Leticia shija
New Member
- Aug 16, 2022
- 2
- 1
♦️Binadamu ni viumbe wa ajabu sana. Watu wakikuona una uwezo wa kufanya jambo fulani, au pengine wewe ni miongoni mwa watu ambao una ushawishi fulani kwenye Jamii, watataka kukutumia ili kufanikisha mambo yao, na baada ya kufanikisha hayo mambo yao wewe uliekua nyuma ya hayo mafanikio yao kamwe hawatokutambua wala hawatokupa ile thamani ambayo ulipaswa upewe.
Tujifunze kuheshimu kila mmoja, maisha haya yako na siri kubwa sana. Leo unaweza ukawa sehemu fulani ukamdharau yule alieko chini yako bila kujua hatima ya maisha ya huyo unaemdharau. Mwenyezi Mungu atupe Hekima na Utashi wa kutambua na kuelewa fumbo linaloitwa, "MAISHA".......