Maafa ya mvua Julius Nyerere hydropower electric dam

Swahili_Patriot

JF-Expert Member
Aug 22, 2018
271
535
Ni takriban wiki 2 sasa tangu nilipoiona habari ya mafuriko ya Rufiji dam. Habari ilieleza kuwa sio chini ya kaya 1000 zimeathiriwa na maji ya mafuriko yaliyotokana na maji kujaa kwenye dam kutokana na mvua nyingi.

Frankly nilitamani kujua mengi zaidi kwenye hili. Kwa waliopo karibu na eneo la tukio ninaomba mtupe full info juu ya hili. Nashangaa kwanini hii habari imefumbiwa macho. Wanaficha nini hadi kuizika habari nzito kama hii.
 
Ni takriban wiki 2 sasa tangu nilipoiona habari ya mafuriko ya rufiji dam. Habari ilieleza kuwa sio chini ya kaya 1000 zimeathiriwa na maji ya mafuriko yaliyotokana na maji kujaa kwenye dam kutokana na mvua nyingi. Frankly nilitaman kujua mengi zaidi kwenye hili. Kwa waliopo karibu n eneo la tukio ninaomba mtupe full info juu ya hili. Nashangaa kwann hii habari imefumbiwa macho. Wanaficha nn hadi kuizika habari nzito kama hii
Toa sadaka kidogo, nenda kaone mwenyewe hakuna atakayekupa habari za uhakika. All so called waandishi wa habari are afraid maana Serikali is trying to conceal information.
 
Ni takriban wiki 2 sasa tangu nilipoiona habari ya mafuriko ya rufiji dam. Habari ilieleza kuwa sio chini ya kaya 1000 zimeathiriwa na maji ya mafuriko yaliyotokana na maji kujaa kwenye dam kutokana na mvua nyingi. Frankly nilitaman kujua mengi zaidi kwenye hili. Kwa waliopo karibu n eneo la tukio ninaomba mtupe full info juu ya hili. Nashangaa kwann hii habari imefumbiwa macho. Wanaficha nn hadi kuizika habari nzito kama hii
Snapinsta.app_434492425_18322163719193701_2382750166466055807_n_1080 (1).jpg
 
Mimi npt hapo Jumapili ya tarehe 14/04 kweli maji yamefurika ila cha kushangaza hawa waandishi wa habari hawapo hata ku cover the story, wao wapoo na habari za kisiasa.
 
Ni takriban wiki 2 sasa tangu nilipoiona habari ya mafuriko ya rufiji dam. Habari ilieleza kuwa sio chini ya kaya 1000 zimeathiriwa na maji ya mafuriko yaliyotokana na maji kujaa kwenye dam kutokana na mvua nyingi. Frankly nilitaman kujua mengi zaidi kwenye hili. Kwa waliopo karibu n eneo la tukio ninaomba mtupe full info juu ya hili. Nashangaa kwann hii habari imefumbiwa macho. Wanaficha nn hadi kuizika habari nzito kama hii
Sasa umejuaje kuwa imefumbiwa?
 
kuna mwandishi flani wa nchi jirani mambo kama haya uwa anachimba mpaka ndani ikiwezekana analala huko wiki au mwezi,akiachia iyo habari inakua imeshiba hasa.
 
Back
Top Bottom