bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    Kweli Iran bado Mtoto mdogo sana kwenye game

    Najiuliza tu hawa jamaa wanawezaje kumbeba raisi kwenye helicopter ya mwaka 1978?? 🫤 Na matambo yao yote ya kurusha drone na misile 300 ambazo zote zilidondoka njiani, bado kumbeba raisi wanatumia helicopter za mwaka 78 tena zilizotengenezwa US?🧐🙄 Je, hawa jamaa wataweza kweli kupambana na...
  2. F

    SoC04 Uongozi bora na mapambano dhidi ya ubadhirifu wa mali (rushwa)

    (ombeni hamadi silaa) UTANGULIZI, MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA NA UTAWALA BORA Tanzania imekuwa ikipiga hatua muhimu katika mapambano dhidi ya rushwa katika kipindi cha hivi karibuni, lakini bado kuna changamoto kubwa zinazohitaji kushughulikiwa ili kuimarisha utawala bora nchini. Kupambana na...
  3. GENTAMYCINE

    Utashangaa bado kuna Watu huko Msibani Kwake leo watakuwa Wanamlilia hadi Kugalagala chini

    Mtu mmoja Mkazi wa Mji wa Kasulu mkoani Kigoma, ambaye hakutambulika majina yake, amefariki wakati akijaribu kuiba nyaya za umeme aina ya kopa, kutoka kwenye transfoma ya eneo la mtaa wa Kiganamo mjini Kasulu. Chanzo: itvtz Nikienda kuaga Maiti za Wapuuzi kama huyu siishii tu Kuaga bali...
  4. BEST 001

    Mungu wangu sio kiziwi bado naamini atasikia sala zangu na juhudi zangu hata nikiwa nimeondoka hapa duniani

    Naamini hapa duniani tunapitia mengi sana hasa Sisi watoto wa Kiume ila mimi imani yangu inaniambia tusikate tamaa ipo siku tu iwe duniani au mbinguni kwa imani zetu sisi watu wa Mungu tutafanikiwa tu. Tusikate tamaa tuzidi kupambana na kumuomba Mungu ipo siku yetu tu sisi wapambanaji ndugu...
  5. SteveMollel

    Movies tano kali ambazo bado hujazitazama.

    Itsa WEEKEND. Tuanze nayo hivi basi ... 1BR Sarah anatafuta makazi mapya hapa jijini Los Angeles lakini kazi hii inakuwa ngumu sana. Kwanini? Pesa ndogo. Akipata panapofaa, basi kodi ni kubwa, na akipata pa mfuko wake, basi ni pabaya ama kupo mbali na kazi. Yani alimradi tabu. Lakini...
  6. R

    SoC04 Mikopo ya halmashauri kwa wanawake ,vijana na watu wenye ulemavu bado haitoshi

    Jambo la utoaji wa mikopo kwa wajasiriamali wadogo ambao wengi wao ni wanawake vijana na watu wenye ulemavu bado haitoshi kwa kiasi kikubwa. Ili kupata Tanzania bora tunayohitaji lazima serikali iangalie kwa kiasi kikubwa juu ya kutafuta njia mbadala ya kuweza kuwawezesha watu wengi zaidi...
  7. wheedenTz

    Vipengele wezeshi kwa vijana katika mchakato wa katiba mpya bado vinazungumzika?

    Ni mara ya kwanza kuandika kitu humu ila wadau wa jukwaa la katiba naomba kuuliza hivi vile vipengele wezeshi kwa vijana (enabling provision) walivyodai kuwekwa kwenye ile Katiba ya Warioba bado ni vinapewa kipaumbele kuelekea hili sakata la katiba mpya? Au vijana tushapigwa chini watu...
  8. OLS

    Ukiachana na ranks, kwa score bado mazingira ya habari ni magumu

    Mei 3, watu wengi walifurahi kuona Tanzania imepanda kwa nafasi 40 kwenye uhuru wa habari duniani. Yaani mwaka 2023 ilikuwa ya 143, lakini mwaka 2024 imekuwa ya 97. Hii ni kwa mujibu wa ripoti ya Reporters without Borders. Hata hivyo, ripoti ile inaweka score kwa kila nchi na kila score ina...
  9. Comrade Ally Maftah

    TOFAUTI ZA KISIASA NA KIKAZI ZISITULETEE UADUI, BADO TUNA FURSA YA KULINDA UDUGU WETU

    TUKIVUTANA KATIKA MAENEO YA KAZI, SIASA, BIASHARA HAUWI ADUI YANGU Na Comrade Ally Maftah KING OF ALL SOCIAL MEDIA JITU LA MIRABA Kuna wakati huwa tunavutana katika hali ya kila mmoja kutetea maslai yake, kwangu hilo sio jambo geni na baya ilimradi tu tuwe na mipaka katika kuvutana huko...
  10. Mr mutuu

    Kuna mkasa ulitokea nikaamini Tanzania hii bado Kuna watu waaminifu

    Huu mkasa ulitokea kama miaka miwili imepita, dogo wangu alivyomaliza chuo akapata kazi shirika Moja binafsi, akafanya huko kama miaka minne akaanza mazoea ya kunipiga vizinga Tabia ambayo alikua Hana, nikapigwa vizinga weeee mpaka nikachoka, mawazo yakanijia huyu dogo kaajiriwa na Kuna kipindi...
  11. Webabu

    Azimio la kuitambua Palestina lapita UN kwa kura 143. Kikwazo bado ni Marekani tu

    Uamuzi wa Hamas kulitetea taifa la Palestina unaendelea kuzaa matunda kwa mataifa mengi zaidi kuendelea kulitambua taifa hilo katika ngazi ya Umoja wa mataifa. Katika kura zilizopigwa jana kwenye baraza kuu la UN jumla ya kura 143 ziliunga mkono,Tisa tu ndizo zilizokataa na 25 wakaamua kutopiga...
  12. GoldDhahabu

    Hivi bado kuna watu wanaoamini kuwa Lowassa alikuwa ni mtu mbaya?

    Lowassa alikuwa na madhaifu yake, lakini inawezekana hakuwa mbaya kiwango ambacho wanasiasa waliokuwa wana chuki naye walikuwa wakimtuhumu. Pamoja na madhaifu yake, alikuwa kiongozi mzuri. 1. Utendaji wake alipokuwa waziri wa maji alidhihiriaha hilo. 2. Mbinu zake za kuweza kushawishi makundi...
  13. BabaMorgan

    Mpaka leo bado sijafanikisha kupata Mwanamke mwajiriwa..

    Ndoto ni kuwa na Mwanamke Nesi, Mwalimu au Askari ikishindikana hapo basi mwaajiriwa katika sekta yoyote ile sometimes maisha hayakupi kile unachotaka huu mwaka wa sita toka nimekuwa na hiyo ndoto na still inabaki kuwa ndoto. Maana katika kipindi chote hicho wanawake niliokuwa nao wote ni...
  14. The Eric

    Ule msemo wa "akili atatumia zangu" bado unafanya kazi??

    Wakuu salaam...... Leo nakumbusha tu kale kamsemo kalitrend zzzzzzz.... Mwanaume anaridhika na kutamani uzuri wa ke kiasi cha kusema hata awe hana maarifa na utashi lakini akishajaliwa shape na uzuri ni basi inatosha 😆 Wengi walilinganisha uzuri wa big nyanshiiiii.....fire waist 😜😜😜 Vice verse...
  15. sinza pazuri

    Nani bado anabisha kuhusu S2KIZZY kuwa ndio producer namba moja Tanzania?

    Naona kuna watu wanaleta ubishi usio na msingi kuhusu ukubwa wa producer namba moja Tanzania S2KIZZY aka Zombie. Lakini wote wanaobisha wanasukumwa na chuki hawana sababu ya msingi. Ukweli ni huo Zombie ndio producer namba moja Tanzania na ni namba 2 kwa muda wote nyuma ya PFunk Majani.
  16. B

    Tundu Lissu ni kiboko, wameshapitisha sheria sasa wanarudi kufafanua nini? Amemwibua Comrade Kinana!

    Wiki mbili za Tundu Lissu kufanya maandamano Takribani Mikoa 6 mfululizo zimeacha Madhara makubwa. Madhara hayo ni kufungua Wananchi kuhusu masuala mbali mbali ikiwemo Uchaguzi, Katiba Mpyaz Uhuruz na Utawala bora, siasa na maendeleo. chawa wengi walijaribu Kujitutumua kumjibu ikashindikana...
  17. Lord denning

    Hongera Kinana kwa kumjibu Tundu Lissu ila kazi bado ipo

    Katika CCM ya sasa watu pekee ambao naweza kusema wana maarifa na uwezo wa kuweza kujibu hoja nzito za wapinzani na Watanzania ni Makamu Mwenyekiti wa chama Ndug. Abdulrahman Kinana na Katibu Mkuu Ndug. Emmanuel Nchimbi. Kitendo cha Kinana leo kutoka na kumjibu Lissu kimeonesha kuwa japo huyu...
  18. Bob Maxwell

    Hata kama ajira hakuna, bado hatupaswi kuwananga na kuwakatisha tamaa wahitimu na waliopo bado masomoni

    Kumekuwa na wimbi kubwa la watu ambao hawaishi kuwasemea vibaya wahitimu wa elimu ya ngazi za juu hapa nchini. Ni kweli tatizo la ajira linazidi kuwa kubwa lakini sio sababu ya kulaumu na kuwasema vibaya wahitimu. Huwa najiuliza, hao wanaokaa vijiweni na kuanza kuponda wanafunzi wa vyuo kwamba...
  19. juma kipala

    Mambo moto huko mtifuano bado unaendelea

    Siri Yafichuka Ndani Ya Equity Bank, Mmiliki Wa Gazeti La Jamvi La Habari Alipewa Tender Na Swahiba Wake Zenda Baada ya mgao kuzulumiana wameanza kutajana njama chafu za Equity Bank walipogawa Tender kwa aliyewahi kuwa Katibu Tawala Daniel ZENDA aliyetimuliwa kwa Utapeli, ulevi na Wizi, Daniel...
  20. GoldDhahabu

    William Lukuvi na Profesa Kabudi bado wapo Ikulu?

    Wakati Rais akiwaapisha viongozi aliowateua, alisema aliwaacha Kabudi na Lukuvi kwa lengo la kuwavuta jirani naye kwa lengo la kumsaidia kazi maalum Ikulu. Ilionekana kama hayo majukumu yangekuwa mazito zaidi na ya heshima zaidi kuzidi ya uwaziri. Hii ni kwa sababu walikuwa wawe "viranja" wa...
Back
Top Bottom