morogoro

  1. Stephano Mgendanyi

    MBUNGE INNOCENT KALOGERIS, Mbunge wa Jimbo la Morogoro Vijijini Akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Maji kwa Mwaka Mpya wa Fedha 2024-2025 Bungen

    MBUNGE INNOCENT KALOGERIS, Mbunge wa Jimbo la Morogoro Vijijini Akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Maji kwa Mwaka Mpya wa Fedha 2024-2025 Bungeni Jijini Dodoma. "Nampongeza Mheshimiwa Rais kwa kazi kubwa anayoifanya kwa kumtua Mama Ndoo kichwani, hii ilikuwa ni ajenda yake alipokuwa...
  2. mirindimo

    Traffic police morogoro road tunaomba maroli yaruhusiwe usiku

    SIku za karibuni maroli yamekua kero sana njia ya Morogoro na traffic police wao wame focus zaidi kukamata magari yenye faini badala kuongoza magari ili tuwahi kwenye shughuli za kiuchumi. Foleni imekua kubwa sana kupitiliza kawaida na hakuna juhudi zozote zinafanywa na police ili kurekebisha...
  3. Kiboko ya Jiwe

    Bunge la JMT halina manufaa yoyote kwa Watanzania. Lifutwe, ofisi ya DED ichukue majukumu ya wabunge

    Katika vitu ambavyo vinameza fedha za JMT ni bunge. Kuhudumia wabunge zaidi ya 300 pamoja na ofisi za majimbo yao ni mzigo mkubwa kwa wananchi wenye uchumi wa kusadikika. Hawa wamachinga na bodaboda wanaoahindia mihogo na wali wa buku ndio wahanga. Majukumu ya wabunge wapewe wakurugenzi wa...
  4. W

    KERO Morogoro: Wakazi wa Maeneo ya Manyuki mwisho tunateseka kwa Shida ya Maji, yanatoka mara 1 tu kwa Wiki.

    Wana morogoro maeneo ya manyuki mwisho tuna teseka na Maji ya Serikari Maana kuna mambomba lakin maji yana toka jumanne tu kila Week Licha ya kutoka mara 1 bado yanakuwa hayana nguvu kiasi kwamba yanashindwa kupanda kwenye Matenki na kutulazimisha kubebelea Ndoo na Madumu Sasa hii imekuwa...
  5. Omuzaile

    Barabara ya maili moja shule kwenda sheli ya zamani( Morogoro road) -KIBAHA

    Habari, Mwezi uliopita mlilipoti kuhusu kuharibika kwa barabara hapa maili moja- kibaha, barabara ya kutoka mtaa wa maili moja shule kwenda kutokea Morogoro road mtaa wa sheli ya zamani,( Diwani-Ramadhani Lutambi -CCM, MB- Sylvester Koka - CCM. Yaani Hadi Leo hii 6 May 2024, hakuna chochote...
  6. JOHNGERVAS

    Morogoro Das awataka vijana kuacha kujipendekeza kwa Viongozi

    Katibu Tawala wa Wilaya ya Mvomero Mkoa wa Morogoro @saidnguya amekemea tabia iliyoanza kujengeka miongoni mwa vijana nchini ya kusifiana sifa za uongo wakiwa ana kwa ana ama kusemana vibaya. Ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na vijana wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Chuo Kikuu...
  7. Lomaa lolusa

    Mashamba kuuzwa morogoro

    Wana jamii forum Kuna watu wanauza mashamba morogoro eneo linaitwa bwanani karibu na bar inaitwa MV mapenzi.. Ukifika mkundi mwisho unaelekea mashariki. Je maeneo hayo ni salama kwa kununua. Au mwenye mawasiliano na mwenyeji wa maeneo hayo naomba anisaidie kunijulisha
  8. Lomaa lolusa

    Shamba la kununua morogoro

    Namtafuta shamba la kununua morogoro
  9. Replica

    Nashera Hotel yawekwa sokoni, nini kimeikumba?

    Moja ya hoteli ambayo ni alama katika mji kasoro bahari wa Morogoro ambayo ilianza kazi tangu mwaka 2007 imeingizwa sokoni. Wenye nia ya kununua wanatakiwa kuwasilisha pendekezo lao kabla ya May 27. Wataalamu wa sekta, Nashera imekumbwa na nini au ameamua kuuza akaangalie usawa mwingine? Pia...
  10. Superbug

    Barabara ya Bigwa kisaki serikali mnawachukuliaje hawa waluguru wa Morogoro kusini? Babu tale na kalogeresi waachieni majimbo chadema nyie hamtoshi

    Hii barabara ya bigwa kisaki serikali inaonyesha dharau ya wazi kwa watu WA huku imagine magari yanasafiri kilomita 80 moro mvuha kwa siku tatu. Halafu bila aibu ccm watakuja kuomba tena kura.
  11. Replica

    Morogoro: Afungwa miaka 30 kwa kumfanyia ukatili mtoto wake wa kufikia, bado anakabiliwa na kesi ya kumuua mama yao(mkewe)

    Mkazi wa wilaya ya Kilosa, Mohammed Salange amehukumiwa kifungo cha miaka 30 gerezani baada kukutwa na hatia ya kumfanyia ukatili mtoto wake wa kufikia wa kiume mwenye umri wa miaka 9. Makosa hayo sita yanajumuisha kumng'oa jino La mbele, kumdhuru sehemu mbalimbali za siri, kumwagia maji ya moto...
  12. Lomaa lolusa

    Naweza kupata shamba la kununua morogoro kwa installment!?

    Mm ninakipato Cha kawaida nataka nipate shamba ambalo ntalifyeka lakini nitalipa kwa installment
  13. Stephano Mgendanyi

    TANROADS Morogoro Yaendelea Kuziba Mashimo Katika Barabara ya Morogoro - Iringa

    Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Morogoro wameendelea kuchukua hatua za haraka kuziba mashimo yaliyotokeza katika barabara kuu ya Morogoro – Iringa hasa eneo la hifadhi ya Taifa Mikumi kutokana na mvua kubwa zinazonyesha kwa wiki ya pili mfululizo Mkoani humo. Hayo yameelezwa na...
  14. Slim5

    Foleni Maili 35 barabara ya Morogoro

    Habari wananzengo! Kama bado hujafika Mlandizi kutokea Chalinze, Kuna kamba 1 matata kuanzia kwa kiipofu kuelekea Misugusugu mpk Kibaha. Mm binafsi nimekwama hapa MAILIN35, Gari hazitembei Dk 30 sasa. Anaweza kuchepuka kuhamia Barabara ya zmn ni heri kwake!
  15. Roving Journalist

    Jenista Mhagama aongoza Kamati ya Kitaifa ya Maafa kutembelea maeneo yenye maafa ya mafuriko Mlimba, Kilombero Mkoani Morogoro

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSIANA NA MAFURIKO YA MLIMBA MKOANI MOROGORO Mobhare Matinyi, Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali. Mlimba, Morogoro, Alhamisi, Aprili 11, 2024: Saa 10:30 jioni. 1. Leo Alhamisi ya tarehe 11 Aprili, 2024, Kamati ya Kitaifa ya...
  16. Tabutupu

    Will Tanzania's New Region Bear the Name of the Ulanga River? Splitting Morogoro Region

    According to certain sources within government officials, the Tanzanian government is on the verge of unveiling a new region set to emerge from the Morogoro region. While the name of this forthcoming region is still up for discussion, there's a strong indication that it will be named after the...
  17. GENTAMYCINE

    Mashabiki wa Yanga SC mlioko Mkoani Morogoro semeni leo mtakuwa Ukumbi gani ili GENTAMYCINE nije kuwatizama Wanaojua Yanga SC leo Usiku

    Naenda Kutambika kwa Babu yangu Mkoani Morogoro na kula Pasaka ila napenda Leo nijumuike na wana Yanga SC kuitizama ikicheza na Mamelodi Sundowns FC. Wa Morogoro semeni mtakuwa Ukumbi gani ili nije na hakikisheni huo Ukumbi nje uwe na Mademu na Gesti ziwe Jirani ili nikimaliza Kushangiiia...
  18. kali linux

    Kwanini ajali ya mabasi 2 na lori la mafuta kuungua moto iliotokea Mlandizi haiongelewi? Wembamba wa Morogoro Road ni janga la taifa

    Kuna ajali mbaya sana imetokea Mlandizi. Bus moja limegonga lori la mafuta na kusababisha moto, mwenye taarifa zaidi atujuze tafadhali. Lakini hii Morogoro Road kwa nini serikali haijali? Barabara nyembamba saaana hasa kipande cha Mlandizi to Morogoro, barabara kila siku ina ajali na ndio lango...
  19. T

    Manispaa ya Morogoro huu ni wizi

    Moja Kwa moja kwenye Mada bila kuchoshana Wala kupotezeana muda, in short Manispaa ya Morogoro mnatuibia Kwa nguvu abiria tunaotumia stand kuu ya mabasi Msamvu. Kitengo Cha ukusanyaji Ushuru stand ya mabasi Msamvu mnatumia mabavu kulazimisha Kila abiria anaetoka NDANI ya stand Ambae kwenye...
  20. Faana

    Morogoro: Tetemeko la Ardhi limepita muda huu 18.03.2024 saa 16:16

    Hali ikoje huko uliko? Hapa Moro limepita tetemeko la ardhi na dakika kadhaa kabla yake wamesikika kuku, mbwa wakitoa milio iliyoashiria kuwepo kitu kisicho cha kawaida.
Back
Top Bottom