Ukweli usemwe hawa Wadudu wa Arusha hata sio wenyewe

Chaliifrancisco

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
23,663
70,886
Kuna mada nimeziona nyingi kuhusu wadudu. Ukweli ni kwamba wanaotrend sana kama wadudu kipindi hiki sio wadudu.

Kwanza hao ni wakuja tu huyo kenyoyo sio wa Arusha ni wa Mto wa Mbu.

Wadudu OG ni wanaitwa Wadudu wa Dampo na wengie waliitwa Watato wa Mbwa ni madogo ambao labda wengine kwa sasa wapo kwenye hawa wadudu wanaotrend (wanaotembe na upepo).

Wadudu sisi tumewaona kwenye cyphers miaka karibu kumi iliyopita wakaibuka baadae Wadudu Ngaa (Wadudu wengi) hawa ni wengi ni matoyo (nyie mnaita bodaboda).

Ila wadudu walikuwepo tu. Ulizeni hata akina Motra the Future, Nash MC, Fido Vato, Joe MiC the MC, KC, Chaba, Stopper, Dipper Rato na watu wengine ambao wamekuwa maarufu wanawajua wadudu. Ingia hata youtube seach wadudu cypher au wadudu wa dampo utajua ukweli.

Hao mnaowasikia na kuita kila mtu mdudu ni watembea na upepo tu sio wenyewe.
 
Mwanaume ukijiita mdudu maana yake unafirw🏳️‍🌈 nyie vijana wa sikuhiz wasengerema sana... Ndio maana wanaume rijali wanaojitambua hawapendi kutamka hilo jina... Konda boy anawaingiza chaka na hivi Ar Ina organization nyingi zina support ubwabwa🏳️‍🌈 hadi mshituke mshakufa
 
Kuna mada nimeziona nyingi kuhusu wadudu. Ukweli ni kwamba wanaotrend sana kama wadudu kipindi hiki sio wadudu.

Kwanza hao ni wakuja tu huyo kenyoyo sio wa Arusha ni wa Mto wa Mbu.

Wadudu OG ni wanaitwa Wadudu wa Dampo na wengie waliitwa Watato wa Mbwa ni madogo ambao labda wengine kwa sasa wapo kwenye hawa wadudu wanaotrend (wanaotembe na upepo).

Wadudu sisi tumewaona kwenye cyphers miaka karibu kumi iliyopita wakaibuka baadae Wadudu Ngaa (Wadudu wengi) hawa ni wengi ni matoyo (nyie mnaita bodaboda).

Ila wadudu walikuwepo tu. Ulizeni hata akina Motra the Future, Nash MC, Fido Vato, Joe MiC the MC, KC, Chaba, Stopper, Dipper Rato na watu wengine ambao wamekuwa maarufu wanawajua wadudu. Ingia hata youtube seach wadudu cypher au wadudu wa dampo utajua ukweli.

Hao mnaowasikia na kuita kila mtu mdudu ni watembea na upepo tu sio wenyewe.
Hayo maujinga mpeleke BASHITE chama cha wafanyakazi na maccm
 
Kufa kufaana acha watembee na upepo kujitangaza kwa maslai yao. Wenye brand yao wametulia kama hawapo ili kuwapoteza maboya
 
Kuna mada nimeziona nyingi kuhusu wadudu. Ukweli ni kwamba wanaotrend sana kama wadudu kipindi hiki sio wadudu.

Kwanza hao ni wakuja tu huyo kenyoyo sio wa Arusha ni wa Mto wa Mbu.

Wadudu OG ni wanaitwa Wadudu wa Dampo na wengie waliitwa Watato wa Mbwa ni madogo ambao labda wengine kwa sasa wapo kwenye hawa wadudu wanaotrend (wanaotembe na upepo).

Wadudu sisi tumewaona kwenye cyphers miaka karibu kumi iliyopita wakaibuka baadae Wadudu Ngaa (Wadudu wengi) hawa ni wengi ni matoyo (nyie mnaita bodaboda).

Ila wadudu walikuwepo tu. Ulizeni hata akina Motra the Future, Nash MC, Fido Vato, Joe MiC the MC, KC, Chaba, Stopper, Dipper Rato na watu wengine ambao wamekuwa maarufu wanawajua wadudu. Ingia hata youtube seach wadudu cypher au wadudu wa dampo utajua ukweli.

Hao mnaowasikia na kuita kila mtu mdudu ni watembea na upepo tu sio wenyewe.
Neno 'wadudu' ukiachana na tafsiri ya kawaida viumbe wanyama wadogo, maana yake nyingine kwenye tasnia ya 'ukachelo' ni 'shushushu,' au kwa lugha nyingine wanajulikana kama 'nyoka,' ambao mara nyingi wanahusika ktk operesheni haramu za udhalimu eg. kuteka watu, kumwagia watu tindikali, n.k. Sasa sijui kama hao 'wadudu' wa huko Arusha ni jamii ya watu hao ama la!
 
Back
Top Bottom