tapeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Abdul S Naumanga

    Kashfa ya Jaji kushilikiana na Tapeli

    Si kwamba ni mara ya kwanza Wizara ya Aridhi kuzingumzia kesi hii, hata Mh. Mabula alishawahi kuizungumza na kumtaja hadharani Bw. Valence Simon Matunda kama tapeli sugu. Inakuaje yupo mtahani mpaka leo🤔? https://youtu.be/pPOeLt-U1AM?si=ZHrfz1Bb5u5CesSc
  2. mwehu ndama

    Juma mgunda ni kocha anaetembelea upepo wa kufukuzwa kwa makocha wenzake

    Katika soka neno tapeli sio tusi, bali hutumika kumbainisha mtu anaejipatia sifa na umaarufu chanya pasipo juhudi na uwezo wake binafsi kama ilivyo kwa kocha juma mgunda gadiola mnene. Kibonge huyu toka Tanga, ni kocha mzuri ila sio kocha wa kiwango wanachokitaka mbumbumbu fc, achilia mbali...
  3. mwehu ndama

    Kibu Denis ni mchezaji kituko aliyeamua kuwa tapeli Simba Sc

    Nilicheka sana, Baada ya taarifa za kibu Denis kuwagomea makolo kusaini mkataba mpya kisha baadae wakala wake akaingiza siasa za kwamba tapeli hilo la söka linatakiwa na mabingwa wa nchi, Yanga sc! Kibu Denis hana thamani ya milioni 300 wala mshahara wa laki 9 kwa mwezi achilia mbali mil 15...
  4. Jembe Jembe

    Mkurugenzi wa Makampuni ya Vanilla Matatani kwa utapeli, RC Makonda aagiza awekwe chini ya ulinzi hadi alipe mamilioni aliyotapeli

    Mkurugenzi Mwanzilishi wa Makampuni ya Vanilla International Limited, Simon Mnkondya amejikuta Mikononi mwa Polisi Mara baada ya kutajwa kutapeli wakulima wa Vanila mamilioni ya fedha na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paulo Makonda kuagiza akamatwe na alipe madai yao chini ya ulinzi mkali wa polisi...
  5. Carlos The Jackal

    Mwenyekiti/Afsa Mkopo Saccos, Wamekiri Kwa MAKONDA, hawakubaliani na hawakumpa Kibali yule Tapeli Kuuza Nyumba ya Mtu Million 50 Kwa Mkopo wa 3 M.

    Kama Kuna Mkoa ambao Nuru ya uponyaji, Amani, Baraka ,Furaha, Haki, faraja, uwajibikaji, maadili imeaaangukia ni Arusha kua na Paul Makonda. Kuna Huyu Tapeli wa JF mpuuzi Mmoja, mwenye Chuki dhidi ya Makonda, anayejiita chiembe akaja na Uzi wa blaa blaaa blaa. Sasa ukweli ni huu ...
  6. Azniv Protingas

    Ni hatua gani za kufuata ili kuishtaki kampuni binafsi ambayo imenitapeli

    Kama kichwa kinavyoelezea hapo juu, kuna kampuni moja binafsi imenitapeli kiasi cha pesa. Sasa naomba kujua nawezaje kufungua kesi na kuishtaki ili niweze kupata haki yangu. Pesa yenyewe ninayowadai ni kidogo (250,000) ndio maana nasita kwenda kushtaki kwa kuhofia kuwa kunaweza kuwa na gharama...
  7. A

    DOKEZO IGP ingilia kati kuhusu huyu Tapeli wa Dodoma Egron Rweyemamu aka Jenerali Mwamwega

    IGP tunakuomba uingilie kati kuhusu huyu Tapeli anajiita Generali Mwamwega ingawa jina lake halisi anaitwa Egron au Osward Rweyemamu. Huyu jamaa anatapeli kupitia kampuni fake ya ujenzi inaitwa one to focus, mpaka uje ushtuke alishakuingiza mjini . Huyu Jenerali Mwamwega anadai yeye ni Jenerali...
  8. Mr mutuu

    Kibu Denis anakaza anapokutana na Yanga tu

    Huyu jamaa ni tapeli sana, anajua mashabiki wa Simba ni bendera fata upepo na hawana maarifa hivo kaamua kuwaingiza kwenye mfumo wake Jamaa ye mechi anazokaza ni vs yanga tu maana anajua akipiga hata goli Moja watamsifia msimu mzima, haiwezekani msimu mzima kibu Kila mechi anacheza alafu ana...
  9. Forgotten

    AzamPesa nimejisali leo tayari napokea simu za matapeli

    Habari wana-JF imebidi niandike huu uzi maana nimepata mashaka na usalama wa taarifa zangu kwenye hii huduma ya AzamPesa. Leo asubuhi nilijiunga na huduma ya AzamPesa kwa lengo la kuanza kutumia huduma hii ila simu ya tapeli niliyopokea imeniaminisha hii huduma bado siyo salama kwa Watanzania...
  10. Amani ya Mungu

    Tahadhari: Huyu ni tapeli wa Kujiaminisha?

    Naomba nikiri hoja yangu imelenga kuleta hoja vijana wajitume na sio kuwa ombaomba ilihali wana nguvu. Mwaka 2023 mwezi wa 5 nikiwa natembea maeneo ya Ubungo jirani na NBC bank alikuja kijana ambaye anaonekana kwenye video hapa na akaniambia yeye ni mwalimu amemaliza SUA na amepata kazi Songwe...
  11. Kiboko ya Jiwe

    Huna mpenzi bali una tapeli. Mwandikie SMS kuwa una shida na elfu 10 chap halafu subiri majibu

    Hii ni kwa ma men. Wengi wenu hamna wapenzi, mko single sema tu mna mabinti ambao wanawauzia bidhaa zao ingawa mnawaita wapenzi. Hata kama jana mlikutana mkazurura (kula bata) ukagharamia kila kitu, 60k- 70k ilikutoka. Leo asubuhi mwambie akutumie 10k chap una shida utaona sarakasi zake...
  12. Mjanja M1

    Nampigia Saluti huyu Tapeli Mbobezi

    Suala la utapeli lipo kila mahali, angalia hapa jinsi Tapeli anavyotafuta hela kwa njia ya Ki-Michael Jackson,
  13. tpaul

    Polisi wameshindwa kumkamata huyu tapeli anayewapiga Walimu kila siku?

    Heri ya mwaka mpya watu wangu wa nguvu. Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi. Naomba niseme kuwa huu ndio uzi wangu wa kwanza kwa mwaka huu wa 2024. Sikuwa nimepanga kuweka uzi hapa JF mapema hivi ila imenibidi nifanye hivyo baada ya kupokea ujumbe huu wa onyo kwa njia ya WhatsApp...
  14. benzemah

    Kigwangalla amtupia kijembe "Mo", asema ni tapeli, bahili na Janjanja

    Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X, Mbunge na Mwanasimba Hamis Kigwangalla ameandika ujumbe wa mafumbo kwenda kwa mmiliki wa Simba "Mo" akitumia "codename" ya "Glazer" ambaye ni mmiliki wa Manchester United Kigwa ameandika: "Niseme nisiseme? Acha niseme tu! Mangungu, Try Again na wengine...
  15. Kiboko ya Jiwe

    Alichonijibu huyu tapeli wa mtandao kimenifanya nitafakari mno juu ya Taifa langu Tanzania

    Habari, Leo asubuhi nilipokea ujumbe kwa namba ngeni ukisema "Mbona siku zinakwenda upo kimya" Mwisho kajitambulisha kuwa ni mwenye nyumba. Nikajua tu ni tapeli wa mtandaoni anajaribu bahati huenda akatumiwa pesa na mmoja wa wapangaji wanaodaiwa na wenye nyumba. Nikampigia akapokea simu kwa...
  16. Money Penny

    Nilichomfanya tapeli wa mapenzi alivyotaka kunitafuta kilaini...

    Majeruhi: Money penny bwana, nilikutananna wajinga flani hivi hapa dar wakataka kunitapeli ili wanile kilaini Money penny: doh, wamefanyaje Majeruhi: mjinga wa Kwanza alinichunguza wee akajua weakness yangu ilipo, akaomba kuvaa utajiri ili anipate Money penny: enhe Majeruhi: akaniaminisha...
  17. Mr Why

    Mwanamke anayeomba pesa kwa mmewe mara kwa mara ni tapeli

    Wanaume wengi wana date na matapeli wakidhani ni wake au wachumba aidha kwasababu ya uzuri wao ama lah Wanawake hao wanakuwa wakiendekeza pesa kila wakati ila wanaume hao wanakosa ufahamu wakidhani sifa ya mwanaume ni kugharamikia. Ukweli ni kuwa pamoja na wanawake hao kupata fedha huwa...
  18. adriz

    Huyu si tapeli kweli ?

    Habari za mchana wa Jf.. Mtu nisie mjua namba inaonyesha sio ya Tz amenitext Wasap kwa jumbe hiyo chini ,kutoka na utapeli wa mitandaoni kuenea mimi japo sina uzoefu na mambo hayo ila nahisi moja kwa moja ni tapeli. Naomba wazoefu mtu dondoo kuhusu matapeli wa aina hawa kama ni kweli tapeli...
  19. Boss la DP World

    Jina Dalali limekaa Kitapeli Tapeli

    Aisee hili jina limekaa kitapeli tapeli ndiyo maana madalali wengi wamekaa kitapeli tapeli sababu ya nguvu ya jina lao. Napendekeza waitwe hata Mtu mwema/Watu wema. Hii itasaidia kubadili tabia zao pia Mshana Jr anajua nguvu ya jina.
  20. Ramon Sanchez

    Polisi inawezaje kumuita mtu tapeli kabla ya mahakama kumtia hatiani?

    Good Morning jamiiforums. Ujumbe niliopokea kupitia mtandao wa Halotel. POLISI. Usifuate maelekezo kuhusu huduma unazozitumia kutoka kwenye namba usiyoifahamu. Halotel itawasiliana nawe kwa namba 100 pekee.Ripoti namba ya tapeli kwenda 15040
Back
Top Bottom