ikulu ya dodoma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Rais Samia akutana na Rais wa CAF, Dkt. Patrice Motsepe, Ikulu ya Dodoma, leo Oktoba 20, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Dkt. Patrice Motsepe mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Oktoba, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye...
  2. GENTAMYCINE

    Sikumbuki ni lini Rais Mstaafu Kikwete alionyesha nia ya Ikulu ya Dodoma Kujengwa, bali Hayati Magufuli ndiyo alisema na kuianza

    Wadanganyeni Wapuuzi na Wanafiki wenzenu au Wengine ila siyo Mimi GENTAMYCINE. Nimemfuatilia Rais Mstaafu Kikwete tokea akiwa Rais hadi anastaafu sikuwahi hata Siku moja kumsikia akisema Serikali yake na Awamu yake itajenga Ikulu ya Dodoma. Mtu pekee na Mwanamume wa Kweli na Jembe hasa...
  3. luangalila

    Imekaaje Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kuwa na ofisi Ikulu ya Chamwino?

    Nilimsikia majuzi Rais wa SMZ akishukuru kwa SJMT baada ya SMZ kupewa ofisi katika ikulu mpya ya Dodoma. Je, ni kwa sababu ni ikilu mpyaaa au hata pale magogoni SMZ wana Premise zao? Isitoshe niliwahi kusikia pia kama SMZ walipewa eneo la kujenga Ofisi zao pale Dodoma. Binafsi najiuliza...
  4. RWANDES

    Ikulu ya Chamwino: Nani hasa anastahili credits?

    Zuhura Yunus ambaye ni mwandaaji wa simulizi ya Ikulu naona anaowataja ni Nyerere, Mwinyi na Kikwete. Hivi mnafikri watanzania bado wapo zama za giza? Magufuli hata msipomtaja mawe yatamtaja, Kikwete sioni mchango wake hapo.
  5. F

    Tetesi: Hakuna askofu yeyote wa Kanisa Katoliki anayehudhuria ufunguzi wa ikulu ya Dodoma siku ya leo. Walimwandikia rais Samia kuhusu hilo

    Ikulu mpya ya Dodoma inafunguliwa leo, viongozi mbalimbali wamehudhuria ikiwa ni pamoja na viongozi wastaafu na viongozi wa dini. Hukuna askofu yeyote wa Kanisa Katoliki kwenye ufunguzi huu! Wapo wapi? Rais Samia amesema kuwa maaskofu walimwandikia barua kuomba udhuru kuwa watakwenda Roma kwa...
  6. F

    Ikulu ya Dodoma? Je, watu wa Dodoma wana maji safi ya kunywa?

    Utakuta tumekopa mabilioni kujenga ikulu kubwa zaidi duniani. Tumekopa hata ramani ya Mjerumani aliyotumia kujenga ikulu ya Magogoni, mwonekano ni uleule hata Zanzibari muonekano ni ule ule, nani katufinyanga namna hii? Ikulu ya kifahari kwa fedha za kukopa, kweli?! Embu angalia ikulu ya...
  7. S

    Uzinduzi wa Ikulu ya Dodoma

    NDG. EDNA AWAKARIBISHA WANACHI KATIKA UZINDUZI WA IKULU YA CHAMWINO DODOMA MEI 20, 2023. [emoji625]UVCCM HQ, DODOMA [emoji1001] Mei 19, 2023. Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Ndg. Edna Lameck, kwa niaba ya Umoja wa Vijana wa CCM chini ya Uongozi wa Ndg. Mohammed Ali KAWAIDA...
Back
Top Bottom