morogoro road

Morogoro is a city, with a population of 305,840 (2012 census), in the eastern part of Tanzania, 196 kilometres (122 mi) west of Dar es Salaam, the country's largest city and commercial centre, and 260 kilometres (160 mi) east of Dodoma, the country's capital city. Morogoro is the capital of the Morogoro Region. It is also known informally as "Mji kasoro bahari," which translates as "city short of an ocean/port."Morogoro lies at the base of the Uluguru Mountains and is a centre of agriculture in the region. The Sokoine University of Agriculture is based in the city. A number of missions are also located in the city, providing schools and hospitals. Morogoro is home to the Amani Centre, which has helped over 3,400 disabled people in the surrounding villages.

View More On Wikipedia.org
  1. mirindimo

    Traffic police morogoro road tunaomba maroli yaruhusiwe usiku

    SIku za karibuni maroli yamekua kero sana njia ya Morogoro na traffic police wao wame focus zaidi kukamata magari yenye faini badala kuongoza magari ili tuwahi kwenye shughuli za kiuchumi. Foleni imekua kubwa sana kupitiliza kawaida na hakuna juhudi zozote zinafanywa na police ili kurekebisha...
  2. Omuzaile

    Barabara ya maili moja shule kwenda sheli ya zamani( Morogoro road) -KIBAHA

    Habari, Mwezi uliopita mlilipoti kuhusu kuharibika kwa barabara hapa maili moja- kibaha, barabara ya kutoka mtaa wa maili moja shule kwenda kutokea Morogoro road mtaa wa sheli ya zamani,( Diwani-Ramadhani Lutambi -CCM, MB- Sylvester Koka - CCM. Yaani Hadi Leo hii 6 May 2024, hakuna chochote...
  3. kali linux

    Kwanini ajali ya mabasi 2 na lori la mafuta kuungua moto iliotokea Mlandizi haiongelewi? Wembamba wa Morogoro Road ni janga la taifa

    Kuna ajali mbaya sana imetokea Mlandizi. Bus moja limegonga lori la mafuta na kusababisha moto, mwenye taarifa zaidi atujuze tafadhali. Lakini hii Morogoro Road kwa nini serikali haijali? Barabara nyembamba saaana hasa kipande cha Mlandizi to Morogoro, barabara kila siku ina ajali na ndio lango...
  4. Mr Dudumizi

    Vijumba vilivyopo pembeni ya barabara ya Morogoro Road vinatia aibu na fedheha kwa Watanzania

    Pamoja na kujitahidi kuwa na barabara za kisasa ambazo zinachangia kupendezesha mandhari ya nchi, lkn muonekano huu wa vijumba vilivyochoka pembezoni mwa barabara vinafanya upendezaji huo uwe ni sawa na mtu alievaa nguo nzuri, lkn chini amevaa viatu vichafu na vya kutoboka. Kwa wenzetu mfano...
  5. B

    DOKEZO DAR: Vituo vya daladala Morogoro Road hakuna sehemu ya abiria kupumzikia

    NIMEKUWA nikiliona hili jambo kwa muda mrefu, nikaamua leo niliweke hapa pengine na wewe uliwahi kuliona lakini kama ukaona freshi tu. Ukipita Morogoro Road, njia ambayo mabasi ya mwendokasi ndiyo yalianza kufanya kazi zake hapa Dar es Salaam, utagundua kwamba vituo vya daladala za kawaida...
  6. Z

    Tahadhari: Morogoro Road eneo la Mlandizi hakupitiki kutokana na ajali

    Kuna bonge la foleni morogoro road,ajali mbaya , zimetokea Kama mbili,fuso imegonga gari kubwa,na fuso nyingine ya nyanya imepinduka bondeni,watu wanazoa nyanya,hizi ajali mlandizi zimezidi Sasa,juzi newforce,Kuna pepo baya
  7. U

    Eneo lililo wazi pembezoni mwa Barabara ya Morogoro linaweza kufanyiwa biashara na likazalisha pesa nyingi kwa serikali

    Je, Waziri wa fedha anahangaika kutafuta kodi wakati eneo hilo la pembezoni mwa barabara ya Morogoro lililo wazi linaweza kufanyiwa biashara na likazalisha pesa nyingi sana kwa serikali? Kwani huyu Daktari wa uchumi hawezi kushauriana na Waziri wa Ujenzi wakawatumia wataalamu wa Mipango miji na...
  8. Msanii

    Kisutu: Ajali ya Mwendokasi makutano ya Jamhuri na Morogoro Road

    Basi la Mwendokasi likiwa linatoka Kivukoni limeacha njia na kuparamia maduka na miundombinu mingine pembezoni mwa barabara ya Morogoro kwenye makutano ya Jamhuri St. Eneo hilo ni viambaza vya maduka, njia ya waenda kwa miguu na limekuwa linatumika na watu wasio na makazi kulala Ukiangalia...
  9. K

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa kibaha Miembe 7 mita 600 toka morogoro road

    Nauza kiwanja kiko miembe sana kibaha , karibu na morogoro road , umbali ni kama nusu kilometa Yaani mita 600 hivi toka main road. kiwanja kikubwa mita 55 Kwa 26 . Bei ni 13m Nina shida ya haraka. Karibuni namba yangu 0674223223 mimi ni mmiliki mwenyewe. Karibuni
  10. Kibenje KK

    Uwekezaji ambao hautakuangusha ni kuwekeza kwenye Ardhi, haiozi na inapanda thamani kila siku. Kwa sasa mkoa wa Pwani ni deal hasa Morogoro road.

    Eneo lenye ukubwa wa heka 45 linauzwa eneo lipo mkoa wa pwani vigwaza visezi barabara ya kuelekea bandari kavu eneo ni zuli kwa kujenga yard gereji na Mambo mengine bei kwa kila heka moja mil 3 tu kutoka barabara ya zege miter 400 tu maji umeme vipo hapo Eneo lingine lipo mkoa wa pwani pia...
  11. Kiteitei

    Foleni Morogoro Road

    Hali ni mbaya usiku wa Leo kwa wasafiri wanaotumia barabara ya Morogoro, tangu saa mbili jioni hii tuko eneo la mikese gari hazisogei, sijui huko mbele kuanzia Dar hali ikoje
  12. ommytk

    Barabara ya Morogoro ina ulinzi hali ya juu. Leo nimetoka Posta mpaka Mbezi tumesimamishwa na trafiki mara 8

    Naomba kutoa pongezi kwa Jeshi la Polisi kwa ukaguzi na usimamiaji mzuri wa barabara zetu mimi leo nipo kwa daladala toka Posta mpaka Mbezi tumesimamishwa karibu sehemu 8 na askari ni wengi safi kabisa hii nimeikubali sana.
  13. Leak

    Watanzania na madereva wa Magari wameigeuza barabara ya njia nane (Morogoro Road) kwa makusudi na kujitakia! Tujiandae na maafa pale stendi ya Mbezi

    Habari! Pamoja na kazi nzuri iliyofanywa na serikali kujenga barabara ya njia nane Kimara-Kibaha lakini ukweli ni kwamba watumiaji wa barabara hii wananchi na madereva wameamua kuigeuza barabara hii kama machinjio! Barabara hii kwa sasa hawezi pitisha wiki au siku tatu haijamwaga damu za watu...
Back
Top Bottom