arusha

  1. Roving Journalist

    TPF NET Arusha wanolewa, waonywa kujiepusha na vitendo viovu

    Katibu wa Mtandao wa Polisi Wanawake Tanzania TPF net Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Pili Mande amewataka Askari wa kike Mkoa wa Arusha kujiepusha na vitendo ambavyo ni kinyume na maadili ya Jeshi hilo. Kauli hiyo ameitoa leo wakati akitoa mafunzo yaliyoandaliwa na mtandao huo...
  2. Jidu La Mabambasi

    Serikali ina cheka na nyani: Wizi wa kimtandao Arusha inaelekea ni nchi nzima!

    Msimamo wa kula kwa urefu wa kamba imepata maana mpya na mbaya. Serikali ikiwa na vyombo vyote vya ulinzi na usalama katika kila mkoa, itaibiwaje kibwege hivi? Yes, serikali inaibiwa kibwege na wateule walewale wa Rais. Tumesikia kuwa kule Mbeya mtandao kama huo ulikuwepo. Hapo tusimung'unye...
  3. greater than

    Kituo cha Mabasi Mwenge na Stendi ya Mabasi ya Mkoa Arusha

    KITUO CHA MABASI MWENGE Kipo chini ya manispaa ya Kinondoni Ujenzi ulianza 1/7/2019 mpaka 30/11/2023 Ufadhili:fedha za ndani Kitahudumuia : Daladala 100 na Bajaji 60 kwa wakati mmoja. Gharama ya ujenzi : Billioni 15 Hongera sana Manispaa ya Kinondoni ,mmeonesha uthubutu. STENDI YA MABASI YA...
  4. F

    Ushirikiano mpya kati ya Zanzibar na Arusha kukuza utalii. Rais wa Zanzibar asema Zanzibar itawekeza Arusha.

    Zanzibar and Arusha in new cooperation to boost tourism investment in Tanzania Arusha. Zanzibar and Arusha will cooperate in an effort to boost investments in Tanzania’s tourism sector. Zanzibar, which is famous for beach tourism, has been receiving an increased number of investors in the...
  5. BARD AI

    Mikoa ya Arusha na Manyara inaongoza kwa Ukeketaji Tanzania

    Mikoa ya Arusha na Manyara imetajwa kuwa na Kiwango kikubwa cha Ukeketaji nchini Tanzania ikiwa na Wastani wa 43% ya Vitendo hivyo ikifuatiwa na Mikoa ya Mara 28%, Singida 20% na Tanga 19% Mikoa mingine Dodoma (18%), Iringa (12%), Morogoro (10%), Kilimanjaro (9%), Njombe (7%) Pwani (5%) na...
  6. Ngongo

    Rais wa Nchi ya Watu wa Zanzibar yupo kikazi Jijini Arusha

    Rais wa Nchi ya Zanzibar yuko Jijini Arusha kikazi maalumu Mkutano Mkuu wa CRDB. Kama ulivyo utaratibu wa kuwapokea Viongozi wakuu wa nchi mbali mbali,leo mji wa Arusha umetembelewa na Rais wa Nchi ya Zanzibar kwa bashasha kubwa. Adhaa pekee tunayokumbana na nayo ni foleni kubwa ambazo...
  7. K

    Tunatafuta watu wa masoko Arusha

    Habari! Sisi ni chuo tupo Arusha tunatoa kozi mbalimbali zikiwemo za utalii Katika kuhakikisha tunawafikia wanafunzi wengi tumeona ni vyema tuongeze team katika idara yetu ya marketing Kama upo Arusha au mkoa wowote unaweza kuifanya kazi hii tafadhali wasiliana nasi kwa maelekezo zaidi 0658547794
  8. B

    Makonda aipongeza Benki ya CRDB msaada wa Pikipiki kwa Jeshi la Polisi kuimarisha Usalama kwa Watalii Jijini Arusha

    Arusha 16 Mei 2024 - Serikali imeipongeza Benki ya CRDB kwa kutoa msaada wa pikipiki kwa Jeshi la Polisi mkoani Arusha ili kuimarisha doria zitakazoongeza usalama kwa watalii wanaokuja nchini. Pongezi hizo zimetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda alipopokea pikipiki hizo zenye thamani...
  9. Roving Journalist

    Arusha: Benki yatoa pikipiki 20 kwa Jeshi la Polisi, RC Makonda awakabidhi

    Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha leo Mei 16, 2024 limepokea msaada wa pikipiki 20 toka benki ya CRDB kwa ajili ya kuimarisha usalama wa raia na mali zao katika Mkoa huo. Akikabidhi pikipiki hizo Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe; Paul Makonda amesema pikipiki hizo zimetolewa kwa Jeshi la Polisi ikiwa...
  10. C

    Makonda kusikiliza kero zenye kesi Mahakamani Arusha, asema yupo tayari kupoteza chochote mradi mtu apate haki yake

    Mbona Makalla na Makonda wanakinzana? Kile kikao cha maadili alichoenda April hakikufanya kazi? Anataka kutuambia kuwa anakubali watu huwa wanaonewa kutokana na umasikini wao na hivyo kukosa haki? Kwamba bila ya kuwa na hela huwezi kutoboa Mahakamani? ===== Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul...
  11. Jamii Opportunities

    Head Of Services at Braeburn International School Arusha

    Braeburn International School Arusha INVITES APPLICATIONS FOR Head Of Services Braeburn International School Arusha is a co-educational day and boarding school catering for both the international and Tanzanian community. Accredited by the Council of International Schools, we have earned a...
  12. K

    Kero ya wananchi mbele ya Mkuu wa Mkoa Arusha ndugu Makonda

    Nimekuwa nikifuatilia wananchi wa Mkoa wa Arusha wakitoa kero zao mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Ndugu Makonda. Kwa asilimia kubwa lazima sheria zifuatwe na Mkuu wa Mkoa hayuko juu ya sheria. Inawezekana kero nyingi zilizotolewa tayari aidha ziko Mahakamani au uamuzi wa kisheria...
  13. Roving Journalist

    Mkazi wa Arusha amwambia Makonda: Mtoto wangu amelawitiwa, Askari Polisi hawanisaidii na wananipa vitisho

    Mkazi wa Muriet Jijini Arusha akielezea changamoto aliyokutana nayo akidai Mtoto wake amelawitiwa na baadhi ya Watu huku Askari kadhaa wa Murieti wakimzungusha kupata haki yake licha ya vipimo vilivyofanyika katika Hospitali ya Murieti na Mount Meru kuthibitisha ukatili aliofanyiwa mwanaye...
  14. A

    Kwa heshima na uchapakazi wa Makonda Arusha na Kilimanjaro aiongoze yeye

    Kwa uthubutu na utenda kazi usio chosha, ni vyema sasa Mamlaka za uteuzi zimteue Makonda kuwa Mkuu wa Mikoa ya Arusha na Kilimanjaro. Kwa huyo Nurdin Babu sielewi hata huo Ukuu wa Mkoa alipewa kwa kigezo kipi!
  15. Mparee2

    Kinachotokea kwenye mikutano mkuu wa mkoa Arusha kitufungue macho!

    Kinachotokea kwenye mikutano ya mkuu wa Mkoa wa Arusha kimeonesha kuwa, wananchi wengi wanateseka sana kwa kukosa haki zao kutokana na watendaji wabovu wa nafasi tofauti tofauti. Nafikiri hata viongozi wa juu wanashangazwa na uozo uliopo huku chini Ikimpendeza Muheshimiwa Waziri Mkuu atoe TAMKO...
  16. julaibibi

    Makonda awapoteza CHADEMA Arusha

    Tangu kuteuliwa kwa RC Makonda Arusha, Lema ni kama amepotea, watu wapo bize na makonda in short kama hali itaendelea hivi hivi A town Lema ana kazi sana. Utendaji kazi wa RC unawakosha watu na kuona jinsi chama chao cha mapinduzi ni sikivu nenda uone jinsi watu wanavyosaidiwa kero zao. Huu...
  17. kavulata

    RC Makonda anaiumbua CCM Arusha

    Wananchi wanaojitokeza kulalamika kwa mkuu wa Mkoa Makonda ni wengi sana, kama vile hakukua na serikali hata kidogo. Lakini inafahamika kuwa ni CCM iliyoko madarakani tangu nchi pate uhuru 1961. Je, sawa wananchi kuitenga CCM kwenye shida hizi wanazompelekea Makonda awasaidie kuzitatua leo?
  18. Chaliifrancisco

    Ukweli usemwe hawa Wadudu wa Arusha hata sio wenyewe

    Kuna mada nimeziona nyingi kuhusu wadudu. Ukweli ni kwamba wanaotrend sana kama wadudu kipindi hiki sio wadudu. Kwanza hao ni wakuja tu huyo kenyoyo sio wa Arusha ni wa Mto wa Mbu. Wadudu OG ni wanaitwa Wadudu wa Dampo na wengie waliitwa Watato wa Mbwa ni madogo ambao labda wengine kwa sasa...
  19. chiembe

    Makonda aanza kukamata wakusanya madeni (auctioneers) wanaotumwa na mabenki

    Bila Benki Kuu na Wizara ya Fedha kuongilia kati, naona mgomo mkubwa unanukia Arusha au Nchi Nzima kutoka kwa mawakala wa mabenki na taasisi za fedha wanaokusanya madeni mara baada ya Makonda kuanza kuwakamata baada ya kutimiza majukumu yao. Hii itakuwa na athari kubwa kiuchumi kwa kuwa fedha...
  20. M

    KERO Wezi wamezidi usiku Arusha. Wizi wa vifaa vya magari majumbani mwa watu UMEZIDI. Mamlaka chukueni hatua

    Kumekuwa na wizi unaendelea majumbani mwa watu nyakati za usiku wa manane hapa Arusha , wanaiba haswa side mirrows za Land Cruisers, Exels za Land Cruisers na vifaa vingine vya magari ya Watalii! Vifaa hivyo huuzwa kwa Wadau ambao huviuza tena kwa wahanga!! Vilio ni vingi mno! Sakina, Kwa...
Back
Top Bottom