dhulma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Vincenzo Jr

    Kikokotoo ni dhulma

    Ni wizi,ni unyonyaji,ni unyanyasaji, ni kero. As long waliokiweka wao hawajakuwekea ni UBINAFSI wa kiwango cha juu sana kwenye taifa la watu wanaohubiri HAKI. DemokrasiaYetu ina watunga sheria WABINAFSI sana credit by bajabir
  2. vanus

    Sifa wanazopewa viongozi hawastahili ni wajibu wao kutekeleza wanayoyafanya, siasa ni mchezo mchafu umejaa laana, unyanyasaji na dhulma

    Afrika ni bara lenye laana, limejaa watu wa ovyo sana haswa hawa wanaojiita chawa. Imagine unapambana usiku na mchana unatengeneza pesa alafu una-mteua mtu asimamie mali na pesa zako na unamlipa mwisho wa mwezi. mtu huyo anaenda dukani anakununulia kiatu kwa pesa zako, kwa upumbavu ulionao...
  3. mahindi hayaoti mjini

    Unaposema Serikali acheni dhulma, inamaanisha serikali inadhulumu?kwani hawa parking ni mali ya nani?

    Ni kilio cha jamaa mmoja akilalamikia gari yake kukamatwa kwa deni la maegesho lililofikia tsh 400,000/= kwa muda wa miezi mitatu tu, tena inje ya nyumba anayoishi, Hawa parking walikua wana kifurushi cha siku angalau kilikua fair, ila kwa sasa ni shida kweli kweli Yaani kwa siku ni lazima...
  4. BARD AI

    Makonda: Sekta ya Ardhi imejaa Dhulma, Unyang'anyi na Hati Feki

    #UWAJIBIKAJI: Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Paul Makonda amesema katika ziara zake alizofanya katika Mikoa 23 nchini, amebaini matatizo na kero kubwa zinazowakabili Wananchi ikiwemo Watu kudhulumiwa Ardhi na tatizo la Hati Batili. Amesema Ipo dhulma kubwa kwenye Sekta ya Ardhi, huko...
  5. R

    Kama familia ya Sabaya imerejeshewa madaraka basi dhulma inalipa mapema kuliko haki

    Tuliona danadana mahakamani siku siyo nyingi mara tukaambiwa ameshinda kesi. Wakati tunatafakari mara paap mzazi wa mtuhumiwa ni Mwenyekiti wa chama mkoa. Funzo kubwa tunalopata hapa nikuwatesa wasiojitambua hadi wajitambue kwa sababu ni wajibu wao kujua mema na mabaya. Hii siyo Ishara nzuri...
  6. Pascal Mayalla

    Je, wajua Muswada Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani 2023 ni batili? Ni mvinyo wa zamani, kwenye chupa mpya? Why ubatili huu?

    Wanabodi, Kama kawa, leo nimepata fursa kuwaletea makala elimishi ya uchambuzi wangu wa muswada huu wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa mwaka 2023, kwa swali Je Wajua Muswada Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani 2023 ni Batili? Je, muswada huu ni mvinyo ule ule wa...
  7. K

    Ni nani aliyeanzisha biashara ya parking Muhimbili?

    Ni nani alieanzisha biashara ya parking MUHIMBILI? Pesa inayopatikana inamnufaisha nani? Ni haki kumtoza pesa mgonjwa kwa kupaki gari lake tu? Ni kweli binadamu mtanzania amekosa utu na huruma kiasi Cha kutoza pesa WAGONJWA?
  8. G

    Kodi ya majengo ya ghorofa ni dhulma, haikubaliki

    Mimi nina Kajumba kangu huku uswahilini, kwa sababu ya ufinyu wa eneo nilijiongeza nikawekwa kaghorofa. Sasa serikali inanitaka nilipe elfu 15 kila mwezi. Yupo jirani yangu aliwanunua watu na kupata eneo kubwa, kuliwekea Uzio na kushusha mjengo wa kisasa wa nguvu. Thamani ya jengo la jirani...
  9. chiembe

    Prof. Mussa Assad: Baada ya kuondolewa nafasi yangu kwa dhulma, niliendelea kufanya Dua, na Mungu amejibu

    C.A.G Mussa Assad, akihojiwa na channel ya YouTube inayoitwa "CHANZO" amesema aliondolewa nafasi yake kwa dhulma, na kwamba baada ya kuondolewa aliendelea kuomba dua, na Mwenyezi Mungu amejibu. Prof. Mussa Assad alijikuta katika misukosuko na John Magufuli na Spika mstaafu Job Ndugai.
  10. Robert Heriel Mtibeli

    Uchambuzi wa tuhuma za Dhulma za Tajiri Saalah Dhidi ya Eliud

    Kwema Wakuu! Nilikuwa nafuatilia mkasa uliokuwa umeletwa siku tatu nyuma na ndugu nokwenumuya, akiwasilisha malalamiko yake kuhusu uonevu na dhulma inayofanywa na tajiri mmoja aliyemtambulisha Kwa jina la Saalah Dhidi ya Eliud. Nikaona nitoe uchambuzi Kwa uchache ili kama taifa tuwezi kujifunza...
  11. N

    Kwa pamoja tupinge dhulma na kutetea haki

    Huu upumbavu wa vijana, wazee na jamii kwa kuujumla kugeuka na kuwa mashabiki wa wanasiasa ambao wengi wao ndio chanzo cha mamilioni ya vifo na umasikini wa watu wa Tanganyika ni hatari na dhambi kubwa duniani na ahera. Ukiwa na akili timamu, pumzi na maisha aliyokujalia Mwenyezi Mungu jifunze...
  12. sinza pazuri

    Rayvanny kama umegoma kumlipa Diamond Platnumz pesa yake basi mlipe hata Chege pesa zake, acha dhulma...!

    Rayvanny unadaiwa na WCB Wasafi lebo iliyokutoa na kukupa mtaji wa jina lako. Mpaka sasa unarukaruka tuuu unafikiri utaondoka na biashara ya watu bure bure. Kiufupi usipolipa utaendelea kuwa msanii wa WCB Wasafi. Achana na ilo mpaka leo hutaki kulipa pesa za Chege Chigunda alizowekeza kwa...
  13. Pascal Mayalla

    Je Wajua kuna Fupa Fulani la Dhulma kwa Watanzania, Liliwashinda Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli, Jee Mama Samia Ataliweza Fupa Hili?.

    Wanabodi, Karibu Makala yangu ya "Kwa Maslahi ya Taifa" Jumapili ya Leo Hii ni makala mwendelezo ilianzia hapa Je, jicho la Rais Samia litauangazia Ubatili huu ndani ya Katiba yetu unaopora Haki ya Msingi, uliochomekewa kibatili ili kuuhalalisha? Kama kawaida yangu, kila Jumapili, huibuka na...
  14. M

    Hii dhulma ya kunyang'anya mali binafsi haitaiacha salama Marekani

    Kuna mamia kama siyo maelfu ya mabilionea wa kirusi wamepokonywa mali zao na marekani na washirika wake kwa kisingizio eti wako karibu na Putin!! Huu ni unyang'anyi na ujambazi Mtu kama Abramovich amepokonywa mabilioni ya dola pamoja na meli zake binafsi, majumba, klabu yachelsea, ndege binafsi...
  15. S

    Kwa viongozi wa nchi hii, kuomba mvua ni kupoteza muda tu

    Wananchi wanalia kila kona nchi hii kuhusu KUKOSEKANA KWA HAKI. Hii maana yake viongozi walioko mamlakani ama wamebariki au wameasisi udhalimu huu. Tulitegemea viongozi wa dini wawe wakali na wakemee udhalimu huu, lkn wamekaa kimya. Maana yake ni kwamba viongozi hawa wa dini pia wamebariki...
  16. OKW BOBAN SUNZU

    Dhuluma kubwa katika Tuzo za TFF, nani kutoroga?

    Hii nchi ngumu sana kubadilika, hata aje nani. Tuzo ya Mchezaji Bora kupewa John Bocco ni dhulma kwa Chota Chama na wapenda soka. Tuzo ya Mchezaji Bora wa FA kupewa Feisal ni dhulma kwa Konde Boy Luiz na wapenda soka wote. Tuzo ya Goli bora kupewa yule mchezaji (simjui jina lake) ni dhulma...
  17. chizcom

    Hizi ndizo dhambi kubwa

    Dunia inavyozidi kuendelea kuna dhambi ambazo kila kona zinaongoza kwenye billboard za mbinguni. Hizi dhambi huwezi kukosa kusikia kwenye habari hata siku moja. 1-uzinzi 2-mauaji 3-dhulma 4-ushirikina miaka nenda rudi lazima ukutane nazo
Back
Top Bottom