Chamwino is an administrative ward in the Dodoma Urban district of the Dodoma Region of Tanzania. According to the 2002 and 2012 census., the ward has a total population of 2,840.
Hii 👇 ni tukio la Leo
📍Dar es Salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamojana Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. SaidiYakubu mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika IkuluJijini Dar es salaam tarehe 15 Mei 2024.
📸:O/Makamu wa...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Mhandisi, Aisha Amour, kutafuta haraka mkandarasi wa kujenga daraja la Nzali, lililopo wilayani Chamwino, mkoani Dodoma mara tu baada ya hatua za usanifu wa daraja hilo kukamilika.
Akizungumza na wananchi wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 20 Novemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Mabalozi Wateule Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma tarehe 16 Agosti, 2023.
https://www.youtube.com/watch?v=3hgz9HYOiR8
RAIS SAMIA: MAFUNZO YA UBALOZI YASIWE YA JUMLAJUMLA
Rais Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Mabalozi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha viongozi wateule Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo 16 Juni, 2023.
Viongozi watakaoapishwa ni:
Dkt. Moses Mpogole Kusiluka, Katibu Mkuu Kiongozi kuwa Balozi
Mhe. Rogatus Hussein Mativila, Mtendaji Mkuu wa Wakala wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Washauri walioteuliwa hivi karibuni wa mambo ya Siasa na Uhusiano wa Jamii, Mhe. Abdallah Bulembo, Mhe. Haji Omar Kheir, Mhe. Rajab Luhwavi na Mhe. William Lukuvi mara baada ya kuwaapisha Mkoani Dodoma...
Mlisjisahau mkadhania kupiga vita ufisadi ni udikteta . Mkabakiza kashfa na maneno yasiyo na tija eti Megastructures hazina faida.
Leo hii mnakatiza wami.
Soon mtakatiza busisi.
Na ndio msingi mkuu wa kupiga vita ufisadi
Katika nchi yoyote, Ikulu is one of the most, if not the most secure premise. Maana hapo ndio ofisi za madaraka ya juu kabisa.
Pamoja na kupongeza ujenzi wa Ikulu mpya Chamwino, nimeshangazwa sana na mapendekezo mapya ya majengo ya huduma.
Pengine kama sijaelewa maana yake.
-Kutakuwepo na jengo...
Jumamosi, tarehe 20 Mei 2023 Tanzania, imeandika historia nyingine kubwa katika Bara la Afrika na duniani. Ni kwa kuzindua Ikulu mpya katika Makao makuu ya nchi, Dodoma.
Ikulu mpya ya Chamwino ilizinduliwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, huku wageni mbalimbali wakishuhudia. Ni Ikulu ya...
Uzinduzi wa ikulu mpya Chamwino umefanyika leo ambapo viongozi mbalimbali wamehudhuria.
Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani Tanzania Freeman Mbowe hakuhudhuria. Wakati uzinduzi unaendelea Mbowe na viongozi wengine wa Chadema wameendelea na operation +255 huko Kasulu mkoani Kigoma.
Hongera...
Naona mmejitahidi Sana kukwepesha kwepesha UKWERI......
Naomba niwaambie watanzania Wengi hawaoni hayo majengo au Ile halaiki kichwani mwao wakisikia uzinduzi wa ikulu Dodoma.......
Hii ndo picha inayokuja kichwani mwao siyo hayo majebgo meupe. Meupe......
Jingine Mmefanya vizuri kutomtaja...
Zuhura Yunus ambaye ni mwandaaji wa simulizi ya Ikulu naona anaowataja ni Nyerere, Mwinyi na Kikwete.
Hivi mnafikri watanzania bado wapo zama za giza? Magufuli hata msipomtaja mawe yatamtaja, Kikwete sioni mchango wake hapo.
Watanzania,
Kuna nguvu kubwa imetumika kuhakikisha Rais Magufuli hatajwi kwenye UJENZI WA ikulu ya CHAMWINO.
Jamaa wameziba kuanzia TBC Hadi kwa muandaaji wa makala yule mama wa BBC. Hivi mnatuonaje wengine, yaliwashinda wengine wote, chuma kikaamua na leo imetimia rasmi,
Jiwe la msingi la...
Leo tarehe 20 Mei 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg. Samia Suluhu Hassan ataongoza uzinduzi rasmi wa Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma ambapo Rais wa JMT na watumishi wengine watahamia katika Ikulu hiyo.
Sherehe hiyo ya kihistoria inatarajiwa kuhudhuriwa na takribani watu 2,500...
Wakati uzinduzi wa Ofisi za Rais Ikulu, Chamwino jijini Dodoma, ukitarajiwa kufanyika Mei 20 Mwaka huu Serikali imesema serikali imesema inajivunia mchango wa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, katika ujenzi huo, ambao utaandika historia nyingine.
Rais Samia ataingia katika Historia ya Tanzania kwa...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Unma na Utawala Bora, George Simbachawene ametoa hotuba kuhusu makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwaajili ya Ofisi ya Rais kwa mwaka 2023/2024 Bungeni Dodoma leo ambapo amesema ujenzi wa Ikulu ya Chamwino umekamilika kwa asilimia...
DITOPILE AUNGANA NA WANA CHAMWINO KWA IFTAR, WAMUOMBEA DUA RAIS SAMIA
Katika Muendelezo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma Mhe. Mariam Ditopile ameungana na Waumini Mbalimbali Kata ya Dabalo Jimbo la Chamwino Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma katika Iftari na Dua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.