GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 57,115
- 110,509
Nilikuwa najiuliza sana inawezekana vipi Watu wanaimba na kucheza zaidi ya Saa 8 na hata hawachoki ila jibu nimelijua.
Kuna Bendi moja nimeenda Jana sasa nikajichanganya Kukatiza walikokuwa Wanamuziki wao Kudadadeki nilistaajabu!!Baki na jibu lako.
Kuna Mtu nilimuona yule nina uhakika hata Marehemu Bob Marley angemuona alivyokuwa Akipuliza Puje angempa Tuzo.Ni Mwendo wa kazi na dawa
Sasa kuna Mtu jana alinipigia Kwanza Kiroba kisha akaja katika Puje ( Bangi ) kisha akamalizia na Bia na alipopanda Jukwaani ile Saa 5 Usiku hakukaa hadi Kunakuchwa.Viroba ilikuwa zamani, yaani kimoja tuu Chali. Vya siku hizi hadi uzimue na kilevi kingine
Imembadilisha na kuwa robotSasa kuna Mtu jana alinipigia Kwanza Kiroba kisha akaja katika Puje ( Bangi ) kisha akamalizia na Bia na alipopanda Jukwaani ile Saa 5 Usiku hakukaa hadi Kunakuchwa.
Shida ya Tuzo ni kuna saa ni upendeleo binafsiKuna Mtu nilimuona yule nina uhakika hata Marehemu Bob Marley angemuona alivyokuwa Akipuliza Puje angempa Tuzo.