wazalendo

The Alliance for Change and Transparency, sometimes known as the ACT–Wazalendo, is the third-largest political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. kiroba kifupi

    SoC04 Tanzania tuitakayo ni yenye wananchi na viongozi wazalendo na wenye kuipenda nchi yetu

    UTANGULIZI Nina kiu na shauku ya kuendelea kuona Tanzania yenye wananchi na viongozi ambao ni wazalendo na wenye kuipenda nchi yetu kwa dhati. MATARAJIO YANGU - Wananchi na viongozi wajitolee kwa ajili ya maendeleo ya nchi na wathamini maslahi ya taifa kuliko maslahi binafsi. Uzalendo...
  2. BigTall

    ACT kumfukuza Uanachama Zitto?/ Kumpigia Kampeni Samia 2025/Dorothy Semu

    https://www.youtube.com/watch?v=JXhfs3y4FiY Chanzo: Dar24
  3. Mpekuzi Tanzania

    Kuelekea miaka 10 ya ACT Wazalendo, je kuna mpasuko Bara na Zanzibar?

    Jana ACT Wazalendo imezindua nembo Mpya ya Chama katika kusherekea miaka 10. Lakini Mwenyekiti wake Othman Masoud Othman alimaarudu OMO hakuwepo ukumbini, Jussa ambae ni Makamu Mwenyekiti upande za Zanzibar (mhafidhina) hakuwepo ukumbini. Je, ACT Wazalendo Bara na Visiwani Kila mtu kaamua...
  4. K

    Wana CCM wazalendo ungeni mkono demokrasia, katiba mpya kwa manufaa ya nchi yetu

    Kuna watu wengi ambao wapo CCM na ni wazalendo. Lazima muelewe sio matakwa yote ya CCM ni kwa faida ya nchi kuna mambo mengi sana ambayo ni kwa mafanikio ya tabaka la utawala ndani ya CCM. Tabaka hili lenye mtandao mkubwa ni wale wakubwa ambao ndiyo wanafanya maamuzi ikiwa ni pamoja na kuingiza...
  5. Mto Songwe

    Wazanzibari ni wazalendo wa nchi yao ila Watanganyika sijui tuna matatizo gani!

    Huyu mbunge ameongea jambo la maana sana juu ya mstakabali wa nchi yake ya Zanzibar ila alicho ambulia mitandao ni matusi, kebehi na dharau juu yake na kwa Wazanzibari kutoka kwa Watanganyika(Watanzania). Ni nini huko somo la uraia linafanya mashuleni juu ya Watanganyika mbona ni wapumbavu...
  6. Roving Journalist

    Act Wazalendo inafanya uchambuzi wa ripoti ya CAG

    Act Wazalendo inafanya uchambuzi wa ripoti ya CAG https://youtube.com/live/NUZV2KCIntw?si=tEvs29-aBxTF6TT9
  7. Roving Journalist

    Maadhimisho ya Miaka 10 ya ACT Wazalendo, waelezea kupigania Maslahi ya wote na Zanzibar yenye Mamlaka kamili

    Miaka 10 ya kupigania Maslahi ya wote na Zanzibar yenye Mamlaka kamili. Ndugu waandishi wa habari, ACT Wazalendo inatimiza 10 tokea kuanzishwa kwake. Kilele cha Miaka 10 ya ACT Wazalendo itakuwa tarehe 5/5/2024, katika Viwanja vya Mwami Ruyagwa, Kata ya Gungu katika Manispaa ya Kigoma Ujiji...
  8. ACT Wazalendo

    Mchinjita: Serikali iwalipe fidia waathirika wa Mafuriko Rufiji

    Serikali kusababisha Mafuriko; Waziri wa Nishati awajibishwe na Wananchi wa Rufiji na Kibiti wafidiwe. Chama cha ACT Wazalendo kinataka hatua kali za uwajibishaji dhidi ya Waziri wa Nishati Ndg. Dotto Biteko kwa kushindwa kuwawajibisha watendaji wake waliosababisha mafuriko Rufiji na Kibiti na...
  9. Roving Journalist

    ACT Wazalendo yamtaka Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kufika Rufiji haraka

    Waziri Mkuu Kivuli Ndugu Isihaka Mchijita amesisitiza na kuitaka Serikali kufanya tathmnini ya haraka juu ya hasara ya waathirika wa mafuriko Rufiji na Kibiti na kumtaka Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg. Kassim Majaliwa kwenda kujionea athari za mafuriko hayo ili kutoa msukumo...
  10. JanguKamaJangu

    Kamishna wa Polisi Zanzibar: ACT Wazalendo wanapotosha kuhusu usalama wa Zanzibar, wana malengo binafsi ya kisiasa

    Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamad Khamis Hamad amelani kitendo cha upotoshaji wa hali ya uhalifu na usalama visiwani Zanzibar. Akizungumza na waandishi wa habari huko Makao Makuu ya Polisi Zanzibar amesema usambazaji wa taarifa za upotoshaji kupitia mitandao sio tu kukosa uwajibikaji bali pia...
  11. Informer

    Zanzibar: Kifo cha utata cha Katibu wa ACT-Wazalendo Jimbo la Chaani chaibua minong'ono

    ACT-Wazalendo wataka uchunguzi ufanyike. Chama Cha ACT Wazalendo, Tunalitaka Jeshi la Polisi Kuhakikisha, Linawakamata na Kuwafikisha Katika Vyombo Vya Sheria, Wote Waliohusika na Kifo Cha Katibu wa ACT Wazalendo, Jimbo la Chaani, Ndugu ALI BAKARI ALI Chama cha ACT Wazalendo, tumepokea kwa...
  12. Nehemia Kilave

    Wenye akili na wazalendo walishajua kuwa Tunahitaji sana kupata Rais Mwingine kama Hayati Magufuli

    Leo tarehe 17/03 ni siku ambayo hayati JPM alitutoka 2021. Katika pitapita leo nimekutana na kijana mmoja kuniambia sisi ambao hatuna akili na sio wazalendo ambao wengi wetu tulikosa virutubisho utotoni na kupata udumavu hatuoni mchango wa hayati Magufuli. Hiyo inapelekea kumsema vibaya na...
  13. CCM MKAMBARANI

    Lissu ni mwanasiasa mzuri, nitahama CCM kumfuata akitua ACT-Wazalendo

    Tundu lissu anaeleka ACT wazalendo kujiandaa kuchukua nchi 2025, ninaamini kabisa kama Mungu akituruzuku uhai Lissu akiungana na akina Ismail Jussa, Lema, Babu Duni, Othman na vijana kama Nondo bila shaka CCM mkambarani kama mwanamikakati nitaachana na ccm na kuifuata ACT Ninayasema haya baada...
  14. R

    Mafunzo ya JKT yamewafanya watoto wetu kuwa wakatili badala ya kuwa wazalendo; mitaala yake ifanyiwe mapitio

    Tathmini yangu binafsi inaoonyesha mafunzo ya JKT yanawafanya vijana kuona kama wao ni wanajeshi na kwamba ujeshi ni ukatili kitu ambacho siyo kweli. Katika ulimwengu ulioendelea mwanajeshi ni binadamu mwenye mafunzo na nyenzo za kuisaidia jamii kukabiliana na maadui na siyo kuwafanya jamii...
  15. Roving Journalist

    ACT Wazalendo: Vitita vipya NHIF vinageuza huduma ya afya kuwa biashara, Serikali ifute vitita vipya

    ACT Wazalendo tumeguswa na taharuki za wananchi kutokana na taarifa za utata juu ya upatikanaji wa huduma za afya kupitia Mfuko wa Taifa wa bima ya afya (NHIF). Wiki ya kwanza ya mwezi Machi, 2024 tulishuhudia mivutano mikali kati ya Serikali na watoa huduma za afya binafsi (Vituo binafsi)...
  16. Erythrocyte

    ACT Wazalendo watangaza nia ya kujitoa SUK

    Hii ndio gia mpya waliyoamua kuja nayo baada ya Chaguzi zao kumalizika Zaidi soma hapa -- Akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 8 Machi 2024 jijini Dar es Salaam Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema viongozi wa chama hicho watakutana na Rais wa Jamhuri wa...
  17. Chachu Ombara

    ACT Wazalendo: Tunaamini katika siasa za hoja, si maandamano

    Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Bi Dorothy Semu akihojiwa katika kipindi cha Super breakfast cha East Africa Radio amesema kuwa Wao ACT Wazalendo wanaamini kwenye uhuru na haki mtu kujieleza anavyotaka, ikiwemo pia kwa njia za maandamano, lakini ACT Wazalendo wanasema wanawekeza na kufanya...
  18. R

    ACT Wazalendo wanaamini wanaweza kushirikiana na CCM kumwondoa Mbowe Madarakani? Mbowe anaathiri vipi kustawi kwa vyama hivi shikizi?

    Viongozi wa ACT walikuwa wana Chadema hapo awali. Wakaandaa njama za kuivuruga Chadema mwisho wa siku wakakamatwa na kufukuzwa uanachama. Zito na Kitila wakafika kwa msajili chini ya wana CCM na kusajili chama chao. Wakatafuta wafuasi wakakosa na hivyo Kitila akaamua rasmi kurejea CCM kisha...
  19. Kiboko ya Jiwe

    Zitto Kabwe alikuwa na nafasi gani ndani ya ACT Wazalendo?

    Haya wajuba wazee wa siasa za Bongo muje munieleze vizuri. Zitto Kabwe alikuwa na nyadhifa gani ACT Wazalendo? Wanahabari wetu wanaishia tu kutuambia kuwa alikuwa kiongozi wa chama.
Back
Top Bottom