ikulu

The White House (Ikulu), also known in English as the State House, is an official residence and workplace of the President of the United Republic of Tanzania. The current building, then called Government House, was constructed under the first British Governor of Tanganyika Horace Byatt in 1922 to the designs of architect John Sinclair. It is built on the remains of the original building constructed by the German administrators of German East Africa that had been damaged by the Royal Navy in December 1914. The south wing was added in 1956 to honour the visit of Princess Margaret, Countess of Snowdon and retains the name The Princess Margaret Wing to this day. The building was renamed State House on independence.
The State House blends African and Arabian architecture, with wide verandahs and covered walkways. It is white-walled with floors of African terrazzo, and stands in over 33 acres (13 ha) of grounds overlooking the Indian Ocean on the east and Dar es Salaam to the west. The brass-studded west doors are surmounted by a replica of the Republic's Coat of Arms and flanked by two giant drums. During 2001 one of the entrances after the car gates was adorned with two male Lions overlooking guests as they would be welcomed to the State House of The United Republic Of Tanzania.
The building contains a number of gifts from state visitors, including an Ethiopian shield with crossed spears, given by Emperor Haile Selassie and a representation of the coat-of-arms of the Republic of Tanganyika, given by the government of India in 1961, that acts as a backdrop to the President's seat in the Council Chamber.

View More On Wikipedia.org
  1. Blender

    Magogoni Ikulu imechoka, ni bora walivyoamua kuhamia Chamwino

    Hii 👇 ni tukio la Leo 📍Dar es Salaam Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamojana Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. SaidiYakubu mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika IkuluJijini Dar es salaam tarehe 15 Mei 2024. 📸:O/Makamu wa...
  2. Carlos The Jackal

    Mwenezi akiwa Makonda, Chadema na Lissu walipoteana, Masikio ya Watanzania yalielekezwa Kwa Makonda, kwasasa Lissu anajipigia tu

    Unaambiwa Kwa Sasa MTU Bora asile lakini aweke Bando afatilie Lissu kasema nini !!!. CCM ya Makala na Nchimbi, Iko wapi?? Mbona imepoteana . Kidogooooo Arusha ndio imekucha, Wana Arusha Kwa Sasa hawana habari za UPINZANI kwakuwa wako na MAKONDA, jembe, Jiji limetuliaa, ni shamrashamra tu, wale...
  3. GoldDhahabu

    William Lukuvi na Profesa Kabudi bado wapo Ikulu?

    Wakati Rais akiwaapisha viongozi aliowateua, alisema aliwaacha Kabudi na Lukuvi kwa lengo la kuwavuta jirani naye kwa lengo la kumsaidia kazi maalum Ikulu. Ilionekana kama hayo majukumu yangekuwa mazito zaidi na ya heshima zaidi kuzidi ya uwaziri. Hii ni kwa sababu walikuwa wawe "viranja" wa...
  4. B

    2025 patachimbika kwa moto huu, CHADEMA muwe na mipango hii ya kuingia Ikulu

    Naona moto wa Chadema (Tundu Lissu) umewaka Tanzania nzima. Naona huu moto ni kama ule wa vijana wa Senegal Marais wa sasa (Rais na makamo wake) walivyo uwasha moto mpaka wakaingia ikulu ya Senegal. Cha kufanya CHADEMA ni kutokulaza damu kuanzia sasa hivi mpaka uchaguzi mkuu 2025. 1. Maandamano...
  5. Muuza madafu wa Ikulu

    Muuza madafu Ikulu nimekuja kujibu maswali yenu

    Kumekuwa na mjadala mkubwa kama yule ni mimi au sio Mimi. Nimekuja mbele Yenu wa JF ili nijibu hoja na maswali yenu. Ila yule sio mimi. Karibuni kwa maswali.
  6. GENTAMYCINE

    Nimelinganisha Picha za Muuza Madafu Ikulu na Yule Commando wa Jana Uwanjani na kwa Kujiamini kabisa nasema kuwa ni Watu wawili tofauti kabisa

    Na nakuomba kabla ya Kuja Kuhara hapa kwa huu Ukweli niliousema tuliza Akili zako zote na zilinganishe Picha zao sawa? Nimemaliza.
  7. K

    Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

    Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa. Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki. Wapo waliohoji maigizo yale yalikuwa na haja gani, basi tukaona wanafanyiwa interviews clouds etc na mmoja...
  8. Uzalendo wa Kitanzania

    Kuhani Musa akutana na kusalimiana Rais Samia Ikulu

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili imeambatanishwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Kuhani Mussa mara baada ya hafla ya Uapisho wa Viongozi mbalimbali Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Aprili, 2024. Jina la Bwana lihimidiwe
  9. Roving Journalist

    Rais Samia: Makonda umekichemsha sana, wapo waliokuwa wamelala

    https://www.youtube.com/watch?v=g_Vx3fF69f0 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi Wateule katika ukumbi wa Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 04 Aprili, 2024. RAIS SAMIA: MAWAZIRI MKAJIBU HOJA ZA CAG Siku chache baada ya Mdhibiti na...
  10. peno hasegawa

    Ajira: Nafasi wazi za kazi Ikulu huwa zinatangazwa lini na wapi?

    Nimepitia mitaani, vijana ni wengi sana hawana ajira. Mmoja nimekutana naye ameniuliza Hilo swali hapo juu. Mwenye majibu tafadhali
  11. 2 of Amerikaz most wanted

    Msingi wa Ikulu ya Dodoma, ulitumia nondo za Tsh. Bilioni 1

    Kwa lugha rahisi ni milioni elfu moja. Martin kupitia ukurasa wake wa Twitter (X) anaandika Hili ni tatizo la kununua bidhaa mtandaoni. Unakuta bidhaa ya elfu ishirini, mtandaoni wanasema ni laki moja. Serikali imenunua nondo mtandaoni, wamejenga msingi wa ghorofa moja tu kwa shilingi bilioni...
  12. N

    Hatimaye barua imefika Ikulu kwa Rais kuhusu balozi mteule Jen. Patrick Nyamvuba wa Rwanda nchini Tanzania

    Habari Ndugu zangu? Naitwa Lugete Mussa Lugete mchambuzi wa siasa za Kimataifa, Mwanahistoria na Mwanamajumui wa Afrika. Nachukua nafasi hii kuwapongeza wasomaji wangu wote kwa sababu Barua yangu kwa Mheshimiwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan kuhusu Balozi mteule wa Rwanda nchini Tanzania Generali...
  13. Mayor Quimby

    Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

    Katika dunia hii mtu wa mwisho ambae unaweza kuona chozi lake hadharani ni senior army officer na army general ndio kabisa awezi kuonyesha weakness hiyo hadharani. Sasa cha kushangaza Mabeyo pamoja na kujitahidi kutabasamu ila chozi lilimshinda nguvu kwa sekunde kadhaa ameonekana akibubijikwa...
  14. Roving Journalist

    Rais Yoweri Museveni ampa zawadi Rais Samia ikulu ya Zanzibar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais Yoweri Museveni wa Uganda na Rais William Ruto wa Kenya wakiangalia picha ya Viongozi wa Nchi mbalimbali za Afrika wakati Rais Museveni alipomkabidhi Rais Samia zawadi hiyo baada ya mazungumzo yao Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar...
  15. K

    Waliouza madafu kwenye futari ya Ikulu wahojiwa, mmoja ni mwanafunzi wa Chuo cha NIT. Ni wauza madafu kweli?

    Juzi Rais alialika wasanii (chawa?) wakajumuike nae Ikulu kwa ajili ya kupata futari ya mwezi mtukufu wa Ramadhan ambao ndio ilikua chungu cha kwanza, jambo jema! Baada ya hapo taharuki kuu imejitokeza baada ya picha ya Rais Samia akikatiza mbele ya wauza madafu wawili ambao walikua wamesimama...
  16. Mchochezi

    Kijiweni kwako wanasemaje kuhusu hawa wauza madafu ikulu?

    Haya tiritika na userereke…
  17. Roving Journalist

    Rais Samia akiwaapisha Viongozi Wateule - Ikulu, Dar es Salaam, Machi 13, 2024

    https://www.youtube.com/watch?v=gB61__EG4Uo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi wateule leo tarehe 13 Machi, 2024 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu Jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimuapisha...
  18. GENTAMYCINE

    Hivi tulishindwa tu kununua Madafu ya kutosha Nje ya Ikulu hadi kuruhusu Wauza Madafu na Baiskeli zao Mbovu na Kongwe waingie nazo Ikulu kienyeji?

    Mnaacha kutumia muda wenu mwingi kufikiria kwa Akili Kubwa jinsi ya kutatua Changamoto lukuki zinazowakabili Watanzania na Taifa la Tanzania nyie Kutwa mpo katika kutengeneza Maigizo ya Kipumbavu na Kishamba (kama mlivyo) ili tu muonekane Mnapenda na kujali kila Mtu, Wanyenyekevu na mno Huruma...
Back
Top Bottom