Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 541
- 1,197
Leo tarehe 17/03 ni siku ambayo hayati JPM alitutoka 2021.
Katika pitapita leo nimekutana na kijana mmoja kuniambia sisi ambao hatuna akili na sio wazalendo ambao wengi wetu tulikosa virutubisho utotoni na kupata udumavu hatuoni mchango wa hayati Magufuli.
Hiyo inapelekea kumsema vibaya na kutoona mazuri yake kipindi cha uhai wake lakini wao wenye akili na uzalendo wanamkumbuka sana.
Lakini pia wengi wetu hatuna uzalendo.
Hivyo tunampomkumbuka hayati Magufuli tuyatafakari haya pia.