mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    Kagera: Kisa cha Mtoto mwenye Ualibino kudaiwa kuibiwa, RPC Makungu asema tayari wameanza uchunguzi

    Kufuatia tukio la wa wasiojulikana kummyakua mtoto wa miaka miwili na nusu mwenye ualbino aitwaye Asiimwe Novath, na kutokomea naye, baada ya kumkaba koo mama yake anayefahamika kwa jina la Kebyera Richard, mkazi wa Kijiji cha Bulamula, Kitongoji cha Mbale, Kata na Tarafa ya Kamachumu wilayani...
  2. Mzee Kimamingo

    Mzazi Mwenzangu kamtelekeza mtoto wangu

    Habarini wana Jamvi. Mwaka 2022 nikiwa site za barabara huko Malinyi ndani ndani mkoani morogoro ilitokea Nikazaa na Binti mmoja wa kisukuma (Alikuwa na Mzigo balaa) ili hali nina mke na mtoto ilikuwa ni ajali kazini. Nahudumia mtoto ina Bima hii mbovu mbovu ya NHIF nimemkatia ila katikati apa...
  3. Melanny

    Naomba kujuzwa Bima ya bei nafuu kwa mtoto

    Habari wapendwa naomba orodha ya bima ambazo ni nzuri na nafuu kwa mtoto mwenye umri wa miaka mi tano (5)
  4. M

    Okoa mtoto wa kiume, okoa jamii endelevu

    Tunawashutumu watoto wa kiume waliobadili jinsia na kuwa na tabia za kike(mashoga)lakini tunashindwa kutafiti chanzo cha wao kuwa na hiyo hali. Naamini tukipata muda wa kufanya utafiti asilimia walau 80 ya vijana hawa ni wale waliopelekwa boarding schools utotoni mwao wazazi wakiwa busy na...
  5. K

    Serikali kuweni makini; inakuaje mtoto ana A ya math, B ya Chemistry, B ya biology na B ya Physics halafu mnampangia combination ya Art?!

    Mbaya zaidi dogo hakuomba combination yoyote ya arts katika maombi yake ya uchaguzi (selform)..... machaguo yOte matano ye ni PCM, PCB AU CBG. Kijana amepambana kwenye shule yake ya kata hadi amefikia hapo ili ndoto zitimie halafu mnataka kumsumbua na kumuathiri kisaikolojia kama hivyo. Najua...
  6. OCC Doctors

    Kondo la Nyuma la uzazi kumtangulia mtoto wakati wa ujauzito

    Kondo la uzazi kumtangulia mtoto (Placenta previa) hutokea wakati wa ujauzito, kondo huongezeka ukubwa na kutanuka kadri mfuko wa uzazi unavyotanuka na kukua. Ni miongoni mwa hali za hatari kwa mama mjamzito ambapo kondo la nyuma hujipachika katika sehemu ya chini ya mfuko wa uzazi, kukua na...
  7. H

    SoC04 Tumlinde mtoto wa kiume wa kesho

    No ya watoto wa kiume Tanzania inazidi kupunguza ukiondoa vifo ila hata uzaliwaji wa watoto wa kiume umekuwa mdogo sana na hii kupeleka hata taifa siku za usoni kukosa nguvu kazi ya taifa lenye wanaume shupavu kama wazazi wetu walio tutangulia. Zipo njia kazaa tunaweza kuzitumia kumpa nafasi...
  8. Unforgettable

    Mtoto ni baraka/laana

    MTOTO NI LAANA AU BARAKA UAMUZI NI WAKO! Kuna mwanaume ukibeba mimba yake anaamini kuwa kahakuharibu, kwamba huwezi kupata mwanaume mwingine wakukuoa hivyo hata akufanyie vituko namna gani utavumilia. Anaanza kukuona kama takataka na si Mama. Anakuona kama vile mjinga huwezi kuishi bila yeye...
  9. Mhafidhina07

    Mzazi unajisikiaje unapopata mtoto na uchaguzi wa jina una maana gani kwako?

    Mtoto ni baraka kutoka kwa muumbaji wa hii dunia, ni furaha ya wazazi pamoja jamii kwa ujumla uwepo wa mtoto inaonekana ni nuru na baraka kwa kuwa ni kiliwazo kwa wazazi na inatarajiwa kuongezeka kwa maarifa na nguvu katika familia, jamii au taifa kwa ujumla. Katika jamii za kale kuna tamaduni...
  10. N

    SoC04 Machozi yake nani anayajali?

    Mtoto huyu, aliye katika jamii kwa sasa hajui nani amwamini nani asimwamini,mtoto huyu hana pa kukimbilia, si baba,si mjomba, si kaka, si babu, sio mwalimu, si kiongozi wa dini, sio binamu, mtoto huyu anateseka, mtoto huyu wa tanzania hana pa kushika,hakuna anayemtetea kwa dhati, mtoto wa...
  11. N

    Natafuta pempers ya mtoto mwenye kilo 28

    Habari wanajamvi natafuta pempers ya mtoto mwenye kilo 28. Msaada tafadhali.
  12. M

    Lissu aeleza alivyotembelewa na Abdul mtoto wa Rais

    Akiongea na wanancho kupitia mtandao wa Maria Sarungi Lissu anaeleza namna alivyodai haki zake za utumishi ubungeni akapigwa danadana. Akaeleza namna alivyofuatwa na Abdul mtoto wa Rais ili "kufanya urafiki", na akaeleza kuwa ukidai haki yako kwa kuiita ni haki hawakupi ila wao wanataka uiombe...
  13. JanguKamaJangu

    Watuhumiwa watatu wakamatwa kwa kumteka mtoto Mbeya

    Jeshi la Polisi limesema limefanikiwa kumpata mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 05 mwanafunzi wa Shule ya awali Isaiah Samartan iliyopo jijini Mbeya aliyeripotiwa kupotea mei 15,2024 muda wa saa 11:45 jioni huku Jeshi hilo likiwashikilia watuhumiwa watatu kuhusiana na tukio hilo...
  14. tpaul

    Mama amteka mtoto wake ili apate milion 20 kutoka kwa mumewe

    Dunia imeharibika sana. Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mama mmoja amemteka mtoto wake wa miaka 3 na kumficha mtoto huyo kwa mama yake mzazi (bibi wa mtekwaji) ili kufanikisha mpango ovu wa kuvuna Tsh 20,000,000 kutoka kwa mume wake (baba wa mtekwaji). Kufuatia utekahi huu, mkuu wa mkoa wa...
  15. Kaka yake shetani

    Hivi mtoto wa Jakaya jina limenitoka aliyekuwa mtata sana jina la utani (Majani au Miraji) mara ya mwisho na kumbuka alikuwa USA

    Kabla mzee jakaya ajawa raisi alikuwa na mtoto sema jina limenitoka na kipindi cha watoto pale wilaya kino na maeneo ya makongo watamfahamu huyu. Huyu mwamba miaka ile uwezi kujua kama alikuwa mtoto wa kishua na mpaka mzee wake alivokuwa raisi. miaka 90 kurudi nyuma watoto wa viongozi tulikuwa...
  16. Lupweko

    Ramadhani Bakari Iddi ahukumiwa jela maisha kwa kulawiti mtoto

    Mahakama ya Wilaya ya Muheza Mkoani Tanga imemuhukumu kwenda jela kifungo cha maisha Ramadhani Bakari Iddi (46) mkazi wa Kilapula kata ya Ngomeni Wilayani hapo kwa kosa la kumlawiti mtoto mwenye umri wa miaka 13. Akitoa hukumu hiyo leo hii Hakimu mkazi wa mahakama ya Wilaya hiyo Mh. Geofrey...
  17. Suley2019

    Jela miaka 30 kwa kumbaka mtoto mwenye mtindio wa ubongo

    Mkazi wa Kijiji cha Sanya Hoyee kilichopo Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, Ayubu Salungo (24), amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kumbaka msichana wa miaka 16 mwenye mtindio wa ubongo. Mwendesha Mashtaka, David Chisimba amesema mbele ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama hiyo...
  18. Mjanja M1

    Sababu ya Single mother kutengwa na wanaume

    Habari zenu wakuu, Nimekuwa naona nyuzi nyingi sana zikiwasema wanawake waliozaa nje ya ndoa kuwa hawafai na sio wa kuwaoa abadani. Kiukweli hili suala ni nyeti na linahitaji mjadala mkubwa ila mimi nitaongelea sababu zinazofanya wanaume wenzangu wengi wawe wagumu kuoa au kuanzia mahusiano ya...
Back
Top Bottom