Ndio imejengwa na Samia kwa sababu yeye ndo ameikamilisha kuijenga.Mimi ni anti Magufuli lakini kwa kweli kwenye tukio la leo hajatendewa haki. Eti ikulu imejengwa na Samia
Yani una weza kujipendekeza too much hadi ukawa kituko. Hadi una jiuliza hawa waki rudi home watoto wao wana waonaje like baba au mama ni chawaMimi ni anti Magufuli lakini kwa kweli kwenye tukio la leo hajatendewa haki. Eti ikulu imejengwa na Samia
Uko sahihi maana hata kaikulu ka magogoni kalijengwa na wakoloni kama ngome yao.Sio kweli Magufuli ndo mtu pekee aliyeweza kuthubutu kujenga Ikulu
Kikwete aliacha jengo gani la serikali kuu Dodoma unalolijua wewe, zaidi ya mradi wake wa kitapeli akishirikiana na Rostam kuwajengea CCM jengo la mkutano at overprice.Ndio imejengwa na Samia kwa sababu yeye ndo ameikamilisha kuijenga.
Kwa hata huyo JPM si alikuta miradi iliyo anzishwa na kikwete yeye akaja kuimalizia akaita ni ya kwake?
Wekeni clip hamtaki, mnapiga makelele kama vyura!Mimi ni anti Magufuli lakini kwa kweli kwenye tukio la leo hajatendewa haki. Eti ikulu imejengwa na Samia
Sasa kosa lake ni lipi mpaka ucomment kwa makasiriko kiasi hiki? Mnaingiaga kwa hii mitandao kufanya nini kama hamna uwezo wa kuvumilia hoja na mitazamo tofauti na kile unachotaka wewe kukisikia.Hivi watz mtaacha lini upumbavu wa kutilia maanani vitu vidogo vidogo visivyo na faida kwenye maisha yenu na taifa kwa ujumla?
Kwani jina la Magufuri linge tajwa nchi ingeingeza bilion ngapi na baada ya kutotajwa nchi imepata hasara na billion ngapi?
Magogoni ulikuwa ni MsikitiUko sahihi maana hata kaikulu ka magogoni kalijengwa na wakoloni kama ngome yao.
Hakuna mtu mwingine amejenga ikulu zaidi ya Magu.