"Kesho tunasafiri majira ya saa nne asubuhi kuelekea pale mkoani Dodoma kucheza dhidi ya Dodoma Jiji. Mchezo huo utafanyika tarehe 22 Mei 2024. Mechi hii ya Dodoma tumeifanya mechi ya kushukuru benchi la ufundi. Hivyo itakuwa ni πππππππ πππ
Kwenye πππππππ πππ itakapofika πππ€π’π€π π²π ππ, wana...
Wadau kuna tatizo kubwa la maji Ilazo Extension Dodoma. Inaelekea DUWASA wameshindwa kabisa kutoa huduma ya maji safi. Kwa mwezi mzima maji hayajatoka hata kidogo. Tunaiomba serikali kuhakikisha maji yanapatikana.
Huu ni mfano wa bili iliyokuja kwa mwezi mzima. Tumepata unit mbili pekee za...
"Namshukuru MUNGU kwa Baraka na Rehema zake kwa kuendelea kunijalia afya njema. Nampongeza sana Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa uwekezaji mkubwa wa miundombinu ya Hospitali za Wilaya, Hospitali za Mikoa, Hospitali za Kanda, Hospitali ya Taifa, Zahanati, Vituo vya Afya, na vifaa...
π°πππππ ππππ°
π #CRDBBankFederationCup
β½οΈ Ihefu SCπYoung Africans SC
π 19.05.2024
π Sheikh Amri Abeid
π 09:30 Alasiri
Kikosi kinachoanza dhidi ya Ihefu SC
Mpira umeanza
Dakika ya 1
Dakika ya 5
Yanga SC wanafanya shambulizi
Dakika ya 10
Yanga SC wanapata Kona bado ni 0-0
Dakika ya 15
0-0...
"Nampongeza Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa anayoifanya katika Taifa letu la Tanzania na jinsi ambavyo ameendelea kuboresha Wizara ya Mambo ya Ndani ambayo inasababisha wananchi tuendelee kukaa katika hali ya ulinzi na usalama" - Mhe. Martha Festo Mariki, Mbunge wa Viti Maalum...
"Natoa pole kwa Wananchi wa Jimbo la Kibiti na Jimbo la Rufiji kutokana na kadhia ya mafuriko, nawaomba wananchi waendelee kuwa na subira kwani Serikali ipo kazini inaendelea kuwashughulikia wananchi ambao wamepatwa na mafuriko" - Twaha Ally Mpembenwe, Mbunge wa Jimbo la Kibiti
"Namshukuru...
Wewe kama mwana Jf unafahamu kwamba wabunge wapo bungeni kujadili bajeti ya nchi?
Tangu bunge lianze kujadili bajeti umefuatilia na kuona mjadala wowote wa kibajeti? Kwa namna mambo yanayokwenda kwanini tusiachane na mfumo wa kupeleka bajeti bungeni?
Nasema tuachane nao kwa sababu fedha nyingi...
MBUNGE DKT. FLORENCE SAMIZI, Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Maji katika Mwaka Mpya wa Fedha 2024-2025 Bungeni Jijini Dodoma.
"Nampongeza Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa jinsi anavyofanya kazi kwa bidii kuhakikisha azma ya kumtua Mama Ndoo...
"Nampongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa namna alivyoweka kipaumbele katika kuboresha na kuendeleza Sekta ya Uchukuzi. Ameboresha miundombinu na huduma za Uchukuzi zimeboreshwa sana. Nampongeza Waziri wa Uchukuzi, Naibu Waziri na Watendaji wote wa Wizara ya Uchukuzi kwa kazi nzuri wanayoifanya"...
MBUNGE KWAGILWA NHAMANILO Akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi Bungeni Jijini Dodoma
"Nampongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwasababu anakwenda kuweka historia kubwa Tanzania kama Rais aliyefanya Mapinduzi makubwa kwenye eneo la Reli. Serikali inatarajia kutengeneza mtandao wa Reli...
Mratibu wa mafunzo (Supervisor Learning and Development wa Barrick Tanzania,Elly shimbi akiongea na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma wakati wa kongamano lakuwajengea uwezo wakujiamini na kuhimili ushindani wa ajira na kujiajiri lililoandaliwa na taasisi ya AIESEC Tanzania lililofanyika katika...
Makamu Mwenyekiti wa CCM Abdulrahman Kinana anazungumza na waandishi wa habari na wanaCCM katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma. Kinana anategemewa kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo kujibu shutuma mbalimbali zilizoibuliwa na upinzania ambazo CCM wameziita ni za kibaguzi dhidi ya Muungano...
SERIKALI KUFUFUA USAFIRI WA RELI YA KATI KIWANGO CHA META GAUGE KUTOKA DODOMA MPAKA SINGIDA
"Je, Serikali ina mpango gani wa kufufua usafiri wa Reli kutoka Dodoma kwenda Singida? - Mhe. Martha Nehemia Gwau, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida
"Serikali kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC)...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Bara) Komred Abdulrahman Kinana kuzungumza na Wananchi wa Mkoa wa Dodoma.
#KaaKaribunaRuningayako
#ChamaImara
#KaziIendelee
Mara ya kwanza nilioona suala hili Royal Village, nimekuta wapiga picha kibao, ukikaa sura wazi wanakukochoa, na mtu umeshalipa hela nyingi kukaa kwa amani, ukitaka picha utawaita mwenyewe ila kule hali ni tofauti.
Niko hoteli nyingine leo, the same sh*t, jamaa kakomaa na kamera lake anataka...
Katika kuelekea World Press Freedom Day, ambayo huadhimishwa kila tarehe 3 Mei, waandishi waliandaa marathon ya kilomita 10. Mbio hizo zilifanyika Dodoma ambao wanatasnia wa habari wamekusanyika kwa ajili ya kuipamba siku ya uhuru wa habari duniani.
Mbio hizo zimefanyika Mei Mesi, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.