milioni

Millions on the Island (Milioni na otoku) is a 1955 Croatian film directed by Branko Bauer.

View More On Wikipedia.org
  1. Travelogue_tz

    Tetesi: Kuhusu ufisadi wa Tsh. milioni 450: Je, TAKUKURU wamewekwa mfukoni na Dr Saitore Laizer?

    Kumekuwa na tuhuma kuhusu kuhusishwa na ufisadi wa zaidi ya Tsh milioni 450 zilizotolewa na Serikali, Christian Social Service Commission (CSSC) na wadau wengine kwa lengo la kufadhili marejeo ya mtaala wa kada ya famasia uliokwisha muda wake mnamo mwaka 2021/2022. Chanzo chetu kilidokeza...
  2. Suley2019

    Serikali: Watumiaji wa Intanet wafikia milioni 36.8

    Serikali imesema kumekuwa na mafanikio makubwa ya sekta ya habari na Mawasiliano, pamoja na upatikanaji wa mawasiliano nchini, hivyo kuongeza idadi ya laini za simu, watumiaji wa intaneti na huduma za kutuma na kupokea fedha katika Mwaka wa Fedha 2023/2024 . Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa...
  3. Roving Journalist

    Festo Sanga: Watu Milioni 3 ndio wanaolipa kodi kati ya Milioni 30+ wanaostahili kulipa

    CASHLESS ECONOMY-DIGITAL ECONOMY (Uchumi wa Kidijitali, matumizi ya fedha kielectroniki kwenye shughuli za kiuchumi). Leo (16/05/2024) nimesimama Bungeni kuomba ufafanuzi kwa serikali, Katika Dunia ya sasa, uchumi umehamia kwenye mifumo (elekroniki) iwe kununua au kulipa au kupata huduma yoyote...
  4. Suley2019

    Akamatwa akiwa na milioni 29 Gest

    Mkazi wa Jijini Dar es salaam amekamatwa na Polisi Mkoani Njombe akiwa na Tsh. 29,374,000 katika nyumba ya kulala Wageni (Gesti) Mjini Makambako ambapo fedha hiyo inadaiwa ameipata kwa njia ya wizi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Mahamoud Banga, amesema wamemkamata Mwakatundu wakiwa...
  5. Replica

    Huawei katoa Pura 70, hatari na nusu. Angalau milioni 5 kuikamata

    Huawei amezindua series za Pura 70 nchini China ikifungua ukurasa mwingine wa maendeleo pamoja na vikwazo vya Marekani. Ripoti zinasema simu hiyo imetumia zaidi vifaa vinavyotengezwa China kuliko simu yoyote Huawei imeshawahi kutengeneza kabla. Pamoja na hivyo bado Kirin 9010 inayotengezwa na...
  6. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Ndaisaba Ruhoro Achangia Milioni 5 Ujenzi wa Kanisa Katoliki Rulenge - Ngara

    MHE. RUHORO, MBUNGE WA JIMBO LA NGARA NA WANAJIMBO KATORIKI LA RULENGE - NGARA. 💒⛪🗓️12 MAY,2024.💒⛪ Mhe. NDAISABA GEORGE RUHORO, Mbunge wa Jimbo la Ngara, Sekreterieti CCM 'W' na M/kiti CCM 'W' Ndg VITARIS NDAILAGIJE amefanya ziara alimaarufu OPERESHENI JENGA KANISA katika Kanisa Katoliki...
  7. S

    Kibu Denis Kuikamua Simba Milioni 760

    Kibu Denis amesaini mkataba wa miaka 2 kuendelea kusalia simba kwa Ada ya usajili ni milioni 350, mshahara wa 15 na Gari yenye thamani ya milioni 50. Kibu jumla atakusanya milioni 760 ndani ya miaka 2, kama pesa za usajili, mshahara pamoja na gari.
  8. Ndagullachrles

    Profesa Ndakidemi kuipa Milioni 5 familia iliyopoteza watu wanne kwenye mafuriko Moshi

    Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini (ccm),Profesa Patrick Ndakidemi ameahidi kutoa shilingi Milioni tano familia iliyopoteza watu wanne ambao walifari Dunia baada ya nyumba yao kuangukiwa na kifusi baada ya mvua kubwa Iliyonyesha usiku wa April 25 Mwaka huu . Mvua hiyo ambayo ilileta uharibifu...
  9. BARD AI

    Laini za Simu zilizosajiliwa hadi kufikia Machi 2024 ni Milioni 73.42

    Ripoti ya Takwimu za Mawasiliano iliyotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa robo ya mwaka 2024, imeonesha katika kipindi cha Januari hadi Machi 2024 kulikuwa na ongezeko la Usajiili wa Laini za Simu kwa 1.3% Mtandao wa Vodacom unaendelea kuongoza kwa idadi kubwa ya Watumiaji wa...
  10. Roving Journalist

    Waathirika 4166 wa Mafuriko Katavi wapewa misaada yenye thamani ya Sh Milioni 113

    Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko amepokea misaada ya waathirika 4166 ambayo imetolewa na Serikali pamoja na Wadau wa maendeleo. Naye, Katibu tawala wa mkoa huo, Albert Msovela amesema misaada hiyo ina gharama ya jumla ya sh milioni 113. Ikumbukwe kuwa mwezi uliopita naadhi ya maeneo...
  11. F

    Madai ya fidia ya dola milioni Moja ya Erick Kabendera dhidi ya Vodacom yakienda mahakamani tutarajie nini?

    Mimi kwa uzoefu wangu wa kesi za jinai na madai, naona kuna vitu vya kisheria vitajitokeza au kuibuliwa kabla ya kesi ya msingi maana hatujui Kabendera atafungua Shauri la kudai fidia la aina gani. Je, ni la madhara ya kimadai? (Tortious Liability), je ni madhara ya kijinai? (Criminal Liability...
  12. kimsboy

    Mtu ana frem analipa milioni 4 kwa mwezi lakini hamna hata mteja

    Hivi mshawahi kujiuliza unapita mahali mtu kafungua frem au duka hata hamna wateja unajiuliza huyu mtu huwa anaweza vipi kulipa kodi wakati hamna wateja? Hili swali najiulizaga sana, nimekuta mjadala huko mtandaoni leo Unakuta mtu ana duka la iphone hata simu 10 hazifiki frem kodi ni milioni...
  13. G

    Mpaka leo shule za Tanzania hazifundishi watoto IT, majirani wanaonesha nia wanapewa grants kujipanua na kulamba mishahara takehome milioni 20+ majuu

    Wenzetu jirani Kenya, Uganda, Rwanda wamestuka kwamba Technology is the future, hawana budget kubwa kama mbele ila si haba wanapambana wasipitwe sana, wanaandaa watoto shule za msingi kujifunza kutenegendeza programs, mifumo ya computer, robots, n.k. mtoto anajengewa msingi imara kuvijua vitu...
  14. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa Aongoza Harambee ya Ujenzi wa Zahanati Kanogo, Milioni 46 Zakusanywa

    BASHUNGWA AONGOZA HARAMBEE YA UJENZI WA ZAHANATI KANOGO, MILIONI 46 ZAKUSANYWA. Karagwe - Kagera. Waziri wa Ujenzi Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ameungana na Wananchi wa Kata ya Nyakabanga Wilayani Karagwe katika harambee ya kuchangia ujenzi na ukamilishaji wa zahanati ya...
  15. B

    Mbunge Kishoa afanya ziara kata ya Ibaga, Mkalama. Agawa mitungi ya gesi, kuchangia 3.7M ujenzi wa Zahanati

    Mhe. Jesca David Kishoa (Mbunge wa Viti Maalum -Singida) Jana Jumamosi amefanya ziara ya kikazi katika kata ya Ibaga, Wilaya ya Mkalama. Ziara hiyo ni mahsusi ya kumuunga mkono Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anayoifanya katika kuliongoza na kuliletea maendeleo Taifa...
  16. G

    Ukiwa na chini ya milioni 100 ni heri uiweke fixed account, Kujenga nyumba ya kukodisha ni ngumu kupiga hatua

    Umenunua kiwanja ukaanza kujenga nyumba from scraatch kwa milioni 100 unakuja kukodisha kwa laki 2 na nusu, hicho kiasi ni ngumu kukupigisha hatua, ni pesa itayokuwa inaishia kwenye bills za mwezi, hapo kumbuka kuna muda nyumba inaweza isiwe na mpangaji ama mpangaji akawa msumbufu, Ukiweka pesa...
  17. BARD AI

    Mfanyabiashara Alex Msama akamatwa kwa tuhuma za Utapeli wa Viwanja vya Tsh. Milioni 800

    Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Dar es Salaam kwa tuhuma za kutapeli viwanja vinne vya Beatrice Mshumbuzi, vinavyokadiriwa kuwa na thamani ya shilingi milioni 800. Msama amekabidhiwa kwa polisi leo na Waziri wa Ardhi, Jerry Silaa. PIA SOMA -...
  18. Pfizer

    Coffee table ya Milioni 3, sasa ipate kwa milioni 1 tu. Fanya haraka

    Wakuu, Wale watu Classic karibuni. Coffee table ya Milioni 3, ipate kwa milioni 1 tu. Piga simu haraka. Sasa hivi.. Hii ni offer. Mbezi beach Africana Mawasiliano: Piga simu au tuma Meseji kwenda: 0713208669. Mungu akupe nini?
  19. Suley2019

    Vodacom Tanzania yainunua kampuni ya Smile kwa Tsh. Bilioni 68.8 ili kuongeza usambazaji wa mtandao wa 4G na 5G

    Kampuni ya Vodacom Tanzania PLC (VTPLC), imekamilisha ununuzi wa Smile Communication Tanzania Limited, kampuni ndogo ya simu inayoshindana, bila deni au fedha taslimu, kwa TZS 68.8 bilioni ($27.4 milioni), ili kusaidia mipango yake ya kuzindua huduma za mtandao wa 4G na 5G zinazoshindana...
Back
Top Bottom