukaguzi wa magari unaofanywa na Jeshi la polisi ili kupunguza msongamano katika jiji la Dar es Salaam...
  2. B

    Dar es salaam Mecca ya vyama vya ukombozi, pia jiji la mapigano baina ya vyama hasimu vya ukombozi Afrika ya Kusini

    MAKALA SEHEMU YA KWANZA: TANZANIA ILIPOKUWA MAKAO MAKUU YA VYAMA VYA UKOMBOZI NA CHANGAMOTO ZAKE MWAKA 1959 CHAMA CHA MRENGO MKALI PAC PAN AFRICANIST CONGRESS https://m.youtube.com/watch?v=k9CSA0eN00s Mnamo 1959 Walioamini kuwa Afrika ya Kusini ni Kwa Waafrika siyo nchi mchanganyiko...
  3. Mr Confidential

    Je, UDSM wana Online masters degree program kwa course ya MBA?

    Wakuu, Je, UDSM wana Online masters degree program kwa course ya MBA? Kama hawana, what is the option kwa mtu anayeishi kanda ya ziwa kusoma hii course (MBA -Finance) NAkaribisha ushauri wowote kuhusu hii kozi na chuo.
  4. S

    Natafuta mchumba awe anaishi Dar

    Mimi ni mwanaume natafuta mchumba awe anaishi dar Umri 20-35. Umri wangu 32. Asiwe slay queen. Ajue thamani ya mwanaume Mwanamke serious anifate inbox aache kuchat chat hapa.
  5. Huihui2

    Bandari ya Dar es salaam Kuipiku Mombasa katika biashara ya kubeba shehena

    Citizenhttps://www.ke.co Kioko Nyamasyo on Monday, 6 May 2024 Wakati Kenya ikiendelea kuongoza kwenye ushindani wa biashara ya bandari katika Afrika Mashariki, kuna tishio kubwa kutoka Tanzania kutokana na Bandari ya Dar es Salaam kuongeza mizigo mara dufu katika muongo mmoja uliopita. Hili...
  6. Mzee Mwanakijiji

    Mwenge wa Uhuru upo kwa faida ya nani?

    Leo kwa mara nyingine mbio za mwenge zimeanza tena Tanzania, na safari hii mwenge umewashwa huko Dole Zanzibar kuendeleza ile adhma ya taifa letu changa kuwa "sisi tumekwisha kuwasha mwenge na kuuweka Kilimanjaro". Mwenge huu ulipowashwa mara ya kwanza na kuwekwa kwenye kilele cha Kilimanjaro na...
  7. E

    Natafuta kazi Dar

    Habari zenu wapendwa, mimi ni binti wa miaka 28 elimu yangu ni kidato cha nne ninaujuzi wa kompyuta nilisoma kozi fupi natafuta kazi ya stationary, au uwakala tigopesa nimefanya mara kadhaa hizo kazi nina uzoefu nazo napatikana Dar - Mabibo Napatikana humu0789 642604. Asanteni.
  8. Stephano Mgendanyi

    Mawasiliano ya Barabara ya Dar - Lindi Kurejea Kesho, Panapitika: Waziri Bashungwa

    MAWASILIANO YA BARABARA DAR - LINDI KUREJEA KESHO, SOMANGA PANAPITIKA: WAZIRI BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa anaendelea kuisimamia timu ya wataalam na Makandarasi kurejesha mawasiliano ya barabara ya Lindi - Dar es Salaam ambapo tayari eneo la somanga limeanza kupitika na...
  9. K

    Serikali inanyanyasa wananchi Dar kupitia mwendokasi

    Wananchi elfu tatu wako vituo vya hapa NBC bank mjini kati tangu saa 11, hakuna gari inayopakia bali zote za kwenda Mbezi na Kimara zinapita zimejaa na hazisimami. Je, kwanini Serikali inakubali kunyanyasa wananchi wake hivi? Waziri wa Tamisemi na Mkurugenzi wa UDart unafurahia nini kuona...
  10. C

    Ombi, ushauri au ufafanuzi ofisi za NACTE ofisi za Dar es Salaam

    Habari zenu ndg zangu, Ndugu zangu naomba ufafanuzi au ufahamu na ufafanuzi juu ya hali anayopitia mdogo wangu, mdogo wangu kafuata TRANSCRIPT yake ofisi za NACTE DAR tarehe 29/05/2024 akajibiwa arudi baada ya may-mosi yaani tarehe 02/05/2024 na akarudi tarehe hzo lakini alijibiwa MTANDAO UPO...
  11. C

    Siku ya tano sasa NACTE wanasema kuna tatizo la mtandao kutoa transcript, nifanyaje?

    Habari zenu ndg Watanzania na wasio Watanzania tulioko humu ndani? Ndugu zangu awali ya yote poleni na majukumu zaidi shukurani kwa MUUMBA. Ndungu zangu nipo mbele zenu kwa ombi moja la kuomba ufafanuzi, ushauri juu ya hali anayopitia mdogo wangu hapo ofsi za NACTE Dar, mdogo wangu huyu ni...
  12. Pfizer

    RE/MAX Coastal, Coral Property zazindua mradi wa nyumba za gharama nafuu jijini Dar

    Katika mpango unaolenga kuunga mkono juhudi serikali za kuhakikisha kunakuweko na nyumba za makazi bei, kampuni ya ya RE/MAX na ile ya Coral Property zimezindua mradi wa nyumba mpya za bei nafuu wa Sky Royal, mtaa wa Morocco Jijini Dar es Salaam. Waziri wa Ardhi. Nyumba na Maendeleo ya...
  13. Mwanaumke wa mithali

    Kufungua Bucha la samaki Dar kutoka Ziwa Victoria

    Kwa hapa Dar, je naweza kufungua butcher la samaki wabichi sato, sangara n.K kutoka Mwanza ? Kwa mtaji wa 2 milioni. Kwa wazoefu na soko la SAMAKI na usafiri pia Kutoka MWANZA to Dar hiyo pesa inatosha ?? Naomba mnielekeze
  14. liyangafx

    Natafuta kazi yoyote ya halali Dar es Salaam

    Mimi Ni kijana Nina miaka 28 nime graduate elimu ya diploma ya ualimu wa secondary na bachelor in human resources. Mambo magumu mtaani Kama kuna boss una ajira please call me 0753993094🙏🙏🙏
  15. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa: Mawasiliano ya Barabara ya Dar - Lindi Kurejea Ndani ya Saa 72

    MAWASILIANO YA BARABARA YA DAR - LINDI KUREJEA NDANI YA SAA 72: BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, ameeleza kuwa timu ya watalaamu wa Wakala ya Barabara (TANROADS) na Makandarasi itatumia saa 72 (siku 3) kukamilisha zoezi la kurejesha miundombinu ya barabara ya Lindi – Dar es...
  16. Roving Journalist

    Waziri wa Ujenzi atoa maelekezo mawasiliano Barabara ya Dar - Lindi yarejee ndani ya Saa 72

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, ameeleza kuwa timu ya watalaamu wa Wakala ya Barabara (TANROADS) na Makandarasi itatumia saa 72 (siku 3) kukamilisha zoezi la kurejesha miundombinu ya barabara ya Lindi – Dar es Salaam, ambayo imeharibiwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha zilizombatana na...
  17. gubegubekubwa

    Barabara Kuu ya Dar- Lindi imekatika sehemu 2 na kukata mawasilino

    Barabara ya Dar es Salaam-Lindi imekatika eneo la somanga na kukata mawasilino kabisa kati ya Dar na Lindi hivyo hamna gari lolote la kwenda Lindi au Kwenda Dar. Kwasasa abilia na wote wenye magari tupo hapa tumekwama tangu Jana. Tunaomba Tanroads walishughurikie haraka hili. ==== Serikali...
Back
Top Bottom