mapenzi

  1. TUKANA UONE

    Uzinzi/ Uasherati ni gharama!

    Uzinzi na uasherati una gharama kubwa mno! MOJA WAPO YA GHARAMA YA UZINZI/UASHERATI! 1. Gharama ya Vyumba vya kufanyia Uzinzi/Uasherati wenu 2. Gharama za vyakula vya watu wawili (Chako nacha Mzinzi/Muasherati mwenzio) 3. Gharama za vinywaji vya watu wawili ( Vyako navya Mzinzi/Muasherati...
  2. Mbahili

    Namtafuta mtaalam wa mapenzi anishauri

    Habari za muda wanajamii... Hii nyuzi ni kwaajili ya kuomba ushauri na mahususi tu kwa wataalamu wakunishauri mapenzi.. Kama wewe ni Willy Osomba Onana, usijichoshe kukoment. Kuna mtoto flani hv kabichi juzi katimiza 19, sasa kaja kitaa changu. Kanaonekana mtu wa dini sana. Ebu wataalamu...
  3. BabaMorgan

    Hili jambo limeniumiza inakuwaje unafanya mapenzi kwenye ofisini?

    Tuvumiliane sisi wengine hatuna watu wa kushare nao visanga tunavyopitia in real life so tukiwa na dukuduku, huzuni na hata furaha sehemu ya kwanza tunayoifikiria kuwasilisha yaliyo moyoni ni hapa JamiiForums. Kuna dogo ndiye inchaji wa mahali nilipojishikiza ana power ya mamlaka japo ni mdogo...
  4. Mhaya

    Mapenzi hayashauriki, sio kwamba hatuwezi kukuambia ukweli juu ya mwenza wako

    Ukitaka kukorofishana na mtu, mwambie ukweli kuhusu mahusiano yake. Mahusiano huwa hayataki ushauri. Utamwambia vizuri tu kumsaidia, muache, kesho wapo wote na wanakusema. Kitu pekee kwenye mapenzi ninachoweza kukushauri ni namna ya kuishi na msongo wa mawazo. Mapenzi hayashauriki, wewe si...
  5. Braza Kede

    Tendo la ndoa chanzo cha kuua ndoa nyingi

    Wanandoa wengi wanaonekana kuamka nyumba moja na wenza wao tena wengine wakionekana kuwa na nyuso za furaha lakini kiukweli yanayoendelea humo ndani sio ya kufurahisha hata kidogo. Ukweli wenyewe wanandoa wengi hawapati tendo kama walivyokuwa wanafikiria kabla ya kuingia kwenye ndoa. Lakini ni...
  6. mmmuhumba

    Kuukumbatia moto katika mapenzi ni kujipa kasoro isiyo lazima, acha maana hauishi milele

    Ni ukweli mchungu kuwa ipo siku tutakufa na kila kitu kilichopo katika ulimwengu hakitodumu bali kinapita. Ni muhimu sana katika shida zote ukatambua na wewe unahitaji kupata muda wa kuyafurahia maisha yako kwa hali yoyote ile iwe kwa kingi ama kidogo ulichonacho. Katika mahusiano, wapo watu...
  7. M

    Nampenda member Eph

    Huyu memba nampenda sana, mimi ni yule yule kijana wa makamo 40+. Wewe member nakupenda sana sijali watakachosema mimi na wewe mpaka kiama. Nakupenda Eph kwanza hueleweki mchumba wako ni nani, humu wanakupaparikia ikiwemo mimi, nmekusoma sana kimyakimya lakini sikati tamaa. Sema utakacho dear...
  8. WeedLiquorz

    Sidhani kama nitaweza kuishi na mwanamke mimi. Wengine mnawezaje?

    Asalaam, Hawa viumbe, mimi huwa siwaelewi wanataka nini hasa ili kujenga amani na furaha kwa mara nyingi maana mara zote haiwezekani. Wao ni watu wa mood swing, mimi siwezi kazana na hisia za mtu mzima wakati kala kashiba, pesa nimempa na moto nimempelekea. Mimi hata niwe na magumu kiasi gani...
  9. BabaMorgan

    Ukiachwa achika

    Mwaka jana kuna binti aliniacha ghafla kupitia sms nanukuu "D nimefikiria nimeona hatuwezi fika mbali naomba tuachane" hapo ni baada ya dk kadhaa za kuambiana tunapendana akanipiga block kuanzia kwenye simu mpaka kwenye mitandao yake ya kijamii nikawa sina direct access ya kuwasiliana naye siku...
  10. Balqior

    Kwanini wanamuziki wengi wa Marekani hawatoi nyimbo zenye maneno matamu ya mapenzi kama ilivokuwa miaka ya 1980's?

    Habarini, Miaka ya 1980 kulikuwa na nyimbo kali za mziki zilizo romantic, kama vile stuck on you Lionel Richie, all my life -kci Jojo, endless love, end of the road Boyz to men, hard to say am sorry, Chicago, kina peabo Bryson na Roberta etc Sahivi nyimbo za aina hiyo mbona hazitungwagi tena??
  11. N

    Nawaomba radhi wale wote niliowakejeli kwasababu ya mapenzi

    Niende moja kwa moja kwenye mada nisikuchoshe tusichoshane. Mi nilikua nikiona mtu analialia kisa mapenzi nilikua namuona bwege mtunzeni, nilikua nawaza mtu anawezaje kulia au mtu anawezaje kukosa kontro na kupelekea kufanya mambo ya ajabu kisa mapenzi? Nilikua nasema sitoweza kuja kufanya huo...
  12. MALKIA WA TABASAMU

    Mambo matano yatakayokusaidia kutengeza mahusiano bora ya ndoa

    ZINGATIA HAYA ALFAJIRI. KIJANA JINSI ZOTE. Nimeiita alfajiri tusiyojua kilichobebwa na mchana wake. Ndio ni alfajiri na mapema ya mahusiano unayoona pengine kuna umbali yataenda na hata kukupeleka kwenye ndoa. Watu wengi huanguka mwanzo/asubuhi lakini athari huonekana jioni kwa sababu tu...
  13. Ashampoo burning

    Nina Miaka 32, nahisi sitokuja kuoa kabisa

    https://youtu.be/Cvpm7ckpd_M?si=XZrDOzXkE3ZHrsBO Habari wadau kabla hujaanza kusoma vaa earphone hapo bonyeza huwa wimbo kenny g nimeu pin ili ukusadie kuzama kwenye kisa soma soma kisa changu Basi mwaka 2017 maeno ya kisutu posta nilikutana na dada mrembo sana tukabadilishana...
  14. Uncle Mabiki

    Bado nampenda Sumaiya ingawa nimeshaoa - True Story

    Karibuni kwenye simulizi yangu ya maisha yangu ya kweli,Yenye Mapenzi na uchawi juu yake. Story inaanza mwaka 2018 nikiwa mwaka wa kwanza pale udsm main campus,mwaka huo nilikuwa mwaka wa kwanza,nilikuwa nakaa hostel za chuo pale mabibo hostel block D ,basi maisha yalikuwa yanasonga tu...
  15. VINICIOUS JR

    Mapenzi hayana tofauti na betting

    Kwema wakuu, Lazima tukumbushane kuwa ukimpenda mtoto wa watu ambae umekutanae ukubwani lazima uwekeze moyo na pesa zako kwa kiasi sio unaweka moyo wote na pesa zote siku mambo yakiwa tofauti lazima ujikute umepigwa na kitu kizito ndo pale unasikia mauaji n.k, Kwa wakamaria hawa hawanashida...
  16. Eli Cohen

    Wanaume huwa tunakuwa wababe vijiweni ila kwenye mapenzi na wanawake tunakuwa wa shule ya msingi kabisa.

    ■mara ooh amemkata kata hadi kumuua demu wake kisa ya kujua anatumika kwingine ■mara ooh amemuua kwa risasi mke wake na yeye kujiua kwa risasi. ■mara ooh hawala anakuja kudai sehemu ya urithi baada ya bwana kufariki. ■mara ooh amelawitiwa na baunsa kama wanne baada kufumaniwa na mke wa mtu...
  17. Melki Wamatukio

    Kwani kuna ulazima wa mwanaume kufanya mapenzi na kila mwanamke aliye mbele yake?

    Hii inakwenda kunipita mbali kwakweli. Hapa jirani kuna binti ambaye ni mzuri tu kimuonekano ambaye huwa naponea kwenye mwili wake Kabla ya kukubaliwa naye, nilipitia magumu mengi ya kupata shamba la kumwagia mbegu zangu hapa mtaani, maake kila niliyemuhitaji alinipiga chenga. Mimi na huyu...
  18. Comrade Ally Maftah

    Vitu hivi pambana uvipate, ukivikosa usilazimishe jipe muda- pesa, mapenzi na madaraka

    Na Comrade Ally Maftah KING OF ALL SOCIAL MEDIA Katika hii dunia inayokwenda kasi na isiyohitaji kubembelezana, unatakiwa kupata hivi vitu vitatu kwa namna ambayo hutoutweza utu wako. 1. PESA/ MALI Katika hii dunia hakuna mbadala wa pesa, ili uishi kwa furaha ni lazima uwe na pesa, hivyo basi...
  19. G

    Kanuni ya "tafuta hela" kwa wanaume hailipi katika mapenzi. Tazama hapa

    Kuna mdau analalamika "Nimetafuta hela, nimezipata. Mwili umekubali na nimenona, lkn wanawake hawanitaki. Sababu ambazo wanawake wanazitoa ni kwamba nimenenepa sana, nina kitambi kikubwa". Swali analojiuliza ni kwamba:. Mtu anawezaje kupata hela halafu asinenepe? Hela na afya vyote anavyo lkn...
  20. H

    Drama ya Mapenzi: Kaka Anayekopesha kwa Riba na Tamaa za mke mchepukaji zasababisha ndoa kuvunjika na mauti

    Kuna kaka (baba) mmoja anakopesha kwa riba, akawa ana date dada mmoja mke wa mtu.... Yule dada na mumewe wakapata dharura, akashauri mumewe wakope pesa kwa mchepuko (mumewe hajui kama mkopeshaji ana date na mkewe) wakaweka nyumba yao kama dhamana. Penzi likanoga, mume akimpa mke marejesho...
Back
Top Bottom