Tanzania ni nchi inayotambulika kama nchi ambayo inafuata misingi ya kidemokrasia africa na duniani,ni jambo la kupongezwa na kuendelezwa pia kulindwa vizazi na vizazi
Uongozi na viongozi wamekuwa wakipatikana kwa njia ya kuchaguliwa na kuteuliwa, suala la kuchaguliwa halina mashaka wala shida...
Na Comrade Ally Maftah
KING OF ALL SOCIAL MEDIA
Katika hii dunia inayokwenda kasi na isiyohitaji kubembelezana, unatakiwa kupata hivi vitu vitatu kwa namna ambayo hutoutweza utu wako.
1. PESA/ MALI
Katika hii dunia hakuna mbadala wa pesa, ili uishi kwa furaha ni lazima uwe na pesa, hivyo basi...
Madaraka hulevya, usimamini mtu isipokuwa Mungu!
Msikilize bashiru Ally kabla ya kuwa na madaraka
https://x.com/i/status/1793231455981805944
na baada ya kuwa na madaraka
https://youtu.be/uSZFsmy-uQk
Kuna Hali Fulani nchi inalazimishwa kuwadekeza wanawake ! Au kuwafanya wajihisi kama ni kundi la kuonewa huruma yaani walemavu!! Kila mahali wanataka huruma !! Hata uchaguzi ujao wanatumia misemo ya kutaka kupendelewq kijinsia ! Leo nyimbo na ngonjera nyingi ni za kutufubaza akili tuache...
Wana JF, wasalaam.
Naenda moja kwa moja kwenye mada.
Kila nikiangalia siasa zinavyokwenda, ni hakika Samia hataweza kutoboa ila kwa njia ya kumwaga damu. Atatumia nguvu sana ili kurudi ikulu.
Kuna vielementi vingi sana ninavyo viona vitakavyo mnyima kura.
1. Hana kambi ya kumpigania kufa...
Serikali ya Haiti imesambaratika baada ya aliyekuwa kiongozi wake kujiuzulu kwa shinikizo la makundi ya mitaani yakiongozwa na Vitel'homme Innocent
Kiongozi huyo wa makundi ya kihalifu anashutumiwa kufanya matendo ya kigaidi maeneo mengine ya Carribean mbali na Haiti.
Katibu Mkuu wa chama tawala nchini Tanzania CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi amewataka wanachama wa CCM kudumisha umoja na kuepuka mifarakano inayoweza kukisambaratisha chama hicho. Nchimbi ametoa kauli hiyo wakati wa ziara yake mkoani Songwe na kuongeza kwamba “mtu anayetafuta madaraka kwa misingi ya...
Dkt Mwigulu Nchemba hivi karibuni alifanya ziara yake Wilayani Iramba na karibia sehemu zaidi ya kumi mwanae Isaac Mwigulu Nchemba alipata nafasi ya kuhutubia.
Sehemu zote hizo mwanae huyo alikuwa amevaa mavazi mazuri sana ya CCM yenye gharama kubwa.
Hakuna sehemu aliyotembelea aliyoonekana...
Itoshe kusema Tulia Ackson anavyoandika na kuposti mitandaoni havina vinakinzana na madaraka aliyonayo. Nikiangalia page zake zina picha zake akiwa kwenye maeneo mbalimbali; lakini picha hizi kwa kiongozi wa kariba yake hazikupaswa kuishi kwenye page yake.
Anacopy au kupakua katuni na picha...
Kila mwaka tangu mpendwa wetu ashike madaraka ya uraisi kumekuwa na maadhimisho ya kuazimisha madaraka yake.
Je, haya mabango, matangazo kwenye vyombo vya habari, Makongamano na dhifa zinazoandaliwa zipo kwenye bajeti ya serikali au kuna wafadhili wenye moyo mwema wanaochangia gharama za...
Habari za Kazi wana JamiiForums,
Katika thread hii nategemea tutaangazia ziara mbalimbali(Za nje ya nchi) za Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mama Samia Suluhu Hassan na manufaa kwa taifa.
Leo tarehe 11 April 2021 Mhe Samia anafanya ziara yake ya kwanza nje ya Tanzania na ziara hii...
Nchi wamejaa wanachi na viongozi lia lia wanasahau hakuna Maendeleo yanayo weza kuja Jasho , ukiwabana kidogo ili mapato mengi yaingie serikalini huwezi kueleweka , Hayati Benjamin mkapa aliwahi kusema..
"Napenda kuwakumbusha kuwa njia ya maendeleo imejaa jasho na vumbi. Tuzingatie utamaduni...
Morogoro kwasasa si mkoa salama, vitendo vya uporaji kwa kutumia bodaboda vimeongezeka, vikundi vya uhalifu vinasumbua sana katika baadhi ya mitaa na kufanya raia waishi kwa hofu.
Cha ajabu jeshi la polisi limeweka jitihada kubwa kupambana na bajaji, yaani ikifika saa 1 jioni, polisi wenye...
Inaonekana kuwa mtoto wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ametukanwa na watu wengi baada ya kuzinduliwa Sanamu la hayati Nyerere huko Ethiopia, Makao Makuu ya Umoja wa Afrika AU.
Kupitia ukurasa wake wa "X" Madaraka amesema,
"Matusi niliyotukanwa yangekuwa mtaji...
Nianze kwa kumnukuu Hayati Mwalimu Nyerere...
Inapotokea vipindi vya uchaguzi wagombea wakiwa wanatafuta kura, pamoja na sera nzuri za kujiuza wanazokuwa nazo, pia huweza kutumia njia nyingine mbalimbali za kusaka kura. Sababu hizo zinaweza kuwa ukabila, udini, ukanda au jinsia. Wanaweza...
Hivi ni vitu vitatu vinavyotafuna viongozi wote duniani katika ngazi na maeneo mbalimbali. Vitu hivyo ni:
1: MAMLAKA: Viongozi wengi wanashindwa kutumia vyema nguvu na uhalali wa kuamrisha au kuagiza kutokana na nafasi walizo nazo kiasi cha kutumia isivyo sawa. Mfano mzuri utaona pale ambapo...
Makonda alikuwa mlezi wa kampuni ya wasafi inayomilikiwa na mwanamuziki Diamond. Mara kadhaa alisikika akimkemea Harmonise asivute misokoto yake. Lakini tangu aukose ukuu wa Mkoa, Wasafi waliona kama wametua zigo la misumari, wakampiga chini.
Nashauri Makonda asiwaache salama kwenye orodha yake...
movie ambayo inamuonesha jason mzee wa ngumi za kutosha ambaye ni mtandao wa siri wasio julikana ndani ya serikali nyingi duniani.
tuje kwenye mada: kiufupi ukiangalia hii movie iliyotoka 2024 unaoneshwa makampuni ambayo yapo nyuma ya vigogo kama za mikopo umiza,utapeli kwenye mitandao na n.k...
Kanda ya Ziwa wanapiga kelele kuhusu Makonda na namna anavyolazimisha kila mtu atii na kuongozana naye kwenye misafara.
Pamoja na elimu za viongozi wakiwemo wakuu wa mikoa na wilaya bado wamekuwa wakipeleka magari yao kwenye msafara kumpokea, kusimama jukwaa wapopolewe kisha wasindikize avuke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.