acheni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Biblia na Quran vinachangia kiasi gani kwenye Pato la taifa? Watumiaji wa vitabu hivi acheni kuwasakama walevi, wao ndio wanajenga taifa letu

    Inasikitisha sana. Vitabu vya dini havina Kodi, kama vina Kodi basi ni kidogo sana. Pombe zinaingizia Serikali faida kubwa kupitia Kodi. Hivyo walevi ndio wajenga nchi yetu. Barabara zetu, shule, vituo vya afya na mambo mbalimbali ya kimaendeleo yanategemea zaidi walevi kuliko walei. Cha...
  2. GENTAMYCINE

    Baada ya kugundua kinachofanyika 'behind the Scene' hasa kwa Bendi za Dansi Afrika acheni tu Bia na Viroba vitengenezwe na Bangi ilimwe sana tu

    Nilikuwa najiuliza sana inawezekana vipi Watu wanaimba na kucheza zaidi ya Saa 8 na hata hawachoki ila jibu nimelijua.
  3. Teslarati

    Wadada acheni kupandikiza mashepu na lips za bei rahisi, nimemuona mmoja ninayemfahamu hapa Sinza kawa kituko kabisa

    Huyu binti alikua mzuri, akapotea kama miezi mitatu hivi akarudi na tako kubwa tu na lips pana. Mimi sikuwa na hiyana nikamuita nimchangie gharama alizotumia huko (malegend tutaelewa) Sasa imepita miezi miwili toka nionane nae, leo nimemuona kaumuka yaan ile kama kavimba vimba hivi. Kawa kama...
  4. M

    Vijana acheni kuwekeza sana kwenye decorations za duka badala ya stock

    Mojawapo ya kosa kubwa sana la kiufundi kwa vijana wengi wadogo wanaoanza biashara ni kuwekeza pesa nyingi kwenye vitu ambavyo havirudishi pesa kwa haraka au pengine havirudishi kabisa. Vijana wanafungua maduka ila wengie hawafikishi mwaka mmoja wamefunga baada ya kushindwa biashara. Vijana...
  5. R

    Godbless Lema; Tundu Lisu alishaahidi kutokuchukua fomu ya kugombea Uwenyekiti Chadema; CCM acheni kujitekenya

    Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Kaskazini amewataka CCM kuachana na kicheko cha kujitekenya badala yake wajikite kwenye hoja. Amesema propaganda za CCM kuhusu Ugomvi wa Lisu na Mbowe zipuuzwe na kuwataka kufahamu kwamba hii siyo Duniani ya kufundisha wakubwa kugombana. Lema amesema suala la...
  6. M

    Wadudu wa Arusha ni janga jipya la kimaadili nchini. Acheni kuhalalisha uwepo wao

    Zamani ilikuwa inajulikana kuna vijana wa hovyo walikuwa wakijiita wadudu wa dampo jijini Arusha ambao hasahasa walikuwa wakijihusisha na muziki wa Hiphop. Na hata wengi wao walikuwa wakivuka adolescence hubadilika na kuwa na tabia za kiutu uzima ikiwamo kuacha kujiita mdudu wa dampo. Hawakuwa...
  7. balibabambonahi

    CLOUDS FM acheni uongo

    Muda huu mnadai mechi ya RS BERKANE na USMA iko dakika ya 35 na bado iko 0-0 wakati haijachezwa na timu zimeondoka uwanjani.Hivi mko makini kweli!
  8. Candela

    DAWASA imenitumia bill ile ile miezi mitatu mtawalia, hii si sawa

    Kwa miezi 3 mfululizo sasa DAWASA wamekuwa wakinitumia bili ya maji yenye kiasi kile kile hakibadiliki, FEBRUARY wametuma bili, MARCH wakatuma kiasi kile kile mpaka senti, na hii ya APRIL wametuma ile ile, ni kama wametu forwardia tu meseji. Nikiangalia matumizi kuna mda hatugusi bomba kabisa...
  9. Mwanaumke wa mithali

    Vijana oeni sisi wanawake ni watu wema na Mungu ameagiza muoe. Acheni kufanya zinaa

    MITHALI 18:22 Apataye mke apata kitu chema naye ajipatia kibali kwa BWANA. WAEFESO 5:31 “Kwa sababu hiyo, mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe, nao wawili watakuwa mwili m'moja. 1 WAKORINTHO 7 Lakini kwa kuwa dhambi ya zinaa imeenea, kila mwanamume awe na mke...
  10. dr namugari

    Hii tabia acheni. Mtu anakuomba salio na Bado unamuona Yuko online muda wote. Salio la kazi gani sasa?

    Huu Ni utapeli bhna mtu ankusumbua naomba salio either vocha lkn ajabu Bado Yuko online na Yuko Muda wote Sasa salio la Kaz gani Kuna bint kaniudh San Jana kaomba nikampoteza asbh Tena anataka nimtumie vocha na bado Yuko active Hadi HV Sasa Nahisi huyo bint Yuko humu maana Ni member wa muda...
  11. Damaso

    MWAUWASA acheni kutumia mo Mirongo kupeleka maji machafu Ziwani.

    Licha ya umuhimu wa mto huo uliopo ndani ya Jiji la Mwanza, lakini ni kituko cha kila siku kuona uko hatari kwa uchafu wa mazingira na kusababisha madhara ya kiafya na kimazingira kwa watu wanaoutumia kwa shughuli mbalimbali. Hali hiyo imesababishwa na kuongezeka kwa shughuli za binadamu ikiwemo...
  12. mahindi hayaoti mjini

    Unaposema Serikali acheni dhulma, inamaanisha serikali inadhulumu?kwani hawa parking ni mali ya nani?

    Ni kilio cha jamaa mmoja akilalamikia gari yake kukamatwa kwa deni la maegesho lililofikia tsh 400,000/= kwa muda wa miezi mitatu tu, tena inje ya nyumba anayoishi, Hawa parking walikua wana kifurushi cha siku angalau kilikua fair, ila kwa sasa ni shida kweli kweli Yaani kwa siku ni lazima...
  13. A

    KERO Polisi Mtwara acheni tamaa mnatukwamisha, sisi pia tupo kazini na tuna familia

    Inasikitisha sana siku hizi polisi kama nchi ni ya kwao kabisa.! As if Serikali imeshawapa ruhusa ya wanachokifanya. Mikoa mingine sijui, hapa Mtwara Kilimanjaro kuna hawa polisi wanatoza tu hela kwa wenye magari hata kama huna kosa sijui tuwaite watoza ushuru au polisi maana mauza uza uza tu...
  14. M

    Watumiaji wa iPhone acheni ushamba na ulimbukeni

    Habari za jioni Wana JF, Nimegundua watumiaji wa iPhone asilimia kubwa Wana ushamba na ulimbukeni. Yani akiwa nayo atataka watu waione wajue kama ana iPhone, ulimbukeni wenyewe ni huu huwa wanaona iPhone ndo simu Bora kuliko simu zingine na kuzidharau hizi brand nyingine za simu. Mimi si...
  15. GENTAMYCINE

    Ni kweli Simba SC ya sasa ina 'dema dema' na kukatisha Tamaa, ila Yanga SC nawaonya acheni Kubweteka, Kutudharau na Kumaliza maneno yote sawa?

    Na kumbukeni Simba SC ikifanikiwa tu Kuwafunga katika Derby ijayo Pengo ( Gap ) litabaki la Alama ( Points ) Tatu ( 3 ) na kwa Mkakati wa Dharula wa Kimafia ambao nimeusikia unapangwa mahala upo Uwezekano mkubwa wana Yanga SC wanaojiamini kuwa tayari Wameshakuwa Mabingwa kutokana na Matokeo...
  16. Chief Kumbyambya

    Enyi wanawake acheni ligi na wanaume mtaumia

    Nipo zangu eneo langu la biashara... Ni kasoko flani hivi kalikochangamka kwahiyo nikaona niwe na kastationary pale kakuzugia, mambo yote ya photocopy, printing, scanning, binding na kuchapa chapa material nini unapata na huduma ya passport size zile za fasta dakika 3 pia zipo fresh tu. Mwezi...
  17. R

    Wananchi wa Arusha mlichofanya kwa RC ni dharau kubwa kwa mamlaka za uteuzi; acheni mgomo fungueni mioyo

    Wananchi wa Arusha wameingia mitini kumpokea RC mpya. Hii siyo Ishara nzuri kwa kiongozi anayependa kuabudiwa. Vyombo vya habari vilijiandaa kurusha live msafara wake lakini wamekwama kwa kukosekana umati. Jambo la pili lililowaudhi wananchi wa Arusha ni kitendo cha kuwa na kiongozi anayewaza...
  18. ITR

    Yanga songeni mbele acheni ushamba

    Katika siku mbili hizi kumekuwa na mjadara na gunzo kubwa kutokana na Yanga kunyimwa goli dhidi ya Mamelod ambalo wenda lingeweza kuivusha kwenda nusu fainal ya club bingwa Africa. Kwanza mm mwenyewe ni kili kuwa lile lilikuwa goli halali kwa uono wangu na Yanga walinyimwa goli, lakini hili...
  19. Yesu Anakuja

    Acheni kuita Wachungaji na Mapadre “Baba”

    Leo nilikuwa najadili na mke wangu, tukafikia discussion moja, wanawake wengi sana wanapenda kuita wachungaji wao "baba yangu", wanawapa heshima kubwa kuliko hata ile wangewapa waume zao au baba zao. mchungaji au nabii au padre anainuliwa sana, anaonekana yeye ni mtu special sanaaaa, treatment...
Back
Top Bottom