KERO Wezi wamezidi usiku Arusha. Wizi wa vifaa vya magari majumbani mwa watu UMEZIDI. Mamlaka chukueni hatua

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Mouse3

JF-Expert Member
Oct 29, 2013
1,432
1,263
Kumekuwa na wizi unaendelea majumbani mwa watu nyakati za usiku wa manane hapa Arusha , wanaiba haswa side mirrows za Land Cruisers, Exels za Land Cruisers na vifaa vingine vya magari ya Watalii!

Vifaa hivyo huuzwa kwa Wadau ambao huviuza tena kwa wahanga!! Vilio ni vingi mno!

Sakina, Kwa Iddi, Ngaramtoni, Unga Ltd, kwa ujumla ni mitaa yote wanapita usiku kama ma inspectors wa magari wengine wakiwa wamelala!

Mkuu wa mkoa sema neno juu ya hili vijana wako hapo Arusha wanalia mnno!
 
Ujinga kama huo ulikuwa unafanyika Dar kati ya miaka ya 80 mpaka 90's , unaibiwa kioo cha gari unakikuta gerezani/kidongo chekundu unauziwa tena kioo chako.
Hii mbaya sana! Nimemuona muhanga mmoja anavyolia na nimtu mzima wa miaka 30 nimejisikia vibaya! Alimalizia akiba yake yote kuandaa gari kwa season mpya alafu wamempukutisha!
Kuna haja ya kuwasajili wauza spea used wote na wawe na ushahidi wa wapi gari limechinjwa na walipolinunua!
 
Mamlaka zichukue hatua stahiki mapema.
Shida ingine huyo dogo aliepelekwa huko A town,Alipokua dar aliamuru bar zifungwe saa 6 usiku matokeo yake mapato yalishuka kwa kasi.

Imagine unafungua bar saa 10 then saa 6 unafunga.Watu walipata hasara na bar zilifilisika.
Wale wauza bar wakaingia kwenye udada poa kwa kasi,akaanza kupambana na madada poa.

Halmashauri zilikosa mapato sababu kila mji ulikua na bar pendwa.
 
Mambo kama haya ni mepesi sana kwa serikali ikiamua. Ni kujua tu wanauza wapi wanaziba hapo kwa mnunuzi kwa adhabu kali ambayo akilia ng'waaaa si mwizi wala wanunuzi wengine wanatubu.
 
Kumekuwa na wizi unaendelea majumbani mwa watu nyakati za usiku wa manane hapa Arusha , wanaiba haswa side mirrows za land cruisers , Exels za land cruisers, na vifaa vingine vya magari ya watalii!

Vifaa hivyo huuzwa kwa wadau ambao huviuza tena kwa wahanga!! Vilio ni vingi mno!

Sakina, Kwa iddi, Ngaramtoni, unga ltd , kwa ujumla ni mitaa yote wanapita usiku kama ma inspectors wa magari wengine wakiwa wamelala!

Mkuu wa mkoa sema neno juu ya hili vijana wako hapo Arusha wanalia mnno!
Mwenye wadudu wake anasemaje?
 
Mwenye mkoa wake amelala usingizi was pono!
 
Wadudu kazini
 
Back
Top Bottom