Mtu ana frem analipa milioni 4 kwa mwezi lakini hamna hata mteja

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,063
18,049
Hivi mshawahi kujiuliza unapita mahali mtu kafungua frem au duka hata hamna wateja unajiuliza huyu mtu huwa anaweza vipi kulipa kodi wakati hamna wateja?

Hili swali najiulizaga sana, nimekuta mjadala huko mtandaoni leo

Unakuta mtu ana duka la iphone hata simu 10 hazifiki frem kodi ni milioni 2 kwa mwezi na huko alikofungua hata uwezekano wa mtu kumudu iphone hamna yaani huoni hata nzi akiingia dukani kwa jamaa😂😂😂

Hizo ndo biashara zilizopo dsm hii nyingi unabaki unajiuliza huyu mtu huwa analipa vipi kodi?Tena unakuta kaweka na wafanyakazi wa kutosha tu

Hata mlimani city na kwenye mall nyingi ni hivyo hivyo na kwenye maeneo mengi tz

Sasa hawa watu huwa wanamudu vipi kulipa kodi ya frem?Sazingine unakuta frem imejificha huko ndanindani sasa unajiuliza huyu anapataga faida kweli🤣🤣

Kuna duka naziangalia au biashara najiuliza kichwani kwamba huyu mtu huwa anapata hata jero kwa siku kweli?
 
Nitakuelekeza, nina vihenge 5 vya magunia 100 kila kimoja Sumbawangu Rukwa, uwa nakusanya Mahindi na kuyauza.

Nina office Mbeya mjini nalipa 300,000 kwa mwezi mahali pazuri sana, kwa nje pana photocopy na stationery.

Lengo la office :

- Nikipata wateja wa Mahindi toka Kenya / Rwanda ndo mahali nakutana nao.

- Hiyo laki 3 nalipa pale haina uhusiano na hiyo stationery hata kidogo.
 
Utakatishaji wa pesa
 
Drug dealers .

Si ajabu shati la elfu 10 akakwambia anauza elfu 70 ili ushindwe kununua uondoke.
 
FB_IMG_17136933633484459.jpg
 
Unakuta mtu ana duka la iphone hata simu 10 hazifiki frem kodi ni milioni 2 kwa mwezi na huko alikofungua hata uwezekano wa mtu kumudu iphone hamna yaani huoni hata nzi akiingia dukani kwa jamaa😂😂😂
Kwa hiyo Mitaa ambayo Fremu milioni 4 kwa mwezi harafu mitaa hiyo hiyo hakuna mtu mwenye uwezo wa kununua Iphone?

Basi ni mitaa ya shetani hiyo.

Swali lako halina uhalisia.
 
Nitakuelekeza, nina vihenge 5 vya magunia 100 kila kimoja Sumbawangu Rukwa, uwa nakusanya Mahindi na kuyauza.

Nina office Mbeya mjini nalipa 300,000 kwa mwezi mahali pazuri sana, kwa nje pana photocopy na stationery.

Lengo la office :

- Nikipata wateja wa Mahindi toka Kenya / Rwanda ndo mahali nakutana nao.

- Hiyo laki 3 nalipa pale haina uhusiano na hiyo stationery hata kidogo.
Uzi ufungwe huu mkuu hapa umemaliza majibu yote.
 
Back
Top Bottom