nyerere

  1. Ashampoo burning

    Je, ni kweli Nyerere aliwatenga Waislamu?

    Kuna mwazuoni humu huwa anaandika sana kuhusu waislam na uhuru naweza sema mzee said ni mwanahistoria mzuri sana ila kafunikwa koti la udini Ni hivi Nyerere angekuwa na chuki na hao waislam asingemweka hata huyo mzee mwinyi awe rais mzee kawawa hao kina salim na wengine...
  2. Mohamed Said

    Mapenzi Waliyokuwanayo Watanganyika kwa TANU na Julius Nyerere

    Hii video fupi naeleza nguvu ya TANU na Mwalimu Nyerere wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika. Nimekusanya kiasi ya picha 50+ za Mwalimu kutoka Maktaba alizopigwa kati ya mwaka wa 1854 na 1961. Natafuta namna ya baadhi kuziweka hapa. Ukitazama hizo picha hapo juu na kusikiliza hii video...
  3. Mohamed Said

    Tune Shaaban Salim: Mshindi wa Tuzo ya Nyerere ya Uandishi Bunifu Maktaba

    TUNE SHAABAN SALIM MWANDISHI NGULI NA MSHINDI WA TUZO YA NYERERE YA BURT AMEFIKA MAKTABA Leo nimetembelewa Maktaba na mwandishi Bingwa na Mshindi wa Tuzo ya Nyerere ya Burt inayoshindaniwa na waandishi vijana kutoka Tanzania, Ethiopia, Kenya na Ghana. Amekuja kunipa kitabu chake, ''Posa za...
  4. Ngongo

    Mwl. Nyerere aliasisi mfumo Kristo?

    Heshima sana wana ukumbi, Nimesoma maandiko mengi ya wanazuoni wa Kiislam ambao kwa miaka mingi wamekuwa wakimtwisha zigo Mwl Nyerere kama muasisi wa mfumo Kristo. Katika tafakari yangu ta leo nimejikuta nikishangaa na kusikitika kwa wakati mmoja. Muasisi wa mfumo Kristo alitengeneza mfumo...
  5. Mohamed Said

    Nyerere Years

    THE NYERERE YEARS Nakifahamu kitabu hiki kuhusu marafiki wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. In Shaa Allah nitajaribu kuandika niyajuayo kutokana na majina ya hawa ambao ni rafiki zake na ndiyo waandishi wa kitabu hiki. Bahati mbaya sana kuwa hawa waandishi Wazungu ukiwatoa wachache...
  6. BARD AI

    Kinana: Rais Samia wanayemsema ndio ameleta uhuru uliopo nchini sasa hivi, akisema kuanzia leo hakuna maandamano itakuwa nini?

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Abdulrahman Kinana anazungumza na waandishi wa habari na wanaCCM katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma. Kinana anategemewa kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo kujibu shutuma mbalimbali zilizoibuliwa na upinzania ambazo CCM wameziita ni za kibaguzi dhidi ya Muungano...
  7. Kirchhoff

    Nani alitangulia kati ya Yeriko Nyerere na Nashon C Elia kwenye suala la ujasusi katika dola na uchumi?

    Nimekuta mahali kitabu hiki (pichani) kinauzwa nikakumbuka Title yake inafanana na moja ya kitabu cha mwenzetu Yeriko Nyerere. Nani kamuigilizia mwenzake? Kisheria imekaaje?
  8. FRANCIS DA DON

    Napendekeza ujenzi wa Bwawa lingine kilomita kadhaa mbele ya bwawa la Nyerere

    Kwa wanaolewa topography nzima ya eneo la Rufiji basin, hii inawezekana? Kwamba pana tofauti ya kutosha ya alltitude na reservoir area nyingine mbele ya bwawa la rufiji? Inabidi tuwaze miaka 30 toka sasa tusije kurudi kwenye limgao la umeme, maana watu kama akina JPM ni nadra sana kuwapata...
  9. Mto Songwe

    Lissu na Muungano wa mchongo, aeleza kutekwa kwa Jumbe

    Tundu Lissu akielezea kuhusu muungano wa mchongo. Aelezea kuhusu wapinga muungano wa kizanzibari kutekwa na kuwekwa vizuizini, Jumbe na wenzake. Sikilizeni hapa cheche zake.
  10. R

    Kwa dhambi hii ya kuiacha katiba mbovu inayomfanya Rais kuwa "Mungu Mtu", Nyerere hapaswi kuwa Mtakatifu

    Dhambi kubwa aliyofanya Nyererew ni kuiacha katiba ambayo mwenyewe kwa kinywa chake alisema katiba hii akiipata dictator, ataumiza sana watu/ WATANZANIA/WATANGANYIKA. Kwa vile ilikuwa inampa mamlaka ya kidikiteita akaiacha hivyo hivyo. Sasa wamekuja madikiteita marais waliopita na kuitumia...
  11. MamaSamia2025

    Yericko Nyerere aonyesha uzalendo kwa kupongeza mambo makubwa yanayofanywa na serikali ya awamu ya 6

    Kina Erythrocyte na Mdude wana jambo la kujifunza. Yericko kaandika hivi huko Facebook; Kuna juhudi flani za kiuchumi katika ukanda zinazofanywa na Tanzania zinanifanya nipongeze mfumo kwa kiasi chake, katika hili nasema hongera sana Tanzania! Sasa tupambane miundombinu kama SGR ifike Kongo na...
  12. B

    Kwa hili la Muungano Hayati Karume alimzidi ujanja Hayati Mwalimu Nyerere

    Huu ni ukweli ambao hausemwi, mwalimu Nyerere alizidiwa akili na Karume wakati wa kuwekwa makubaliano juu ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Karume alimzidi parefu sana mwalimu, na nadhani hakutafakari kwa kina kabla ya kuweka makubaliano, unaua nchi yako ila ya mwenzako inabaki palepale...
  13. Swahili_Patriot

    Maafa ya mvua Julius Nyerere hydropower electric dam

    Ni takriban wiki 2 sasa tangu nilipoiona habari ya mafuriko ya Rufiji dam. Habari ilieleza kuwa sio chini ya kaya 1000 zimeathiriwa na maji ya mafuriko yaliyotokana na maji kujaa kwenye dam kutokana na mvua nyingi. Frankly nilitamani kujua mengi zaidi kwenye hili. Kwa waliopo karibu na eneo la...
  14. Pfizer

    Dkt. Biteko: Bwawa la Mwalimu Nyerere lipo Salama. Limepunguza athari za mafuriko

    DKT. BITEKO ASEMA BWAWA LA UMEME JULIUS NYERERE LIKO SALAMA 📌 Asema limepunguza athari za mafuriko 📌 Atoa pole kwa waathirika wa mafuriko Rufiji 📌 Aeleza jitihada za Serikali kwa waathirika 📌 Azungumzia umuhimu wa Nishati Safi ya Kupikia, Bei ya Gesi Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati...
  15. Maghayo

    Dubai wakumbwa na mafuriko baada ya mvua kubwa kunyesha

    Mzuka wanajamvi! Mji wa kisasa wa kitajiri unasifiwa kwa miundombinu bora duniani sasa hivi iko underwater mafuriko ya hatarii hadi shughuli zote kusimama. Hii ni baada ya mvua kubwa na dhoruba na radi. Tulikuwa tunalalamika bure mafuriko Arusha na rufiji. ==== --- Torrential rain and...
  16. Mganguzi

    Mafuriko yaliyotokea Dubai na tehran juzi na Jana yamesababishwa na bwawa la mwalimu Nyerere! viongozi wetu wamekosa umakini !

    Sio tu Dubai na nchi nyingine huko falme za kiarabu hata mmomonyoko wa udongo mbeya pamoja na mafuriko ya Arusha na hata bwawa la monduli kupasuka chanzo ni bwawa la mwalimu Nyerere! Kwa Hali hii lazima serikali iwajibike ipasavyo ! Mawaziri wa nishati lazima wajiuzuru hata waziri mkuu ajiuzuru...
  17. L

    Kardinali Pengo atua ofisini kwa Paul Makonda kumfanyia maombi maalumu ya baraka na kumpongeza kwa uteuzi

    Ndugu zangu Watanzania, Kilichopatikana kwa Maombi hulindwa kwa Maombi na kilichopatikana kwa uchawi na makafara hulindwa kwa uchawi na makafara yakiambatana na matambiko yasiyo kwisha. Kwa kuwa Mwamba Mwenyewe Makonda amekuwa akipata vyeo na nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya serikali na...
  18. DR Mambo Jambo

    Yericko: Makonda Aitwe Bungeni,Tuhuma za Kesi ya Uhaini ya mawaziri, Na Generali Mobeyo Aitwe kueleza Bunge ukweli wa Kesi ya uhaini Uliofanyika 2021

    Anaandika Yericko Nyerere Wengi mmeomba nitoe maoni yangu kuhusu kauli za mtu anayejiita Paulo Makonda kwamba kuna mawazi wanawalipa watu ili kumtuna Rais na kwamba mawaziri hao wana wawatu nyuma ambao ni watu wa kuheshimika katika nchi. Kabla sijazungumzia kauli hiyo naomba niwarejeshe...
  19. Jaji Mfawidhi

    Nyerere day 13-4- na siyo 14-10-? Je, ikumbuke siku ya kufa au kuzaliwa?

    Happy birthday Mwalimu Nyerere #Tanzania We will appreciate your contribution to the building of the Nation and Africa Miaka 102 iliyopita alizaliwa Julius Kambarage Nyerere! Leo ndo ilitakiwa iwe #NyerereDay Archive: Siku ya leo ndio ingefaa kuwa Nyerere Day au ile ya Mwezi wa kumi? Je, siku...
Back
Top Bottom