simba

  1. M

    Wachezaji hawa wa Ihefu wanastahili kuchezea Simba bila maswali

    Maroun Tchakei ni mahali pake kabisa kukipiga Simba msimu ujao, jamaa anajua kupiga krosi, anajua kumiliki mpira, ana nguvu, anapiga kona hatari mno na anajua kusambaza pasi za upendo, nikionaga Ihefu wanacheza huwa kazi yangu ni kumcheki Tchakei tu roho yangu inaburudika sana, huwa najiuliza...
  2. GENTAMYCINE

    Hapa ndipo Uongozi wa Simba SC mnaponikwaza na ndiyo maana sasa nimeamua Kuwaacha ili mpotee zaidi na Timu iendelee Kuharibikiwa tu

    Hivi huyo Mnafiki na Msaliti aliyetusaliti sana Mechi za Yanga SC Beki Henock Inonga Baka mnambembeleza wa nini ili abakie Simba SC? Muacheni aende huko Yanga SC anakokutaka kisha nitawaambieni muende wapi mkampige Pini muone kama hata huko Yanga SC Kwenyewe atacheza Kudadadeki zake. Hakuna...
  3. GENTAMYCINE

    Mo Dewji nakuuliza nivujishe Siri ya Bilioni 20 ulikoiweka na sasa unajipatia Hela za bure bila wana Simba SC kujua au niuchune tuendele kuwa Mazuzu?

    Hakika Wewe Mhindi ni Mjanja sijapata kuona. Kwahiyo mwenyewe ulidhani Siri itafichwa sana na wenye Ubobezi wa kutafuta Taarifa Ngumu Ngumu na za Hatari akina GENTAMYCINE hatutoijua? Nina uhakika nikilisanua hapa kwa ulichokifanya leo hii hii Amani inatoweka Simba SC na hata Serikali itatukamata...
  4. GENTAMYCINE

    Wana Simba SC Wenzangu naomba taratibu tulipitie lile Goli la Fred jana hivi Kweli hata Wewe ungekuwa Kipa usingeudaka au hata tu Kuupangua ule Mpira?

    Anyways nimeelewa kwani ili TFF na Serikali iongeze Mapato ni lazima Klabu Bingwa ziende Timu MbilI Kubwa ili Mapato yapatikane Makubwa lakini pia Kuchangamsha nchi kwani kama mwakani Timu ikiwa moja halafu tena ina DNA na CCM (Serikali) Mashabiki wa Timu nyingine watapata Hasira na Kuathiri...
  5. Suley2019

    FT: Dodoma 0 - 1 Simba | NBC PL | Jamhuri Stadium | 17/05/2024

    Saa 10:00 jioni, Dodoma Jiji watakuwa nyumbani dimba la Jamhuri wakiwakaribisha Simba SC Ni mnyama ama walima zabibu nani kuondoka na alama tatu? Mchezo huu utaruka mbashara hapa JamiiForums Kikosi ch Simba kinachoanza Kikosi cha Dodoma Jiji kinachoanza Halftime Dodoma Jiji 0 - 1 Simba -...
  6. Mkalukungone mwamba

    Je wewe ungekuwa Afisa Mtendaji Mkuu(CEO) wa Simba mambo gani matatu ungeyafanya kuelekea msimu mpya 2024-2025

    Kama wewe ungekuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba kuelekea msimu mpya wa mashindano mbalimbali kama Ligi kuu ya NBCPL na Klabu Bingwa Afrika,tuambie mambo 3 ungeyafanya ili Simba wafike malengo yao katika msimu husika
  7. Pdidy

    Msemaji wa Simba kaamua kukaa kileleni yeye mwenyewe

    Tafadhali, Usifungue kama ukoo chiini ya miaka 18 🔞 unaweza cheka ukakosa nguvu.
  8. Bila bila

    Hatimaye leo nimejiridhisha tatizo la Simba ni Viongozi

    Leo Simba Wana tukio (event) pale Dodoma mgeni rasmi akiwa Naibu Spika Zungu. Kinachonifanya niseme chanzo cha matatizo ya Simba ni Viongozi ni pale Mjumbe mmoja wa Bodi aliyepewa nafasi WA kuongea Kwa niaba ya Bodi na kumkaribisha mgeni rasmi, anapomwambia mgeni rasmi kwamba matokeo mabaya ya...
  9. ChristopherPaul15

    Ahmed Ally ndiye mchawi namba moja Simba

    Najua wengi itakua ngumu kunielewa. Huyu jamaa amewekwa pale Ili kuwapumbaza wanasimba na wanasimba bila kuwa na uelewa wanamuona kama ni Mtu wa maana sana. Hivi hamjiulizi kila siku anaropoka vitu nje ya uwanja ila ndani ya uwanja timu inachofanya nadhani mnakijua halafu baada ya mchezo...
  10. Seawhale

    Makala: Mfahamu Simba Karatasi wa Umakondeni

    Historia ya kweli kumuhusu Simba karatasi huko umakondeni. Mnamo miaka ya mwisho ya 80 hadi katikati ya miaka ya 90, huko kusini mwa Tanzania paliwahi kuwepo ndui aliyesumbua kwa kipindi kirefu kwa kuleta hofu kwenye maeneo mbalimbali ya mkoa wa Mtwara. Historia juu ya asili ya simba huyu ina...
  11. M

    Azam Fc nafasi ya pili ni ya kwao iwapo wataamua kushinda vishawishi vya simba

    Naushauri uongozi wa Azam kuitetea Brand yao. Hata kama kuna baadhi wana vinasaba na Kolo. Haiwezekani Klabu yenye rasilimali muhimu katika soka halafu inasuasua kama Mtibwa na Ihefu. Mechi 3 zilizobaki ikitokea Azam afungwe au atoke sare ITAKUWA NI UJINGWA ULIOPITILIZA
  12. William Mshumbusi

    Uongozi wa simba huwa unagombana na wachezaji wazuri na tegemewa. Wanaipa hasara klabu na kumpa mtihani Mgunda

    Hamtaki chama na hamna mbadala. Leo inonga kawa mbaya, Hamtaki sary na mlisuguana sana na Mohamed Husein. Hamtakii mgunda mnamtaka Ibenge. Kwa profile gani ya ivi karibuni. Ata kama mnanjaa jengeni mazingira basi. Leo Mgunda anaunga unga kikosi tu. Wachezaji wazuri wote mnawapanga mpige...
  13. DeepPond

    Nauliza Kwanini Simba huwinda twiga, tembo na kiboko lakini sio faru?

    Wakuu, Tufahamu kwamba Simba ndie mfalme wa nyika, ana uwezo wa kuwinda chochote kile na akafanikiwa hata Kama kinamzidi umbo na Nguvu. Nnachojiuliza, Kwanini huwa hawawindi FARU na kuwatumia Kama chakula? Na ukiangalia faru Ni mdogo kwa umbo ukilinganisha na kina Tembo, twiga na kiboko.
  14. GENTAMYCINE

    Simba SC haishindi kwa Ubora wa Kocha wa muda Mgunda

    Simba SC haishindi kwa Ubora wa Kocha wa muda Mgunda bali baada ya Viongozi baadhi wa Simba SC ambao wana DNA na Yanga SC pamoja na Matajiri wao wameshamaliza Jukumu lao walilopewa. Mpango ulikuwa ni Kwanza kuhakikisha Simba SC inadhoofishwa mbele ya Yanga SC ili iangushe Alama ( Points ) nyingi...
  15. Pdidy

    Simba mkisajili pelekeni kwa Mwamposa ama Kuhan Mussa wachezaji wenu wakaombewe

    Hii niko serious, mwota ndoto hafi mpaka itimie. Viongozi wa simba pelekeni wachezaji wenu wakaombewe. Chukueni serious maneno ya Benchika, hawa wamechukuliwa ufahamu wagumu kuelewa. Ukiona mtu kama benchika kasema haya alipigwa kitu kizito kama cha diamond kwa sara. Msidharau nimewapa na...
  16. D

    Goli la kwanza la Simba na kagera ni offside . Rushwa sijui zitaisha lini ?! Majina ya bodi ya Ligi tuwajue . Utakuta la 7 .

    Simba kila mechi kuna Refa Ana wabeba . It’s not healthy kwa Ligi yetu . TFF na bodi ya Ligi wote kimya . That free kick was typical off side , the whole match Refa yupo upande mmoja . Watu wa bodi ya Ligi watoe nyeti na cv zao . Na wasi wasi na Elimu zao . Kuna vilaza mule na La Saba ...
  17. Dan Zwangendaba

    Simba achaneni na Freddy Michael si Mchezaji wa Kuchezea Simba

    Yaani unamuacha MP unachukua garasa kama Freddy Michael kweli? Faida ni ndogo kuliko Hasara binafsi sijawahi kumkubali tangu aje. Ni wa kuachana naye haraka sana, hawezi kuwa mchezaji mzuri hata apewe miaka 100 maana nna wasiwasi kichwa chake hakipo sawa. Lakini pia waambieni wachezaji...
  18. uran

    FT: Kagera Sugar FC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 12.05.2024

    VS Tukutane saa 10 jioni kwa updates zaidi kuelekea Ubingwa 2023/2024. Nguvumoja# VIKOSI VYA LEO Kagera Sugar FC Simba SC UPDATES.... 2' Simba wanakosa goli la wazi kabisa hapa. Kupitia kwa Freddy Michael. Alikuwa ameshamtoka hadi Kipa. Mpira ukaenda nje. 7' Game on. Mashambulizi...
  19. mwehu ndama

    Kibu Denis ni mchezaji kituko aliyeamua kuwa tapeli Simba Sc

    Nilicheka sana, Baada ya taarifa za kibu Denis kuwagomea makolo kusaini mkataba mpya kisha baadae wakala wake akaingiza siasa za kwamba tapeli hilo la söka linatakiwa na mabingwa wa nchi, Yanga sc! Kibu Denis hana thamani ya milioni 300 wala mshahara wa laki 9 kwa mwezi achilia mbali mil 15...
  20. Stroke

    Simba na Yanga warudiane

    Naishauri TTF wairudie mechi ya Simba na Yanga. Ichezwe next week mashabiki tutachangia gharama za mchezo.
Back
Top Bottom