kijana

Michael Christopher Kijana Wamalwa (25 November 1944 – 23 August 2003) was a Kenyan politician and, at the time of his death, served as the eighth Vice-President of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. Dr Matola PhD

    Mzazi kama una kijana South Africa hasomeki, Tafadhali mama mkanye mwanao

    Kuna wimbi la vijana wa hovyo panya road typical hatimaye wametinga kwa Kaburu. Kuna wimbi la vijana panya road type sasa wamevuka mipaka wameanza kuwakaba mpaka Watanzania wenzao na wengine wakishavuta bangi zao hujiona ni Wamarekani na kujipost wakiwa na silaha za moto. Sasa azimio ni moja...
  2. M

    Kimei alaani mauaji ya kijana Octavian, ataka haki itendeke na kuwatuliza wananchi

    TAARIFA YA KIFO CHA NDG OCTAVIAN HUBERT TEMBA Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mhe Dkt Charles Stephen Kimei amelaani vikali mauaji ya Ndg Octavian Hubert Temba miaka 25-30 toka kijiji cha Komela, kitongoji cha Komela Kaskazini kata ya Marangu Magharibi ambaye anashukiwa kuuwawa na askari wa hifadhi ya...
  3. HONEST HATIBU

    Kijana wetu anataka ushauri wa mahusiano

    KIJANA WETU ANATAKA USHAURI Read Carefully 🦠Mimi ni kijana nina miaka 37, nimeoa ndoa yangu ina miaka 12 sasa, kuna kipindi nilipata mwanamke mwingine, niliondoka na kwenda kuishi naye, kweli nilimuacha mke wangu na watoto wawili na sikuwa nikihudumia kwakua kipato kilikua cha shida, lakini...
  4. Mkwawe

    Una ushauri gani kwa kijana anayetafuta mafanikio ya kiuchumi na ya mahusiano?

    Una ushauri gani kwa kijana anayetafuta mafanikio ya kiuchumi na ya mahusiano?
  5. M

    Tazama kijana anayeweza kuongea kama Rais Samia

    Kijana ambaye anauwezo wa kuongea kama mama Samia akionesha kipaji chake katoka moja ya kikao cha vijana kilichokutanishwa na rebby foundation mnamo Aprili.
  6. Kiboko ya Jiwe

    Kijana anayejiunga UVCCM hana ajira, pia hana mtaji wa maana, ukiwaondoa watoto wa viongozi ambao wanataka kurithi viti vya wazazi wao

    Tangu UVCCM hii ya 2000's ipambe moto kudahili vijana mashuleni, vyuoni na mitaani hakuna kijana mwenye ajira ya uhakika (permanent & attractive salary) amejiunga na UVCCM na kujishughulisha nayo. Vijana waliosota na ukosefu wa ajira uliosababishwa na CCM ndio hukimbilia UVCCM wakisubiria...
  7. Mowwo

    Tumegundua ushirikina/nguvu za giza unaofanywa na kijana kwenye biashara

    Wasalaam Wiki hii mwanzoni baada ya kutoka kwenye mizunguko ya kusaka tonge, niliongea na ndugu yangu mfanyabiashara nikaomba wakati anafunga hesabu nifike kujifunza mambo mawili matatu. Ilikuwa mida ya saa 2 usiku Baada ya kufika ilipo biashara tulisalimiana vizuri tu na kijana anaepiga kazi...
  8. F

    Hii video ina-trend ya namna kijana Ali alivyonyanyaswa na kubaguliwa Zanzibar

    Nimeiona hii video ya kijana Ali mwenye ulemavu na tatizo la kifafa. Nimesikitika sana alichofanyiwa na wananchi wenzetu wa Zanzibar. Huyu kijana kwa wanaomjua wanasema amekulia Sinza na ni mlemavu kweli na amekua akiishi kwa kupata vibarua na kuomba msaada wa chakula na hela. Udhalilishaji...
  9. BabaMorgan

    Tatizo la kusahau kwa kijana

    Nini sababu na tiba ya kusahau hususani kwa kijana? Wakati nasoma nilikuwa bingwa wa kumeza hadi wahuni wangu wakawa wanastaajabu naweza vipi yaani definition hata iwe ni kurasa nzima basi nitaimeza yote bila ya kuacha neno hata moja. Recently nimekuwa mtu wa kusahau ndani ya huu mwaka...
  10. N

    Chapakazi Dodoma: Je, unashida gani ndani ya jiji la Dodoma? kutokana na ubize wako huwezi kufanya ? haya kijana wako nipo hapa nitume nikutumikie

    Habari za kazi wakuu, poleni na majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku, Mimi ni kijana wa kiume mwaminifu na chapakazi sitaki nizungumze sana ila ufanyaji wangu wa kazi utajieleza. lengo la kuandika uzi huu maalumu ni kwamba kwa unyenyekevu mkubwa kabisa napenda kukutaarifu boss wangu natuma...
  11. OMOYOGWANE

    Ewe kijana kabla haujafungua biashara yako katafute kwanza kinasa wateja. Utanishukuru baadaye

    Mimi sio mchoyo nawasanua vijana. Haijarishi unaanzisha genge, duka la mangi, banda la chipsi, kuuza mitumba, hata iwe kuuza pipi n.k hakikisha unatafuta kwanza kinasa wateja. Mambo ya customer care, location, research, demand and suply watakazokuambia humu hazina nguvu huku mtaani ziache...
  12. Gulio Tanzania

    Kijana acha kunywa pombe za bei rahisi

    Kutokana na hali ya uchumi kuwa mgumu vijana wengi wameangukia kwenye unywaji wa pombe za bei rahisi zinazolewesha haraka kama sungura, master, jogoo nk. Ukiwa mtumiaji wa hizi pombe huwezi kufanikiwa kimaisha, hizi pombe zinapunguza uwezo wa kufikiria Kuna wengine wanakunywa hizi pombe za...
  13. Carlos The Jackal

    Ibrahim Traore, Rais kijana, alovuviwa Roho ya Hayati Magufuli, anayepaswa kuigwa na Vijana wa Tanzania. Burkina Faso sasa inachanua

    Unaweza kudhani ni maajabu, ila huo ndio ukweli, Kijana alozaliwa 14/3/1988, aloamua kuchukua Nchi Kwa njia ya mapinduzi mnamo 30/9/2022 .. ni Mwaka mmoja na miezi 6 tuu ila Mzalendo huyu Kijana kaamua kuanzisha safari aloiachia HAYATI Thomasi Sankara. Kwa watoto wa 2000, Thomas Sankara ni...
  14. Leak

    Nimeona picha za wahudumu wa treni ya kisasa ya SGR ambayo inafanyiwa majaribio leo kutoka Dar -Dodoma

    Nimeona picha za wahudumu wa treni ya kisasa ya SGR ambayo inafanyiwa majaribio leo kutoka Dar -Dodoma! Na fikira zikanijia kuwa kuna uwezekano mkubwa wana Jf nao wamenufaika lakini nimefanikiwa kumjua mwana Jf mmoja tuu hapo ! Vijana hizi fursa hamkuziona? Au hamkutangaziwa?
  15. J

    Miaka 25 ya huduma ya mtoto na kijana

    MAADHIMISHO. Ni miaka 25 sasa tangu kuanza kwa huduma ya mtoto na kijana (COMPASSION) KAULI MBIU "Malezi bora kwa ulinzi wa mtoto". Huduma hii inamwezesha mtoto kusoma katika ngazi zote na kuwakomboa katika hali ya umasikikini kupitia Shirika la Compassion International. Vijana wengi wasomi...
  16. R

    Upinzani hasa CHADEMA toeni neno kuhusiana na matamshi ya huyu kijana wa UVCCM Bokoba, haya siyo ya kudharau

    Amesema watawapoteza wanaomtukana Samia. Kutukana huwezi kujua yeye anamaanisha nini! Hata kumkosoa Samia kwa akili za watu kama hawa na matamshi kama haya, watasema ni matusi. Na as long as wana vyombo vya ukandamizaji msidharau kauli hizi.
  17. kelphin

    Kijana mwenzangu una nafasi ya kuwa na kila unachohitaji

    Kila kitu kizuri kinachoonekana mbele ya macho yako leo.,elewa ya kua ni mipango ya watu nyuma. Maisha ni kama story yana kila hatua na matukio mbalimbali. Yakuhuzunisha, kufurahisha na hata kuvunja moyo ila isiwe kama sababu kwako au pengine tunatofautiana mpango wa fedha kutokana na familia...
  18. C

    Kazi ya Kuuza Movie/Series Kwa Kijana Mwenye Uzoefu nayo

    Ofisi inajihusisha na ujasiriamali wa kuuza Series/movies kwa watu majumbani. Anahitajika kijana mwenye uzoefu na kazi ambae ameshawahi kuifanya na mwenye uzoefu nayo. Lakini kwa ambae anajua computer vizuri kutumia na Kuitengeneza matatizo madogo madogo pia unaweza kufaa. Kazi ni Kuingiza...
  19. BabaMorgan

    Kama kijana nawezaje kuishi kwenye misingi ya dini(mlokole)

    Kuna wakati unafika unatamani kuishi katika misingi ya imani lakini ujana ni kama unakwamisha. Changomoto kubwa ni vishawishi vya uzinzi na ulevi nawazaga sana vijana waliokoka wanawezaje kushindana na dhambi ya uzinzi na ulevi tena katika mji ambao wanawake wanavaa vimini na suruali za kubana...
Back
Top Bottom