nchi

  1. Nigrastratatract nerve

    Madaktari hawa wawili wataibadilisha hii nchi kuanzia November 2025 Dr Hussein Ally Mwinyi na Dr Titus Mlengeya kamani

    Dr Hussein Mwinyi mhitimu wa Degree ya uzamivu inayohusiana na mwili wa binadamu ni physician mbobezi kabisa ni mtu makini anayejituma mpenda haki, mtulivu asiye na makundi anachojua ni kuwaunganisha watanzania bila kujali itikadi za vyama na dini zao huyu yeye anachowaza ni maendeleo tu ni lulu...
  2. Nigrastratatract nerve

    Madaktari hawa wawili wataibadilisha hii nchi kuanzia November 2025 Dr Hussein Ally Mwinyi na Dr Titus Mlengeya kamani

    Dr Hussein Mwinyi mhitimu wa Degree ya uzamivu inayohusiana na mwili wa binadamu ni physician mbobezi kabisa ni mtu makini anayejituma mpenda haki, mtulivu asiye na makundi anachojua ni kuwaunganisha watanzania bila kujali itikadi za vyama na dini zao huyu yeye anachowaza ni maendeleo tu ni lulu...
  3. BLACK MOVEMENT

    Watendaji wapigaji na wezi wa Mali za Umma ni kioo cha aliyewateua

    Duniani kokote kule haijawahi tokea kiongozi wa nchi awe msafi kama Pamba then akubali kufanya kazi na Panya. Hiawezekani kamwe. Watendaji wapigaji wanawakilisha kisawasawa tabia ya alie wateua. Historia ya Raisi San Abach inaonyesha kwamba hata watendaji wake walikuwa ni wapigaji vibaya mno...
  4. kiroba kifupi

    SoC04 Tanzania tuitakayo ni yenye wananchi na viongozi wazalendo na wenye kuipenda nchi yetu

    UTANGULIZI Nina kiu na shauku ya kuendelea kuona Tanzania yenye wananchi na viongozi ambao ni wazalendo na wenye kuipenda nchi yetu kwa dhati. MATARAJIO YANGU - Wananchi na viongozi wajitolee kwa ajili ya maendeleo ya nchi na wathamini maslahi ya taifa kuliko maslahi binafsi. Uzalendo...
  5. S

    Kwa mahitaji ya photoshoot wasiliana nami

    Kwa maitaji ya photoshoot wasiliana nami stoney lens kupitia namba 0654726672 kwa wàle wote ndani na nnje ya nchi ila napatikana Dar es salaam Tanzania
  6. Jidu La Mabambasi

    Serikali ina cheka na nyani: Wizi wa kimtandao Arusha inaelekea ni nchi nzima!

    Msimamo wa kula kwa urefu wa kamba imepata maana mpya na mbaya. Serikali ikiwa na vyombo vyote vya ulinzi na usalama katika kila mkoa, itaibiwaje kibwege hivi? Yes, serikali inaibiwa kibwege na wateule walewale wa Rais. Tumesikia kuwa kule Mbeya mtandao kama huo ulikuwepo. Hapo tusimung'unye...
  7. Selemani Sele

    Majina ya nchi za Kiafrika kabla na baada kupata uhuru.

    Watu wengi wanajua tu majina ya nchi bila.kujua historia ya majina hayo kabla na baada ya kubadilishwa. Songa nami. Gold Coast → Ghana 🇬🇭 (1957) Dahomey Republic → Benin Republic 🇧🇯 (1975) Southern Rhodesia → Zimbabwe 🇿🇼 (1980) Portuguese East Africa → Mozambique 🇲🇿 (1975) British East...
  8. D

    Sijawahi kuona Rais kama huyu tangu nchi yetu iumbwe

    Kila kona anapigwa spana. Sijui hakujiandaa kuwa Rais alishtukia amekuwa Rais hivyo hakujua anachofanya ofisini kabisa. Yeye kila aliyekuwa anaonesha ana mawazo positive ya kumzidi yeye basi alikuwa ni adui na anawindwa ama kuuawa ama kufilisiwa ndo mana akina Lowasaa wakaona warudishe majeshi...
  9. Superbug

    Toka tupate uhuru zonge la kijinai linaloitesa mamlaka ni kushambuliwa kwa lisu. Dola ijisafishe kabla ya upinzani kushika nchi.

    Mods huu uzi msiufute plz wala ku u merge. Shambulio la lisu ni teso kwa kwa dola. Wenye hekima litanzueni kwa akili kumbukeni muda hautasamehe hili jambo mpaka majibu yapatikane.
  10. kiroba kifupi

    SoC04 Tanzania tuitakayo ambayo itajali, kuboresha sheria za nchi na kuthamini haki za wafungwa magerezani

    UTANGULIZI. 👉 Watu hufungwa jela kwa sababu mbalimbali, zinazohusiana na kuvunja sheria za nchi. Picha kwa hisani ya mtandao. 👉 Adhabu ya kifungo jela inakusudia, 1. Kutoa adhabu.Kuwaadhibu wale waliovunja sheria na kuonyesha kwamba matendo yao hayakubaliki katika jamii. 2. Kuzuia Uhalifu...
  11. Yesu Anakuja

    Wanasheria nchi hii wana akili sana!

    Hivi ninyi msio wanasheria, mnajua kama Wanasheria tunaitambua Tanganyika, na hata chama chetu kinaitwa "chama cha wanasheria wa Tanganyika", sio Tanzania. HIi nchi yafaa ashike mwanasheria ili kurudisha Tanganyika.
  12. L

    Bila Uwepo wa CCM Madarakani Nchi ingekuwa Imesambaratika na Kugawanyika vipande vipande

    Ndugu zangu Watanzania, Nikitizama na kufuatilia namna vyama vya upinzani vinavyoendeshwa ,vinavyofanya maamuzi yake,mfumo wa uongozi na namna ya kupokezana madaraka, uvumilivu na demokrasia katika vyama hivyo nafikia hitimisho kuwa kama siyo uwepo wa CCM Madarakani basi Taifa hili lingekuwa...
  13. Ngongo

    Rais wa Nchi ya Watu wa Zanzibar yupo kikazi Jijini Arusha

    Rais wa Nchi ya Zanzibar yuko Jijini Arusha kikazi maalumu Mkutano Mkuu wa CRDB. Kama ulivyo utaratibu wa kuwapokea Viongozi wakuu wa nchi mbali mbali,leo mji wa Arusha umetembelewa na Rais wa Nchi ya Zanzibar kwa bashasha kubwa. Adhaa pekee tunayokumbana na nayo ni foleni kubwa ambazo...
  14. Erythrocyte

    Shule zaandikiwa Barua kutoa takwimu za Idadi ya wanafunzi wa Kiislamu shuleni

    Kabla ya yote natanguliza ombi Maalum, kwamba kama Taarifa hii si ya kweli iondolewe hapa mara moja. Lakini kama ni ya kweli ijadiliwe ili tufahamu malengo yake, yaweza kuwa malengo mazuri tu kama kujua idadi ili kugawa kanzu, Juzuu na mambo mengine mazuri kama udhamini Nk, pia yaweza kuwa na...
  15. Eli Cohen

    Kuna mlipuko wa ungonjwa wa MPOX huko DRC na inadhaniwa kusambaa nchi nyingine.

    Mpox ama monkey pox. Ni homa inayotokana na nyani. Inasemekana hadi sasa walioathirika ni 19,919 huku waliokufa 975 huko Congo. Dalili zake upele, homa, mgongo kuuma, kukosa nguvu, kichwa kuuma, kuwashwa kwa koo. Inaaambukizwa kwa kula nyama ya nyani alie na hatari hio, kugusana kawaida na...
  16. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Martha Mariki akichangia hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi katika Mwaka Mpya wa Fedha 2024-2025 Bungeni Jijini Dodoma

    "Nampongeza Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa anayoifanya katika Taifa letu la Tanzania na jinsi ambavyo ameendelea kuboresha Wizara ya Mambo ya Ndani ambayo inasababisha wananchi tuendelee kukaa katika hali ya ulinzi na usalama" - Mhe. Martha Festo Mariki, Mbunge wa Viti Maalum...
  17. greater than

    SoC04 Ninaifanyia nini nchi yangu?

    "Ask not what your country can do for you,but what you can do for your country " yaani "Usiulize nchi yako inaweza kukufanyia nini,ila jiulize wewe unaweza kuifanyia nini nchi yako" Hiko ni kifungu cha maneno maarufu ambacho kilitamkwa katika hotuba ya John F. Kennedy, kipindi akiapishwa kuwa...
  18. MINING GEOLOGY IT

    Katika nchi nyingi za Kiarabu, maji ni ghali kuliko mafuta

    Sababu kuu ni kuwa maji ni rasilimali adimu na yenye gharama kubwa ya uzalishaji na usambazaji katika maeneo hayo, wakati mafuta ni rasilimali ya asili ambayo hupatikana kwa wingi. Nchi nyingi za Kiarabu ziko katika maeneo ya jangwa na zinakumbwa na ukosefu wa mvua, hivyo vyanzo vya maji ya...
  19. K

    Kama nchi tunakwama wapi kusimamia mabasi ya Mwendokasi?

    Kuna kilio cha wananchi kila kona kuhusu mabasi ya mwendokasi. Mabasi haya yanajaza pasipo mfano. Mabasi hayatoshi. Mabasi mengi yameharibika na yako yadi na hakuna matengenezo. Watu wanachelewa kufika kazini. Kutokana na tatizo hili wananchi wameombaa kuwa daladala isaidie mabasi ya...
Back
Top Bottom