kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. covid 19

    Usione nakubembeleza sana ukahisi sina kazi za kufanya, ni mapenzi tu kuna siku nitachoka kuyakumbatia madhaifu yako

    Hii ndio kauli niliyoambiwa na wife wangu kipindi hiko nipo moto balaa michepuko kama yotesieli nawaza misabwana tu. Hii kauli ilibadili maisha yangu sana. Nikawa mpolee na familia.. Wewe uliambiwa kauli gani na mwenza wako ukabadili maisha yako ya mahusiana?
  2. T

    Msaada Kwa waliowahi kufanya interview utimishi wa uma Kwa upande wa clinical officers

    Nisaidieni Kwa anaefahamu kwenye ritten wanauliza maswali yapi je ni essay au short answers na oral je wanauliza maswali yapi mwenye uzoefu nisaidieni
  3. M

    SoC04 Kwanini turuhusu Waarabu kufanya umachinga?

    Kwa miaka ya hivi karibuni, tumeshuhudia wimbi kubwa sana la wageni wa kiarabu, kutokea nchini Misri wakizungusha Vyombo/bidhaa zao, kwenye Ofisi,shule,hospital na hata majumbani, wakiuza na kukopesha kama Wamachinga. Hivi ni kweli kuwa Sera zetu za uwekezaji zinaruhusu hili? Maana...
  4. N

    Kwa sasa sipo tayari kuolewa, nahitaji kufanya mambo yangu

    Ushawahi kusikia kauli kama hii kutoka kwa mwanamke? Ukweli ni kwamba ambae anakua tayari kwa kuoa ni mwanaume ambae ataenda kubeba jukumu la kutoa security katika familia, kwa maana iyo mwanaume anatakiwa kusimama kiuchumi kwanza ndipo awe tayari kwa kuoa. Kwa mwanamke atapofika umri wa kuwa...
  5. Billie

    Natafuta mtu mwenye asili ya Kihindi kumuajiri au kufanya naye biashara

    Jaman mimi ni muajiriwa nafasi fulani ya juu kidogo hapa nchini. Nimeweza kupata mil 70 ambayo ni matokeo ya SAVING ya muda mrefu na hela zangu fulani nilikuwa nazidai kulipwa. Mpango nilionao ni kuanzisha biashara ya spears za pikipiki na tri cycles (guta au Toyo). Changamoto niliyonayo ni...
  6. Mkalukungone mwamba

    Siku za weekend unapenda kufanya nini zaidi?

    Watu wengi siku za weekend huwa wanafanya shughuli tofauti wakiwa home au nje ya home. Vipi mdau wewe unapenda kufanya nini zaidi? Toa maoni yako
  7. hp4510

    Msaada wa Kufanya configurations ya Modem

    Nina Mifi router ya tigo, inaitwa HOME INTERNET Sasa nataka kuconnect na laptop yangu Nifanye configuration Ili niweze kutumia WIFi Msaada Kwa mtu ambae ana router kama hii tafadhari.
  8. BigTall

    Wanafunzi wa UDSM, tumezuiliwa kufanya mitihani kwa kushindwa kukamilisha Ada

    Lecturer anayefundisha kozi ya Research Methodologies akifukuza Wanafunzi ambao hawajakamilisha Ada. Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) tumezuiwa kufanya mitihani ya Test One kwa kukosa vitambulisho vilivyo hai (Valid ID) kwa sababu ya kushindwa kumalizia Ada ya Semister ya Pili...
  9. L

    Nape Nnauye: Hatukuwakatalia Starlink kufanya kazi Nchini, walikwama wenyewe

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Nape Nnauye waziri wa Habari ,Mawasiliano na teknolojia ya habari amesema ya kuwa serikali haikuwakatalia Starlink kufanya kazi Nchini bali walikwama wenyewe kutimiza mashariti yaliyohitajika kukamilishwanl ili kupewa lesseni. Kauli hii imekuja kutokana na...
  10. Foffana

    UDSM wanafunzi washindwa kufanya mitihani ya majaribio kisa ADA

    SAKATA LA VALID ID Zaidi* ya robo tatu ya Wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam wameshindwa kufanya mitihani yao ya majaribio baada ya kukiuka kanuni na taratibu za mtihani za chuo kikuu cha Dar es salaam zinazowataka kuwa na kitambulisho halisi cha chuo ndani ya muhula au mwaka husika (...
  11. Dx and Rx

    Je, ni kweli Ada ya kumuona Daktari (Consultation Fees) inavutia Daktari kwenda kufanya kazi katika Hospitali fulani katika eneo fulani?

    Katika Hospital za Rufaa za Mikoa na Hospital za Ngazi ya Taifa na Kanda, Madaktari wana maslahi tofauti kimishahara, Daktari wa Hospital ya Ngazi ya Taifa na Kanda anamzidi mshahara Daktari wa Hospital ya Rufaa ya Mkoa wakiwa na elimu sawa. Kuwaona hawa madaktari wakati wa kuanza matibabu...
  12. BARD AI

    Israel yafungia Matangazo ya Al Jazeera kwa madai ya kutishia usalama wa nchi

    Baraza la mawaziri la waziri mkuu Benjamin Netanyahu limeunga mkono kuzimwa operesheni za Al Jazeera nchini Israel kwa muda wote ambao vita ya Gaza itakuwa ikiendelea, kwa misingi kwamba mtandao huo wa televisheni kutoka Qatar unatishia usalama wa taifa. "Chaneli ya uchochezi ya Al Jazeera...
  13. G

    Vijana mnaotafutana kwa kukaribiana umri mnakosea sana, inachangia sana migogoro. Sijutii kufanya maamuzi ya kuoa kwa gap la miaka 10

    Binafsi nilioa nikiwa na 28 mke wangu muda huo akiwa na 18, Kwa sasa naenda 36 mwenzangu yupo 26 kumekuwa na pattern kubwa ya vijana kutafutana waoane kwa kigezo cha kukaribiana ama kulingana umri. Sababu kuu huwa ni "nioe binti mdogo tutaongea nae nini" Niwajuze tu kwamba kwenye ndoa ni...
  14. K

    Hivi inakuaje mtu kufanya hivi?

    Leo nilikuwa nimetoka ofisini Sasa kwa bahati mbaya kifurushi changu Cha mwezi kikawa kime niishia Na Kibaya zaidi ninapo kwenda siwezi kwenda bila kuwa na mda wa maongezi Nikaona ni vema nichukue vocha kwanza kabla Sija Anza safari yangu ya kwenda huko ninako taka kwenda Eneo letu la kazi...
  15. kipara kipya

    Tetesi: Lissu kufanya mapinduzi CHADEMA kuwavuta Mwabukusi, Dkt Slaa na Mpina

    Pafukapo moshi ujue kuna moto, Za chini ya kapeti Makamu Mwenyekiti wa Chadema yupo, kwenye harakati za chini kwa chini kutaka kumpindua mwenyekiti na kukiongoza chama kama mwenyekiti. Kikao chao cha siri inasemakana ameona Mbowe ni kikwazo chama kukamata dola hata kama sio kukamata ila chama...
  16. totoadela

    Vifo vya watoto mashuleni vinavyotokana na kufanya usafi kwenye ghala za kuhifadhia mahindi

    Habari ndugu zanguni, Naomba tushauriane na tutoe ya moyoni kuhusu shule zinazowaingiza watoto kufanya usafi kwenye maghala ya kuhifadhi mahindi hizi ishu naona isipoziwa sauti itakuwa sugu kwa sasa. Jana nimeona watoto Watatu wa Form 3 wamefariki Dunia baada ya mwalimu kuwachukua watoto sita...
  17. M

    Je, nawezaje kufanya mitihani ya science ya form IV & VI kama PC Candidate?

    Habari wana taaluma.Mimi nilihitimu kidato cha 4 mwaka 2010 masomo ya biashara. Masomo yote nilipata D isipokuwa Book-keeping 'A' , Mathematics 'B' na History 'C'. Niliendelea advance masomo ya biashara pia (ECA) na kuhitimu mwaka 2013. Matokeo hayakuwa mazuri, sababu zilikuwa nyingi lakini...
  18. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa Azitaka TANROADS na TARURA Kushirikiana Kufanya Tathimini ya Miundombinu Iliyoathiriwa na Mvua

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi kushirikiana na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - TAMISEMI kuunda timu za wataalam zitakazoshirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kufanya tathimini ya mtandao wa barabara pamoja na madaraja yaliyopata...
  19. R

    Afrika na Uafrika: Nini kiliwafikisha hapa Liberia kufanya unyama huu 1980

    Cabinet ministers lined up for execution after a coup d'état in Liberia, 1980
  20. N

    Chapakazi Dodoma: Je, unashida gani ndani ya jiji la Dodoma? kutokana na ubize wako huwezi kufanya ? haya kijana wako nipo hapa nitume nikutumikie

    Habari za kazi wakuu, poleni na majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku, Mimi ni kijana wa kiume mwaminifu na chapakazi sitaki nizungumze sana ila ufanyaji wangu wa kazi utajieleza. lengo la kuandika uzi huu maalumu ni kwamba kwa unyenyekevu mkubwa kabisa napenda kukutaarifu boss wangu natuma...
Back
Top Bottom