Kiboko ya Jiwe
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 12,837
- 36,581
Katika vitu ambavyo vinameza fedha za JMT ni bunge. Kuhudumia wabunge zaidi ya 300 pamoja na ofisi za majimbo yao ni mzigo mkubwa kwa wananchi wenye uchumi wa kusadikika.
Hawa wamachinga na bodaboda wanaoahindia mihogo na wali wa buku ndio wahanga.
Majukumu ya wabunge wapewe wakurugenzi wa Halmashauri za wilaya.
Eti mbunge ili aanze kutoa hoja anamsifu kwanza Rais ndo anaanza kutoa hoja 😭😭😭.