usalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Makonda aipongeza Benki ya CRDB msaada wa Pikipiki kwa Jeshi la Polisi kuimarisha Usalama kwa Watalii Jijini Arusha

    Arusha 16 Mei 2024 - Serikali imeipongeza Benki ya CRDB kwa kutoa msaada wa pikipiki kwa Jeshi la Polisi mkoani Arusha ili kuimarisha doria zitakazoongeza usalama kwa watalii wanaokuja nchini. Pongezi hizo zimetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda alipopokea pikipiki hizo zenye thamani...
  2. Alubati

    SoC04 Majeshi ya Ulinzi na Usalama yaunde Sera na Mkakati maalumu wa ajira kwa jamii ya watu wenye ulemavu

    Ulemavu ni hali ya mtu kuwa na upungufu kimwili ambao hufanya iwe vigumu kufanya shughuli kulingana na mazingira yanayomzunguka. Kuna aina nyingi za ulemavu kama usikivu hafifu, ulemavu wa viungo vya nje ya mwili kama kama miguu, ulemavu wa ngozi,ulemavu wa kutoweka kutamka maneno, kushindwa...
  3. Idd Ninga

    SoC04 Maboresho ya Dawati la Jinsia ndani ya Idara ya Polisi, litaongeza Usalama kwa Watanzania

    Dawati la Jinsia ni kitengo kinachopambana na Ukatili wa kijinsia na ukatili dhidi ya watoto kilichopo ndani ya Idara ya Polisi Tanzania na kitengo hiki hupatikana katika vituo vingi vya polis hapa nchini. Dawati hili mbali na kushughulika na kesi za Ukatili, lakini pia kimekuwa kikitumika kwa...
  4. JanguKamaJangu

    Ujenzi wa maeneo mengi ya Kariakoo hauzingatii usalama wa Watu na mali zao, hatua zichukuliwe tusisubiri majanga

    Kwa siku za hivi karibuni kama kati yetu kuna ambao wamebahatika kwenda kwenye eneo maarufu la kibiashara Kariakoo jijini Dar es Salaam mtaungana na mimi kwamba kuna ujenzi wa majengo mengi ya gorofa unaendelea kwa sasa. Ujenzi huo unafanyika katika Mitaa mbalimbali ya Kariakoo ambapo kipindi...
  5. TheForgotten Genious

    SoC04 Mfumo wa usalama barabarani uboreshwe ili kudhibiti foleni,ajali na rushwa.Jina la mfumo: Intelligent Road Traffic Monitoring System (IRT-MS)

    Kielelezo.1: Ajali kati ya basi la mwendo kasi na bodaboda . Chanzo: Daily News Digital Mfumo unalenga kutatua changamoto zote za kiusalama na weledi barabarani kama vile; Foleni Rushwa. Ajali. MUUNDO NA UTENDAJI KAZI WA MFUMO. Mfumo wa umeme. Huusisha mifumo miwili ambayo ni Gridi na dharura...
  6. mwanamichakato

    Amani ya DRC na kesho ya usalama wa Tanzania

    Mungu ibariki Afrika na watu wake..Mungu wabariki Viongozi wetu Vita na mauaji vinaendelea Kivu ya Kaskazini,Maelfu ya raia wanauwa kila leo. Biashara na shughuli kuu zote zimedorora. Janga la kibinadamu siku si nyingi yamkini kukawa na mauaji ya haraiki. Waasi wenye nguvu wanapambana kuteka...
  7. Roving Journalist

    Mafunzo ya Usalama wa Wanahabari na Watu wenye Ushawishi

    Waandishi wa Habari wa kike na Watu Wenye Ushawishi wameshiriki warsha ya Siku moja iliyohusu kujengewa Uelewa wa Usalama wao katika masuala ya Mtandao, ilifanyika Mei 7, 2024 ikiandaliwa na Taasisi zisizo za Kiserikali, JamiiForums kwa kushirikiana na CIPESA. Warsha hiyo ililenga kuangalia...
  8. BARD AI

    Nigeria: Wananchi wapinga Tozo ya Usalama wa Mtandao kupitia Miamala ya Benki na Simu

    Wanigeria wengi wamelaani kuanzishwa kwa ushuru mpya kwa miamala ya kielektroniki ya benki na simu huku wengine wakisema kuwa itawarudisha nyuma na kuanza kutumia pesa taslimu. Benki Kuu ya Nigeria (CBN) imeziagiza taasisi za fedha kwamba ushuru wa 0.5% unaokusudiwa kuongeza pesa ili kuimarisha...
  9. presider

    SoC04 Usalama wa abiria ndani ya daladala za mijini na vijijini

    UTANGULIZI Usafiri wa daladala ndio usafiri unaotumiwa na watu wengi ndani ya mikoa mikubwa(Majiji), mikoa midogo na vijijini. Ni usafiri ambao asilimia kubwa wa watumiaji wa watu wa kipato cha kati. Mara nyingi wakati wa Asubuh na jion kwa mikoa mikubwa kama Dar es salaam, Mwanza nk ndio...
  10. Raghmo

    SoC04 Migahawa na usalama wa afya za walaji. Je, tupo hatarini? Na kipi kifanyike kumaliza janga hili

    source: www.urban municipal council Utangulizi: Migahawa ni sehemu muhimu ya tamaduni ya kula katika jamii zetu, lakini mara nyingi hatufahamu yale yanayotendeka nyuma ya pazia. Wakati tunapofurahia sahani tamu au chakula cha kufurahisha, hatari za usalama wa chakula zinaweza kusahaulika au...
  11. N

    SoC04 Uhakika na Usalama wa Chakula nchini Tanzania

    Utangulizi Nazi, Pilipili, Karafuu, Iliki, Uji Lishe, Maziwa, Kisamvu, Mihogo, Mahindi, Mchele, Samaki Wakubwa, Visamaki Vidogo (dagaa na uono), Asali, Sukari, Kuku wa Asili, Nyama ya Ng'ombe Mbuzi na Kondoo, Mayai, Matembele, Mchicha, Machungwa, Mananasi, Maboga, Mboga ya Maboga, Maembe...
  12. BARD AI

    Israel yafungia Matangazo ya Al Jazeera kwa madai ya kutishia usalama wa nchi

    Baraza la mawaziri la waziri mkuu Benjamin Netanyahu limeunga mkono kuzimwa operesheni za Al Jazeera nchini Israel kwa muda wote ambao vita ya Gaza itakuwa ikiendelea, kwa misingi kwamba mtandao huo wa televisheni kutoka Qatar unatishia usalama wa taifa. "Chaneli ya uchochezi ya Al Jazeera...
  13. JOHNGERVAS

    Mbeya: Mwandishi wa Habari mbaroni kwa kujifanya afisa Usalama wa Taifa

    Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Songwe, Augustino Senga amesema wanamshikilia mwandishi wa habari (41) (ambaye jina lake limehifadhiwa) kwa kosa la kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu, akijitambulisha kuwa ofisa usalama wa Taifa. Kamanda Senga ameyasema hayo leo Jumapili Mei 05, 2024...
  14. G

    Kufosi kuishi kizungu kwa shotcut za kibongo, Nina rundo la muvi/miziki/pdf za kudownload, kuna usalama wa online backup au nitunze kwenye external ?

    Wabongo wengi tunapenda sana vya bure kwenye ulimwengu wa kidijitali, ni mwendo wa kudownload muvi / games / series / miziki / vitabu / software / window , n.k. nakumbuka hata nikiwa chuoni maktaba ilituandalia vipeperushi vya tovuti za kudownload vitabu bure, pia mwalimu wetu wa somo la...
  15. Mkalukungone mwamba

    Waziri Mkuu: Serikali itasimamia kwa uweledi usalama wa wanahabari na kutosumbuliwi popote wanapofanya kazi yao

    Waziri Mkuu: Serikali itasimamia kwa uweledi usalama wa wanahabari na kutosumbuliwi popote wanapofanya kazi yao
  16. Stephano Mgendanyi

    Hali ni Mbaya Sana, Tembo Wanazagaa Vijijini na Kuhatarisha Usalama wa Wananchi wa Mbarali

    MBUNGE BAHATI NDINGO Afikisha Hoja ya Dharura Bungeni - Hali ni Mbaya Sana, Tembo Wanazagaa Vijijini na Kuhatarisha Usalama wa Wananchi wa Mbarali Mbunge wa Jimbo la Mbarali, Mhe. BAHATI KENNETH NDINGO leo tarehe 30 Aprili, 2024 amefikisha Hoja ya Dharura Bungeni mbele ya Spika kutokana na...
  17. Allen Kilewella

    CCM inasiasisha usalama wa nchi yetu. Ni HATARI!!!

    Kwa kipindi kirefu sana CCM imekuwa ikisiasisha usalama (Politicize national security) wa Taifa letu. Mwanzoni wengine wenye umri mkubwa kidogo ingawa hatujafikia umri wa kina johnthebaptist tulielewa. Huko tulikotoka kabla ya mwaka 1992 mfumo wa vyama vingi uliporudishwa tena, mambo ya...
  18. Uzalendo wa Kitanzania

    Waziri wa Usalama Israel anusurika kwenye ajali mbaya akimbizwa hospital

    Wadau hamjamboni nyote Waziri wa Usalama mwenye msimami mkali wa Israel Itamar Ben Gvir anusurika kwenye ajali mbaya ya gari na amekimbizwa hospital anakopatiwa matibabu Polisi wanaendesha uchunguzi mkali kubaini chanzo cha ajali hiyo mbaya iliyotokea leo ijumaa Mungu ibariki Israel...
  19. TODAYS

    Bodaboda igeni hili litawapa Mileage Kibiashara na Kijamii

    Kundi la waendesha pikipiki huko jimbo la Arizona Marekani liitwalo 'Bikers Against Child Abuse' ambalo huwaweka salama wahathiliwa wa unyanyasaji hasa watoto, ikiwa ni pamoja na kulinda nyumba zao usiku ikiwa mnyanyasaji hayupo gerezani. Pia hawa jamaa huhudhuria mahakamani kushuhudia na...
  20. Brown14

    Pesa zetu si salama tena Benki, kuna wizi unafanywa na wafanyakazi

    Benki mbona kama hakuna usalama Tena.. Hivi hiii hali ya kupoteza hela benki inatokana na nini maana mimi naona kama hii hali imezidi sasa. Siku mmoja nimeingiziwa Benki pesa kama laki 5 hivi, wakati naenda kutoa nakuta hamna hata mia. Naenda kuuliza ndani wananiambia nimecheza michezo ya...
Back
Top Bottom