maisha

  1. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Katika maisha yangu Hawa watu sipendi kabisa niwe karibu nao

    Jf salaam. Kwa namna Moja ama nyingine naweza kukukwaza ama ukaingia kwenye Moja ya watu Hawa nitakao wataja hapa. Mimi ni binadamu kama binadamu wengine napenda na kusitopenda pia. Kwahiyo kama ukiangukia kwenye kundi la watu nisiowapenda elewa hivyo tu kuwa sikupendi hakuna mbadala wake...
  2. lugoda12

    Maisha hayana formula

    Form 4 una “A” za kutosha, Form 6 una Div 1 kali (point 3-7), Chuo una first class, distinction. Mpaka unakufa sahau kabisa kumiliki gari kama hii. Utakaza sana ila utaishia kuendesha Passo, Cami, Raum, Rav 4 na IST. 😂 Hizi chuma zinasukumwa na “WAHUNI” tu wanaojua kumani-PULATE mfumo!! ✍🏾 #SOS
  3. kipara kipya

    Lissu ukiendelea kumshambulia mzanzibar kumbuka kushukuru, ni mzanzibar alijitojitolea kukodisha ndege kuokoa maisha yako

    Lissu anapita huku na huko kumkandia raisi Samia kuhusu uzanzibari wake, lissu ni mtu asiye na shukurani wala kumbukumbu kuwa wakati amenyukwa zile njugu na kupata ugumu wa ndege kuruka na hicho chama chake hawapo busy kushughulikia suala lake upande wa pesa. Alijitolea mbunge na kada wa ccm...
  4. L

    SoC04 Maisha Halisi

    ♦️Binadamu ni viumbe wa ajabu sana. Watu wakikuona una uwezo wa kufanya jambo fulani, au pengine wewe ni miongoni mwa watu ambao una ushawishi fulani kwenye Jamii, watataka kukutumia ili kufanikisha mambo yao, na baada ya kufanikisha hayo mambo yao wewe uliekua nyuma ya hayo mafanikio yao kamwe...
  5. Staphylococcus Aureus

    Unawezaje kubadilisha maisha yako Daima??

    Wakuu nina swali?? LEO KATIKA PITA PITA ZANGU Nimekutana mtandao (Whatsapp status) na dogo mmoja tulikutana ofice moja hapa jijini wakat nasajili campuni yetu.Kwakua yeye alikua very educated kwene haya maswala niliomba namba yake awe ananisaidia maana wao ndo walikua wanamalizia usajili namm...
  6. S

    Pesa ya kujikimu kwa wanafunzi ipunguzwe wapewe elfu 5 ikizidi sana elfu 6, pia pesa ya books and stationary iondolewe au nayo ipunguzwe.

    Sioni mantiki ya kuwapa wanachuo elfu 10 ya kujikimu. Tuongee tu uhalisia ,hiyo elfu 10 ni pesa ya mume ,mke na watoto ,sasa huyo mwanafunzi mnayempa elfu 10 kwa siku ya matumizi anakula au anatumia nini haswa ambacho ni tofauti na mtanzania mwengine wa maisha ya wastani? Wanafunzi wakumbuke...
  7. M

    JE UNATUMIA SIMU KUBWA NA HAIKUINGIZII KIPATO CHA KUKIDHI MAHITAJI YAKO?

    Vijana wengi tunachangamoto ya kupata kianziO au mtaji kwajili ya kuanzisha biashara ndogondogo masikani kwetu. Unaweza kutimiza Ndoto zako sasa na kujitengenezea kipato kikubwa kitakachokidhi mahitaji yako bila kujairiwa na mtu yeyote Karibu kwenye site ya mafunzo ya kufanya biashara...
  8. I LOVE YOU DUCE

    Sitaki huruma yenu, lakini Wakuu maisha yananigonga vibaya sana!

    Maisha yamenitenda ubaya sana. Mwezi ya nne sasa nakula mlo mmoja tu Kwa siku(Wakati wa usiku). Ee Mungu unae watajirisha wengine naomba nikumbuke. Mimi bado kijana mdogo mwenye ndoto nyingi sana, Mungu nikumbuke. Nimekonda, hadi mwezangu wanadhani naumwa, na pepesuka hali mbaya sana. Venue...
  9. M

    SoC04 TEHAMA ilivyobadilisha maisha

    Mwanzo wa Safari ya Maisha ya Kijana Mmoja Jina Lake Hamisi Kijiji cha Nyumbani; Hamisi alizaliwa na kukulia katika kijiji kidogo cha Ngongoseke, kilichopo katika Wilaya ya Kondoa, Mkoa wa Dodoma. Kijiji hiki ni mojawapo ya vijiji vingi vya Tanzania vinavyokabiliwa na changamoto za miundombinu...
  10. all about

    Namna ya kupata furaha ya kudumu

    ☺️☺️☺️☺️☺️Let’s go☺️☺️☺️☺️☺️ 1. Kwanza kabisa furaha unaweza ukaitengeneza wew mwenyew, ivo furaha ni chaguo. Unaweza kuchagua kuwa na furaha, hata unapokabiliwa na changamoto.😊 2. Furaha si kuhusu kuwa na kila kitu unachotaka. Ni kuhusu kutaka kile ulicho nacho.☺️ 3. Furaha si kuhusu kuwa...
  11. Manyanza

    Kanuni za maisha ya furaha

    1. Ongea kidogo na usikilize zaidi. Na unapokuwa na jambo la kusema, limaanisha na watu watakuwa na shauku ya kukusikia ukizungumza. 2. Usibishane kamwe na watu kwenye masuala kama vile dini, siasa na mabishano. Unaweza tu kukubaliana nao au kuwapuuza na kuondoka. Ukitaka kubishana nao juu ya...
  12. F

    Nini kinasababisha ndoto za vijana wengi kufa?

    Mimi Nina miaka kadhaa namtumikia Mungu chini ya huduma ya Synagogue of Christ ministry lakini swali langu ni; Nini kinaua ndoto za vijana wengi?
  13. iamwangdamin

    SOMO LA MAISHA

    Nekta ya Maisha Halisi: Muigizaji Vin Diesel aliachana na mpenzi wake kwa miaka 3, lakini walipoachana, hakumtaka aondoke nyumbani kwake, alikuwa na wasiwasi kwamba angeishi katika kiwango cha chini, kwa hivyo alimwachia nyumba ya ndoa na kwenda kupanga. nyumba ndogo karibu naye. Pia alikuwa...
  14. LA7

    maisha yanazidi kuwa magumu kwangu

    nikivuka huu mwezi bila kulala kituo cha polisi sijui tokea mwezi wa nne nimekuwa na mabalaa kwenye kazi yangu ya ufundi yaani hata sijui inatokeaje kuna mteja aliniletea tv nch32 ilikuwa ya kubadilisha taa nikamchaji 60 sasa nikafanya kazi yake tu mapema nikampigia simu aje achukue akaniambia...
  15. Eli Cohen

    Nini haswa ndio hisani ya mwelekeo wa maisha yako?

    Je ni; 1: Juhudi, Maamuzi na Muda 2: Astrology (nyota kutokana na mwezi wa kuzaliwa) 3: Bahati (ngekewa) 4: Numerology (namba kutokana na siku uliozaliwa) 5: Mapenzi na Kibali cha Mungu 6: Baraka au Laana ya vizazi/ukoo wenu. 7: Ukubwa au udogo wa Nyota yako Karibuni
  16. OMOYOGWANE

    Namna mvuto unavyo athiri maisha yetu

    Je, ulishawahi kujiuliza kwanini wahudumu wote wa mlimani city ni pisi kali? Kwanini asilimia kubwa ya wahudumu wa ndege (air hostes) ni pisi kali? Kwanini wahudumu wa Baa asilimia kubwa ni pisi kali? Kuna siri gani haswa? Je, mvuto ni sura (muonekano wa nje)? Mvuto ni kitu gani? Mtu mwenye...
  17. Abubakari Mussa

    Teknolojia na Maisha: Je, tunakwenda wapi?

    Habari Jamii! Nimekuwa nikifikiria sana jinsi teknolojia inavyobadilisha jinsi tunavyoishi na kufanya kazi leo. Kutoka kwa simu zetu za mkononi hadi kwa matumizi ya AI, teknolojia inaingilia kati kila sehemu ya maisha yetu. Nataka kuanzisha mjadala kuhusu athari za mabadiliko haya. Je...
  18. Tlaatlaah

    Wanafunzi wa vyuo vikuu wainishi maisha ya kifahari sana siku hizi kulikoni

    Yaani maisha yao ni mazuri kweli na ya kifahari mno. Nyumba na vyumba wanazoishi mtaani ni za maana sana, na ndani ya nyumba zao kumekamilika kila idara, sijui wanalipwa mshahara huko vyuoni siku hizi. Wanaishi kama wafanyakazi wa mashirika flani hivi ya kimataifa, haonekani akienda chuo...
  19. F

    SoC04 Magonjwa yasiyoambukizwa yatokanayo na mfumo wa maisha janga lililogeuziwa kisogo, iwekwe mikakati imara kupambana nayo

    Magonjwa yasioambukizwa sio jambo geni masikioni mwetu, shuleni tumesoma baadhi ila kwa juu juu sana. Magonjwa yaliyopewa kipaumbele ni magonjwa ya kuambukiza, elimu yake imekua ikitolewa mpaka mtaani. Lakini kadiri ya siku zinavyosonga magonjwa yasioambukiza yamezidi kujinafasi na kua hatari...
  20. Edson Eagle

    Unamkumbuka Ex wako aliyekuwa anasema hawezi kuishi bila wewe? Umejifunza nini sasa akiwa anaishi bila wewe?

    Hivi unamkumbuka vizuri yule ex wako uliyempenda sana nayeye akajifanya anakupenda mpaka akawa anakwambia bila wewe yeye hawezi kuishi huku analia? Ulijifunza nini baada yakuachana naye halafu ukakutana naye anaishi wakati alisema bila wewe hawezi ishi😂
Back
Top Bottom