FOR RENT - TSHS 300,000
NYUMBA VYUMBA 2 VYA KULALA NA SEBULE JIKO LA WAZI NA CHOO NDANI.
MAELEZO ZAIDI - 0679268006
Ipo Mbezi beach Makonde, umbali wa kutembea kutoka kituo cha daladala.
Maji bomba ndani, luku yake, Parking ipo.
Nina kiwanja huko Bagamoyo nahitaji kujenga nyumba yangu ili nitoke kwenye nyumba za kupanga
nikiwa na bajeti ya Milioni 20 tu,kwa pesa hii naweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi
naombe ushauri wenu.
Nyumba za ibada kwa maana ya makanisa na misikiti ni sehemu ambazo waumini wa dini kuu mbili yaani wakristo na waislamu hukutana katika siku zao maalumu kwa ajili ya kufanya ibada na mikusanyiko mingine. Kwa kipindi kirefu nyumba hizi zimekuwa na mchango mkubwa katika jamii kwa kushiriki moja...
Hello wadau wangu najua wengi wanapenda kujenga nyumba nzuri lakini huwa hatuna bajeti ya kutosheleza nikushauri kama mmoja wapo
Jipatie mashine ya kutengeneza tofali za interlock bei zetu ni za kawaida sana
Hizi tofali ni za udongo zikiwa na muonekano mzuri sana huna haja ya kuskimu nyumba...
Hii sijui ni tetemeko au ni kitu gani, wataalamu tunaomba mfuatilie na mtupatie majibu, Ardhi inapasuka na nyumba zinabomoka, eneo ni Saku Mwisho DSM
---
Taharuki imeibuka kwa wakazi wa Mbagala Saku baada ya kutokea kwa mpasuko mkubwa wa ardhi na kusababisha kubomoka kwa nyumba nyingi za...
Habari wakuu,
Kumekua na aina/brand nyingi sana za gypsum boards siku za karibuni.
Katika ufuatiliaji wangu, nimekutana na brand zifuatazo:
Made in India(bei kubwa Tsh 22000-27000)
-Gyproc
-Oriana
Made in Thailand [Tsh 24000-27000]
-Standard gypsum
made in Tz (bei nafuu Tsh 12000-16000)...
Nyumba Inauzwa Nzega.Bei-35m
Ina Vyumba 2 (Kimoja Master), Sebure,Jiko,store ndogo.Ina Umeme na Maji ya Mamlaka ya Nzega (Nzuwasa).Pia kuna Kisima cha Kuhifadhi Maji ya Mvua cha Lita 15,000.Uwanja una Ujazo wa Meta za Mraba 1027,umepimwa.
Nyumba IPO Meta 150 toka Rami,Mita 600 toka Stendi kuu ya...
Nyumba inauzwa mbezi kibanda cha mkaa
Nyumba ina vyumba vitatu,kimoja self
Ina sitting& dinning room
Ina kitchen na Public toilet
Nyumba imeisha bado kufanya finishing
tu kama utakavyohitaji wewe
Bei mln 30 maongezi yapo
Ipo umbali wa km 2 kutoka barabara ya morogoro road
Eneo la kiwanja ni...
Nakumbuka miaka hiyo ndio nimepata kazi benki Fulani, nikapata nyumba Sinza ya mama mtu mzima kijana.
Akanikaribisha sana, hakuwa na noma, nilipokuja kununua flat TV enzi hizo plasma tv ndio zimetoka, hamna cha LCD na LED ni ndoto kabisa, yaani ndio kwanza watu wachache sana tumeamza kujikwamua...
Habari wakuu,
Mimi sio Mwandishi mzuri sana naenda kwenye Mada husika hivi mtu akishahitimu Chuo si anakuwa amemaliza. Na haitajiki kurudi mara kwa mara chuoni.
Sasa swali lilipo mbona hizi dini mtu alishabatizwa akapata Komunyo/Kipaimara au hata mafunzo ya ndoa sasa kuna uliza gani wakurudi...
Nyumba inauzwa kimara Temboni. Bei milioni 30 tu.
Vyumba vitatu kimoja master
Sebule jiko na choo cha public.
Ukubwa wa eneo mita 20 kwa 20
Ukishainunua una malizia kufanya finishing tu
Ina hati ya mauziano serikali ya mtaa.
Umball kutoka barabara kuu kilomita 2.5 Gari inafika mpaka site...
Nyumba ya kisasa inauzwa kibaha maili moja........
Ina vyumba vitatu kimoja self
Sitting,dining,kitchen & public toilet
Gypsum na tiles vyumba vyote
Bei mln 46 tu
Document:Sales agreement
0675 065906
Iko mtaa nzuri umeme na maji yapo
NYUMBA (BINAFSI) NZURI IMEJENGWA KISASA INAUZWA MSUFINI MLANDIZI. IKO KWENYE CORNER PLOT, NI KILOMITA 1 TU TOKA MAIN ROAD
LOC : KIBAHA KARIBU NA MSUFINI MLANDIZI
AREA :SQM 534
PRICE : MIL 38
UMILIKI :HATI
SIFA:-
-INA VYUMBA 3, MASTER 1
-SITTING ROOM
-DINNING
-JIKO KUBWA NA STORE
-CHOO CHA...
JK amejilimbikizia majumba ambayo hakuna kiumbe anayeyatumia ipasavyo. Yapo utilized kwa less than 20%.
Katika kuwasaidia wananchi wa kijijini kwao kwanini asiuze nyumba yake aliyopewa na serikali then ajenge chuo au hospitali pale Chalinze watoto wapate elimu?
Naona hali hiyo pia ipo kwa...
Maraisi wastaafu wa USA wanafungua maktaba tena kwa kuchangiwa wa watu.
Wapendwa wetu maraisi wazalendo eti wanataka kujengewa nyumba kama Ikulu na wenza wao kulipwa.
Hawajali hali ya wananchi, mabadiliko waliyofanya na historia wanayoacha zaidi ya matumbo yao.
Sijasikia wazo la maktaba...
Hello wajuzi.
Ktk tafiti zangu, nimekuwa ninawaza kujenga Get away houses, Airbnb, na ki sehemu kwa ajili ya watu wanaotaka kuishi ktk mazingira ya nature, around sehemu fulani hivi Pwani.
Mwanzo nilikuwa nataka kujenga kama zile za Safari bandaz, Morden Mud houses, ila katk mizunguko yangu...
Hii ni kwa tathmini yangu Mimi kama nitakuwa siko sawia mnisamehe.
Unakosaje kumiliki gari na nyumba huku una miaka zaidi ya 5 kwenye utumishi wa umma?
Jitahidi mtumishi mwakani uachane na Daladala kama wanafunzi. Daladala waachie wanafunzi na machinga
Mbunge wa Zamani wa ccm huko Rungwe, Sauli Pattaya, amewekwa kitimoto na Waziri wa Ardhi Jerry Silaa kwa utapeli wa wa Nyumba ya Udongo, kuivunja na kujenga jengo la ghorofa 8 kwa kushirikiana na kampuni ya udalali ya Benki
Imeamriwa kwamba S H AMON awagawie aliowadhulumu sehemu ya Hisa za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.