jamhuri

Jamhuri Day (Republic Day) is a national holiday in Kenya, celebrated on 12 December each year. Jamhuri is the Swahili word for "republic" and the holiday is meant to officially mark the date when Kenya became a republic on 12th December 1964. The country became a republic after gaining full self-governance from the United Kingdom, after gaining independence on 1st June 1963. Jamhuri Day is regarded as Kenya's most important day, marked by numerous festivities which celebrate the country's cultural heritage and looks back at her journey to independence and self-governance.The entire Kenyan

View More On Wikipedia.org
  1. Uzalendo wa Kitanzania

    Mohamed Mokhbar ateuliwa kaimu Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

    Who is Mohammad Mokhber, Iran's interim president? By Reuters May 20, 202412:19 PM GMT+3Updated an hour ago Here are some key facts about Mohammad Mokhber, 68, Iran's first vice president who became interim president following the death of Ebrahim Raisi in a helicopter crash. As interim...
  2. Vincenzo Jr

    FT: Ihefu SC 0-1 Young Africans SC | CRDB Federation Cup | Sheikh Amri Abeid , Arusha | 19.05.2024

    ๐Ÿ”ฐ๐Œ๐€๐“๐‚๐‡ ๐ƒ๐€๐˜๐Ÿ”ฐ ๐Ÿ† #CRDBBankFederationCup โšฝ๏ธ Ihefu SC๐Ÿ†šYoung Africans SC ๐Ÿ“† 19.05.2024 ๐ŸŸ Sheikh Amri Abeid ๐Ÿ•– 09:30 Alasiri Kikosi kinachoanza dhidi ya Ihefu SC Mpira umeanza Dakika ya 1 Dakika ya 5 Yanga SC wanafanya shambulizi Dakika ya 10 Yanga SC wanapata Kona bado ni 0-0 Dakika ya 15 0-0...
  3. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Martha Mariki akimuuliza swali Bungeni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa

    "Serikali inafanya kazi nzuri na kubwa kujenga miundombinu ya Elimu na kuhakikisha Elimu inafika nchini kote lakini kumekuwa na changamoto ya wanafunzi kutembea umbali mrefu hali inayopelekea Wanafunzi kupanga vyumba mtaani na Kuhatarisha Usalama wao. Je, Serikali haioni umuhimu wa kuleta Sera...
  4. Suley2019

    FT: Dodoma 0 - 1 Simba | NBC PL | Jamhuri Stadium | 17/05/2024

    Saa 10:00 jioni, Dodoma Jiji watakuwa nyumbani dimba la Jamhuri wakiwakaribisha Simba SC Ni mnyama ama walima zabibu nani kuondoka na alama tatu? Mchezo huu utaruka mbashara hapa JamiiForums Kikosi ch Simba kinachoanza Kikosi cha Dodoma Jiji kinachoanza Halftime Dodoma Jiji 0 - 1 Simba -...
  5. MwananchiOG

    Yanga bingwa 2023-2024:Yaifunga Mtibwa 3-1 | NBC Premier League | Manungu Stadium | 13.05.2024

    Karibuni Kwa Live updates za mchezo wa Ligi kuu Tanzania bara kati ya Mtibwa Sugar (wenyeji) dhidi ya Mabingwa watetezi , Young Africans sc. Mchezo utaanza leo saa kumi jioni, Katika uwanja wa Namungu Complex, Morogoro. Endapo Yanga atashinda mchezo huu atafikisha alama 71 ambayo haitaweza...
  6. Mbahili

    Vipaumbele vyangu nikiwa rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

    Kuwa raisi sio jambo dogo/jepesi hata kidogo. Kongole kwa La mama anaeendelea kugongelea misumari kuhakikisha gurudumu halichomoki na tunakwenda mbele bila wasi. Twende sasa.... Cha kwanza nikiwa Raisi nitakuwa mbabe. Tupa kule ilani ya chama Changu, nitatengeneza ilani itakayohakikisha...
  7. Ojuolegbha

    Kitabu cha Safari ya Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Mhe. Dkt. Philip Mpango, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akikabidhiwa Kitabu cha Safari ya Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Picha na Balozi wa Tanzania nchini Italia Balozi Mahmoud Thabit Kombo ambaye ni mmoja wa Waandaaji wa Kitabu hicho. Tukio hilo...
  8. M

    Simba ni mabingwa wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Yanga ni Bingwa wa Tanzania Bara tu, msijitoe ufahamu

    Simba wamewakatia denge Yanga, wao ss hv ni mabingwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, yaani Simba ni bingwa nchi hii. Sijui kama nimeekeweka, simba ni bingwa wa hapa bara na kule visiwani.
  9. Ojuolegbha

    Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kauli Mbiu: Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania: Tumeshikamana na Tumeimarika, kwa Maendeleo ya Taifa letu. โฐ 12:00 Asubuhi. ๐Ÿ“… 26 Aprili, 2024. ๐Ÿ“ Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.
  10. Roving Journalist

    Rais Samia atoa Nishani za Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuzindua Kitabu cha Miaka 60 ya Historia ya Ofisi ya Makamu wa Rais

    Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa Nishani za Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuzindua Kitabu cha Miaka 60 ya Historia ya Ofisi ya Makamu wa Rais katika Viwanja vya Ikulu - Chamwino Dodoma tarehe 24 Aprili 2024...
  11. M

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano ina umuhimu gani Zanzibar?

    Viongozi wetu tuambieni na tufafanulieni vizuri tuwaelewe. Huu Muungano una dhima gani Kwa wenzetu visiwani? Zanzibar Wana sheria zao tofauti kabisa na Tanzania. Rais wa Jamhuri akisema Watanzania ana maana watanganyika siyo wazanzibari! Wananchi wa kawaida wa Tanganyika wananufaika vipi na huu...
  12. J

    Maazimio ya UVCCM kwenye kongamano la miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    MAAZIMIO YA UVCCM KWENYE KONGAMANO LA MIAKA 60 YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ๐Ÿ—“๏ธ21Aprili, 2024 ๐Ÿ“Zanzibar Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi wameanzimia mambo yafuatayo katika Kongamano la UVCCM kuelekea Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 1. Vijana wa Chama cha...
  13. Michelle

    Rais Samia: Uliapa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na SIO Mama wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

    Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Amiri Jeshi Mkuu na Mwenyekiti wa Chama tawala Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mheshimiwa Rais Pole kwa majukumu mengi sana. Nikupongeze kwa kujitahidi kuifanya kazi uliyoapa kuifanya kadri ya uwezo wako. Mheshimiwa Rais baada ya...
  14. Vincenzo Jr

    FT: Dodoma Jiji 0-2 Young Africans SC | CRDB Federation Cup | Jamhuri, Dodoma | 10.04.2024

    ๐Ÿ”ฐ๐๐„๐—๐“ ๐”๐๐Ÿ”ฐ ๐Ÿ† #CRDBFederationCup โšฝ๏ธ Dodoma Jiji๐Ÿ†šYoung Africans SC ๐Ÿ“† 10.04.2024 ๐ŸŸ Jamhuri, Dodoma ๐Ÿ•– 2:00 Usiku #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko Kikosi kinachoanza dhidi ya Dodoma Jiji FC #CRDBFederationCup #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko mpira umeanza dakika 3 goallllllllll...
  15. Roving Journalist

    LHRC: Sheria Mpya za Uchaguzi zimeacha maoni ya Wadau kuhusu maamuzi ya Tume ya Uchaguzi kuhojiwa Mahakamani

    Siku chache baada ya uwepo wa taarifa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kusaini miswaada ya Sheria za Uchaguzi na kutangazwa kuwa Sheria, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC, kimeeleza kuwa Sheria hiyo hajazingatia baadhi ya mambo muhumu kama ilivyoshauriwa...
  16. dubu

    Paul Makonda apewe Ubalozi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati au Burundi?

    Salaam Wakuu, Kwa kuwa ameonekana kutokukubaliana na Sera za Rais Samia, alitakiwa ajiuzulu bila Shuruti. Paul Makonda ni Mwenezi wa CCM na Samia Suluhu ni Mwenyekiti. Mwenezi hakubaliani na Mwenyekiti, anatakiwa aachie ngazi kuliko kutengeneza mtatandao wa matajiri kwa nia Ovu. Siku zote...
  17. DR Mambo Jambo

    Bunge lakanusha Kauli ya Mbowe kuwa Mshahara wa Wabunge umepanda kutoka Tsh Milioni 13 hadi 18

    Maneno ya kukana hoja Hizo yametolewa na Kitengo cha mawasiliano na uhusiano wa kimataifa Bungeni.. Jana Ijumaa tarehe 22 Machi, 2024 alipokuwa anahutubia mkutano wa hadhara Mjini Babati Mkoa wa Manyara na kisha Video yake kusambaa kwenye Mitandao ya Kijamii Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia...
  18. SAYVILLE

    Simba imeenda kuutumia uwanja wa Jamhuri bila kuujaribu

    Hii timu kimya kimya bila mbwembwe niliacha kuiangalia, nafuatilia tu matokeo yake kutokana na kwamba kuna upuuzi mwingi sana ambao lawama zote zinaangukia katika uongozi. Simba iliuchagua uwanja wa Jamhuri Morogoro kama uwanja wake wa nyumbani ila cha kushangaza, wachezaji wa Simba wameenda...
  19. U

    Uongozi wa Simba ubadili uwanja, Uwanja wa Jamhuri tutakula za uso, huu ni mwanzo tu

    Simba kuweka uwanja wa nyumbani Moro ni sawa na Yanga waweke uwanja wao Tanga, Haraka sana maamuzi yafanyike
  20. uran

    FT: Simba SC 1-2 Tanzania Prisons | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 06.03.2024

    Kikosi Cha Simba Kinachoanza Leo. Kikosi Cha Tanzania Prisons Kilichoanza leo. Updates Dakika ya 45+3 Tanzania Prisons wanapata Goli kipitia kwa Samson Mbangula. HT Simba 0-1 Tz Prisons. Kipindi cha Pili Simba wanafanya Mabadiliko. Mzamiru Out Saido Inn Kibu D Out Chasambi Inn Freddy...
Back
Top Bottom